toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Nimeibookmark hii post, ntakurudia ikikamilikaHilo lenu bovu sana. Afu pamefinyika space hamna.
Nimeibookmark hii post, ntakurudia ikikamilikaHilo lenu bovu sana. Afu pamefinyika space hamna.
Watayajuaje wapinzani hawa
mshaanza majungu kwa Rais anayekaribia kutimiza wiki 2 madarakani!Nahisi Mpango atajiuzulu,
Alikuwa ananifurahisha akifanya uteuzi wa viongozi hata wakiwa 20 ataanza kumtaja jina mmoja mmoja na anaanza kumwelezea historia yake pasipo kusoma sehemu, yule mwamba yule hatari sana, sidhani kama ubongo wake walimwacha azikwe nao, nahisi watakuwa waliuchukua kuuchunguza.
Mama hana uwezo kabisa, katika hili la kutuchagulia makamo wa rais asiyekua na uwezo, lawama zote ni kwa Magufuli, ametuachia matatizo makubwa Sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nyota njema huonekana mapema kabisa, kwa anayofanya ni viroja.Ni mapema sana kumtathmini ikiwa hata mwezi hajamaliza.
Nyota njema huonekana mapema kabisa, kwa anayofanya ni viroja.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
![]()
Tanzania's Late President Magufuli: "Science Denier" or Threat to Empire?
While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates.unlimitedhangout.com
Jaffo alimuonya na kumpa muda wa kujirekebisha, mbona asisubiri kuona kama atajirekebisha, kama amedhani hana uwezo wa kujirekebisha kwanini asimuache anamuhamisha wizara?, Mwigulu Nchemba hatoshi wizara ya fedha, Bashiru hajaanza kazi kujua uwezo wake, vipi anamtoa?.Viroja gani tena?
Kaka Joto huwa nakuelewa sana mkuu, hata haya unayosema mm pia nmeona lkn tumpe muda tuone.Jaffo alimuonya na kumpa muda wa kujirekebisha, mbona asisubiri kuona kama atajirekebisha, kama amedhani hana uwezo wa kujirekebisha kwanini asimuache anamuhamisha wizara?, Mwigulu Nchemba hatoshi wizara ya fedha, Bashiru hajaanza kazi kujua uwezo wake, vipi anamtoa?.
Ukweli lazima usemwe, mama hana uwezo wa kuchallenge team iliyopangwa na Magufuli, angesubiri kwanza kuanza na team aliyoikuta. Pili inaonekana anategemea sana taarifa za kuletewa, hana taarifa kamili za nchi.
Ngoja tuone, ila sioni kama atatufikisha tunakokwenda kwa kasi na hari iliyopo, viatu vya Magufuli ni vikubwa sana kwakwe, huyu mama uongozi wake hautofautiani na Kikwete.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakuna wa kuwazuia, Simba mwaka huu ni km mafuriko huwezi kuyazuia kwa mkono.Simba raha aiseh
Matumaini yangu yanafifia siku adi sikuIt’s April. Treni za umeme inabidi ziwe njiani kwa sasa!
Mimi nilikua simpendi Kikwete kutokana na uongozi wake, kabla ya Magufuli sikuwa mzalendo, Magufuli ndiye aliyerudisha uzalendo wangu kwa Tanzania, sasa najiona kurudi kulekule kuungana na wasiowazalendo, very unfortunate indeed.Kaka Joto huwa nakuelewa sana mkuu, hata haya unayosema mm pia nmeona lkn tumpe muda tuone.
Unajua kaka viatu vya Magu anayeweza kuvivaa ni Nyerere, Sokoine, ama Dr. Salim, na pengine hata wao huenda wangejaribu tu, Magu ni mzito sana sana, ni kiongozi ambaye hata Tz kwake ilikuwa ndogo mno ingefaa apewe Africa labda ingemtosha.
Mm ni muumini wa Mwl Nyerere kufa, lkn kiukweli kabisa bila kupepesa macho ni kwamba Magu yupo ktk sayari yake, ana uwezo wa ajabu sana yule mzee, alikuwa anaiyona Tz anayotaka yeye, alitaka tuanze upya na kwa hali yoyote tufike pale walipo wazungu, tumeshindwa kumlinda kutokana na ufinyu wa teknolojia tulio nao waafrika.
Lkn naamini mama yupo kwenye mikono salama ya Dr. Mpango na tuamini hivyo kwn kusubiri kiongozi mwenye kariba ya Magu aje aongoze Tz ni ngumu na haiwezekani kwa ss, itachukua miaka mingi sn kupata kiongozi mfano wake, kwa ss tukubali Magu ametuacha katikati ya safari lkn taifa lazima liendelee kuongozwa na Watz km alivyosema the Great Julius Nyerere kwamba Watz wenyewe wanaopaswa kuongoza ndio hawa hawa, so tumpe muda mama japo hata mimi nahisi anasikiliza sana ya watu but tumpe muda ikishindikana pale juu kwenye huu uzi kuna sehemu ya unsubscribe tunagusa tu basi kiroho safi.
Uwe na moyo mkuu, inawezekana.Matumaini yangu yanafifia siku adi siku
Ninakubaliana na wewe, muhimu watanzania tujiandae kwa hali ngumu chini ya uongozi wa huyu mama, sioni matumaini mbele.Pia mkuu joto la jiwe kuna msemo ulisema leo kwamba Magu anapaswa alaumiwe kwa kutuachia "huyu" hata mm niliwahi kumwambia jamaa yangu kwamba namlaumu sn Magu kwa nn asingechagua mwengine mana unapokuwa president lazima uijue katiba inasemaje, ss unapochagua msaidizi ujue kwamba km itatokea Bahati mby juwa kwamba msaidizi wako lazima akurithi, lkn wkt mwingine nikajisemea kimoyo moyo kwamba Magu naye ni binadamu, huwa tunajipa moyo kwamba kifo ni kwa ajili ya wao co mm, km ni mm basi ni baadae sn, lkn pia nahisi alihofia kuleta mtafaruku ndani ya chama.