Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo tumaini lililobaki hilo, mpango nahisi ndiye atakaeongoza hii nchi ila wasi wasi wangu wanaweza wakaanza ku deal naye mapema, cz mama anaonekana km "ndiyo mzee"
uzuri magufuli alisha tia sign important mineral contract na kaacha smelters zinajengwa so kupigwa kwenye rasili mali sio sana.
kweli mkuu mpango ndio matumaini yaliyobaki
 
rest easy mzee [emoji1478]
IMG_1617447922.212787.jpg
IMG_1617447931.383727.jpg
 
Eeeh sio mambo ya kutegemea watu wakupe repoti au kusubiria ripoti za uongo kwa mfano sekta ya madini bado sana ,inafaa awe mjanja kama jpm na hasiwamin sana mawaziri wake
Alichofaulu mama ni kumteua Dr. Mpango cz huyu mzee hatokubali kuharibu CV yake, atapambana nao mwanzo mwisho cz anaiona njia ya urais nyeupee so atataka kuendeleza imani aliyoanza kujijengea kwa wananchi.
 
Ukiwauliza wazee wanakuambiaje kabla ya jpm alikua sokoine kwaiyo tukae mkao wa kuliwa tu hatutompata kiongozi kam jpm kwa miaka ya hvi karibuni, stepu ya Kwanzaa mama kufeli ni kumwamin sana CAG ila Acha tuone mchezo mpira ndio Kwanzaa kipindi cha kwanzaa
Ndio maana nasema Magufuli alikuwa anafanya uchunguzi wake, ndio maana wakati mwingine utasikia anasema "wewe najua wanakupiga vita"
Mimi Nilishtuka kuona kapokea report ya CAG na kutoa maamuzi.
Waswahili husema muda ni mwamuzi mzuri.
 
Minor Estate roads in Nairobi. In some East African countries, they only focus on main roads.

 
mama akitaka hii serekali isimshinde awe na secretive inteligent task force ambayo itafanya back to back investigation kwa kila ripoti anayopewa lasivyo yangu macho.
lakini mpango naamini atacover madhaifu mengi ya mama sababu anaupeo wa magu licha ya kuwa na elimu nzuri so kwa kiasi flani hatutayumba kiviile
Nahisi Mpango atajiuzulu,
 
Ndio maana nasema Magufuli alikuwa anafanya uchunguzi wake, ndio maana wakati mwingine utasikia anasema "wewe najua wanakupiga vita"
Mimi Nilishtuka kuona kapokea report ya CAG na kutoa maamuzi.
Waswahili husema muda ni mwamuzi mzuri.
Alikuwa ananifurahisha akifanya uteuzi wa viongozi hata wakiwa 20 ataanza kumtaja jina mmoja mmoja na anaanza kumwelezea historia yake pasipo kusoma sehemu, yule mwamba yule hatari sana, sidhani kama ubongo wake walimwacha azikwe nao, nahisi watakuwa waliuchukua kuuchunguza.
 
Back
Top Bottom