Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
JPM died. What at a time to be alive
Okay, nilitaka nishangae asee. Naona wako vizuri. Kama wataendelea hivyo hivyo.Ufunguzi jiwe la msingi
Mkuu, kwamba mama atafanya "sandakalawe" kwa rasilimali zetu? Ataziachia tu na kuwapa mabeberu bila maslahi ya nchi kwanza? Mimi sidhani, japo hawezi kuwa kama mzee pasee...ila hawezi kuachia mali zetu hovyo.Mbona aliondoka toka kipindi kile cha kujivua gamba, alipo jiuzulu?
King maker wa Igunga.
Hamaanishi maisha magumu ya mtu mmoja mmoja bali muelekeo wa nchi (rasilimali, maendeleo n.k)
Nilikuwa tuu nakufafanulia jinsi nilivyomuelewa joto la jiwe katika bandiko hili #271,444 . Binafsi siwezi kusema chochote kuhusu mama kwa kuwa bado ni mapema sana kutoa tathmini.Mkuu, kwamba mama atafanya "sandakalawe" kwa rasilimali zetu? Ataziachia tu na kuwapa mabeberu bila maslahi ya nchi kwanza? Mimi sidhani, japo hawezi kuwa kama mzee pasee...ila hawezi kuachia mali zetu hovyo.
Naona tusimu-underestimate sana. She can prove us wrong. Sio mpole yule hata kidogo. Ngoja azoee kiti kwanza tutamuelewa tu. Ile kuongea (sauti)na haiba yake kwa ujumla isifanye tuone atalegeza.
Sio kwamba mama ataiuza nchi,Mkuu, kwamba mama atafanya "sandakalawe" kwa rasilimali zetu? Ataziachia tu na kuwapa mabeberu bila maslahi ya nchi kwanza? Mimi sidhani, japo hawezi kuwa kama mzee pasee...ila hawezi kuachia mali zetu hovyo.
Naona tusimu-underestimate sana. She can prove us wrong. Sio mpole yule hata kidogo. Ngoja azoee kiti kwanza tutamuelewa tu. Ile kuongea (sauti)na haiba yake kwa ujumla isifanye tuone atalegeza.
usichukulie poa kiti cha raisi anyway raisi(taasisi) anapokea taarifa nyingi sana kinachotakiwa ni yeye kuamua na jopo lake la washauri kwa maslah ya taifa.Sio kwamba mama ataiuza nchi,
Ila uwezo binafsi wa raisi kujua hapa tunaibiwa.
Mfano, makinikia bila jpm hii biashara ingeendelea kwa muda mrefu.
Mererani, sidhani kama kuna mtu angewaza kujenga ukuta.
Mifano ipo mingi ila hii ni baadhi
Ndiyo yupi huyo mzee manyota?Mzee manyota hajahudhuria event mbili mfululizo,sijui shida nn?
Naona unarudisha uzi kwenye default, safi sana mkuu.
Wachina wanaenda kumchoresha mturuki we ngj uone.Wachina wapo fasta jamani daah
Yupi ulitaka awe makamu wa Rais na utupe rekodi yake!Mama hana uwezo kabisa, katika hili la kutuchagulia makamo wa rais asiyekua na uwezo, lawama zote ni kwa Magufuli, ametuachia matatizo makubwa Sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ukitegemea reports kutoka chombo kilichowekwa kwa kazi hiyo "CAG" inakua simple sana kwa mafisadi au mabeberu maana watakachofanya ni kubribe hicho chombo. Ila kama una sources zako pembeni inakua ngumu maana source haijulikani (Magu style). Ndio maana hata baadhi wanapotoka kwa kuamini upinzani pekee kumbe wenzao wanalipwa kupeleka mada bungeni mfano ACACIA na Zitousichukulie poa kiti cha raisi anyway raisi(taasisi) anapokea taarifa nyingi sana kinachotakiwa ni yeye kuamua na jopo lake la washauri kwa maslah ya taifa.
hapo kale ripoti zilkua zinafungiwa makabatini kwa kuhofia maamuzi magumu.......which is 6yrs haikupita kapa kwa yule maza
so mpeni muda maza bana