Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyota njema huonekana mapema kabisa, kwa anayofanya ni viroja.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hata Magu alisifiwa mwanzoni na yale magazeti halafu baada ya muda wakaanza kuhoji, "huyu jamaa ni kama hatumuelewi elewi", hivyo jipe muda. Ngoja tuone atachaguliwa nani kuwa katibu mkuu wa chama na kuona kama lile genge la kina mkwere linasauti. Hapo tutapata picha kamili.
 
Another new road opens in Nairobi
icd road 2.JPG
icd road.JPG
 
Mzee manyota hajahudhuria event mbili mfululizo,sijui shida nn?
Kuna option ya bunge kutokuwa na imani na rais aliye madarakani. Time is the best truth teller! Hata wazee wa the gunners wote hawakuwa happy kabisa tena yule manyota ndio kabisa alikuwa amekasirika kinyama sema tu ndo hivyo tena wanasilizia.
 
e sn, lkn pia nahisi alihofia kuleta mtafaruku ndani ya chama.
Kipindi kile halichaguliwa na akina mkapa hakuwa na maamuzi na ndio waliomuweka madarakani yeye chaguo lake lilikua kijazi awe makamu wake ila ndo hivyo wote wamesepa
Ilikuwa ni muongoza wa chama kuwa mwanamke awe makamu, yeye alipendelea Mwinyi awe masaidizi wake. Haya yalikuwa maneno yake mwenyewe Magu, hotuba zake zote nazikumbuka.
 


Tanzania we are blessed y'all should know that... namshukuru Mungu nime experience the era ya JPM coz this is a blessing.... watanzania tuwe wazalebdo kama huyu mzee tuta fika mbali sana ..... RIP Mzee wangu najua upo mahali pema... Amen
 
Kwa kweli nilishituka sana kuona yule m-persia anarudi tz wakati alikimbia baada ya magu kuingia madarakani.
Mbona aliondoka toka kipindi kile cha kujivua gamba, alipo jiuzulu ubunge?
Who's m-persia?
King maker wa Igunga.
Chief,
Unadhani tutaishi maisha magumu katika nyanja zipi chini ya mama? Naamini kila mtu ana karama na namna yake katika uongozi, hawawezi kufanana...ila unaposema tutapitia kipindi kigumu nashindwa kuelewa. Umeona nini ambacho wengi hatujaona?
Hamaanishi maisha magumu ya mtu mmoja mmoja bali muelekeo wa nchi (rasilimali, maendeleo n.k)
 
Back
Top Bottom