Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nilikua simpendi Kikwete kutokana na uongozi wake, kabla ya Magufuli sikuwa mzalendo, Magufuli ndiye aliyerudisha uzalendo wangu kwa Tanzania, sasa najiona kurudi kulekule kuungana na wasiowazalendo, very unfortunate indeed.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu tupambane tu hakuna namna, hii ni nchi yetu hakuna nyingine tunayoweza ku brag hata ikitokea ukabadili uraia but the motherland will always stay as the motherland, kiukweli Magu alirudisha uzalendo wa Watz kwa nchi yao, tulikuwa tunajisikia fahari mno kuona rais wa TZ anazungumziwa mpk ulaya na kwamba wazungu wanatoka kwao wanamfata mkuu nyumbani kwake Chato, ila mkuu Joto amini kwamba ktk viumbe vilivyowaumiza Watz kwa kufariki kwake basi ni Magu, Watz wameumia sn sn sn na kifo cha Magufuli, hakuna siku ikapita bila kumsikia mTz akiongea jinsi alivyoguswa na kifo cha Magufuli.

Hii kitu huwa inanipa nguvu ya ku move on Mana wahenga wanasema msiba wa wengi sherehe, ss mkuu naomba tuendelee kupambania hii miradi kwanza iishe cz viongozi wengi huwa wanapita kwenye hii thread, so mchango wako ni muhimu sana zaidi ya unavyoweza kudhani mkuu.
 
Pia mkuu joto la jiwe kuna msemo ulisema leo kwamba Magu anapaswa alaumiwe kwa kutuachia "huyu" hata mm niliwahi kumwambia jamaa yangu kwamba namlaumu sn Magu kwa nn asingechagua mwengine mana unapokuwa president lazima uijue katiba inasemaje, ss unapochagua msaidizi ujue kwamba km itatokea Bahati mby juwa kwamba msaidizi wako lazima akurithi, lkn wkt mwingine nikajisemea kimoyo moyo kwamba Magu naye ni binadamu, huwa tunajipa moyo kwamba kifo ni kwa ajili ya wao co mm, km ni mm basi ni baadae sn, lkn pia nahisi alihofia kuleta mtafaruku ndani ya chama.
Kipindi kile halichaguliwa na akina mkapa hakuwa na maamuzi na ndio waliomuweka madarakani yeye chaguo lake lilikua kijazi awe makamu wake ila ndo hivyo wote wamesepa
 
IMG_20210403_181614.jpg
 
Jaffo alimuonya na kumpa muda wa kujirekebisha, mbona asisubiri kuona kama atajirekebisha, kama amedhani hana uwezo wa kujirekebisha kwanini asimuache anamuhamisha wizara?, Mwigulu Nchemba hatoshi wizara ya fedha, Bashiru hajaanza kazi kujua uwezo wake, vipi anamtoa?.

Ukweli lazima usemwe, mama hana uwezo wa kuchallenge team iliyopangwa na Magufuli, angesubiri kwanza kuanza na team aliyoikuta. Pili inaonekana anategemea sana taarifa za kuletewa, hana taarifa kamili za nchi.

Ngoja tuone, ila sioni kama atatufikisha tunakokwenda kwa kasi na hari iliyopo, viatu vya Magufuli ni vikubwa sana kwakwe, huyu mama uongozi wake hautofautiani na Kikwete.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unamchagulia watu wa kufanya nao kazi wewe kama nani? Kwani lazima Bashiru awepo ikulu au Jaffo awepo Tamisemi au kumuonya kunaondoa mamlaka yake ya kumtoa hiyo wizara.

Unaposema anategemea taarifa za kuletewa kwani mfumo unafanyaje kazi, kuna Rais duniani anayeenda kutafuta taarifa? Au wewe unataka taarifa za kimbea ndio aziamini na sio ripoti za wataalam.

Kusema hatotofautiana na Kikwete maana tunaenda kuzuri kama akikwepa mapungufu yake lakini kuelekea kwa Magufuli ni kwenda kutupoteza kabisa(subjective opininion just like yours)
 
Kipindi kile halichaguliwa na akina mkapa hakuwa na maamuzi na ndio waliomuweka madarakani yeye chaguo lake lilikua kijazi awe makamu wake ila ndo hivyo wote wamesepa
Sio kweli kaka, katiba ya nchi inalazimisha kwamba lazima makamu atoke upande wa Pili wa muungano.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Unamchagulia watu wa kufanya nao kazi wewe kama nani? Kwani lazima Bashiru awepo ikulu au Jaffo awepo Tamisemi au kumuonya kunaondoa mamlaka yake ya kumtoa hiyo wizara.

Unaposema anategemea taarifa za kuletewa kwani mfumo unafanyaje kazi, kuna Rais duniani anayeenda kutafuta taarifa? Au wewe unataka taarifa za kimbea ndio aziamini na sio ripoti za wataalam.

Kusema hatotofautiana na Kikwete maana tunaenda kuzuri kama akikwepa mapungufu yake lakini kuelekea kwa Magufuli ni kwenda kutupoteza kabisa(subjective opininion just like yours)
Mkuu joto la jiwe usijibu hii achana naye.
 
Kingine Kwa mtazamo wangu Mambo hayajaharibika kama wengi wanavyodhani...haya yanayoendelea hakuna aliejianga Nayo basi hatuna budi kuombea aliepewa dhamana walau aweze kutuvusha!!
 
Back
Top Bottom