Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitegemea reports kutoka chombo kilichowekwa kwa kazi hiyo "CAG" inakua simple sana kwa mafisadi au mabeberu maana watakachofanya ni kubribe hicho chombo. Ila kama una sources zako pembeni inakua ngumu maana source haijulikani (Magu style). Ndio maana hata baadhi wanapotoka kwa kuamini upinzani pekee kumbe wenzao wanalipwa kupeleka mada bungeni mfano ACACIA na Zito
bahati mbaya sana raisi hana chombo ki1 cha taarifa rejea mamlaka ya raisi kikatiba!!

af technically mwamuzi ni takukuru sio CAG maana CAG anadeel na mahesabu na sio wizi!!
 
Tumpe Mama muda maana ndo Rais wetu kwa sasa tumombee na tumtie moto uzuri amekuta mambo mengi yamekaa vizuri ni yeye kunata na beat tu, unajua wakati wote hasa kwny nchi zetu hizi za kiafrika anapoingia Rais mpya madarakani kunakuwa na kile kipindi cha mpito chenye hofu na mashaka,mshike mshike flani hivi.. baadae mambo hutulia tumuache atengeneze trust team yake,ila mi namshauri awe makini sana na Uzanzibar na Utanganyika..akileta upendeleo wa waziwazi upande wa pili kama ilivyo desturi ya watawala inaweza muwia vigumu,atazame huu mzani kwa akili kubwa sana ndo maana Zanzibar kuna Rais ila Tanganyika hakuna...sikuona sababu ya yeye kuaddress swala la fedha that day Kwa Dr Mpango namna ile, hata kama ni kuonyesha authority. Cheo chake kinatosha sana kuonyesha yeye ndo boss kwetu sisi sote,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Washauri mumshauri mama yetu vizuri,ndo tegemeo letu,tegemeo la Tanzania kwa sasa.
Maybe mkuu, nilipoona mama anapostpost vitu huko tweeter havina hata maana nimekuwa sina confidence kabisa na mama.
 
Yupi ulitaka awe makamu wa Rais na utupe rekodi yake!
Sio rahisi sana kupata records Zao, lakini Makame Mbarawa, nadhani yupo better kuliko huyu mama ukiwaweka katika mzani wa utendaji wa kazi, hata Hussein Mwinyi is much better.

Kama alivyosema Magufuli, sababu kubwa ya kumchagua huyu mama ni kwa sababu ni mwanamke, lakini aliyestahili ni Hussein Mwinyi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sio rahisi sana kupata records Zao, lakini Makame Mbarawa, nadhani yupo better kuliko huyu mama ukiwaweka katika mzani wa utendaji wa kazi, hata Hussein Mwinyi is much better.

Kama alivyosema Magufuli, sababu kubwa ya kumchagua huyu mama ni kwa sababu ni mwanamke, lakini aliyestahili ni Hussein Mwinyi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe unafikiria bila mwanamke CCM ingebaki madarakani 2015? CCM walijibu mazuri kwa voting block yao kubwa kwa kuwa-reward wanawake na nafasi nzuri zaidi! Politics ni mchezo wa bao mwenye kete nyingi mkononi ana chance kubwa ya kushinda!
 
Sasa wewe unafikiria bila mwanamke CCM ingebaki madarakani 2015? CCM walijibu mazuri kwa voting block yao kubwa kwa kuwa-reward wanawake na nafasi nzuri zaidi! Politics ni mchezo wa bao mwenye kete nyingi mkononi ana chance kubwa ya kushinda!
Hata wakiweka jiwe CCM wanapita nchi hii, records ya Magufuli ilikua inajulikana Tanzania nzima, hakuhitaji kuwepo kwa mtu yeyote nyuma yake kushinda uchaguzi, kumbuka katika kampeni jina lake liliuzika kuliko CCM

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
😁😁😁😁😁

0653C984-EAE6-4AB4-8E29-A4970F6B04C2.jpeg




 
Mama akirudi kutoka Dodoma, hapa mzee alikuwa anatumia gari ili kusikiliza wananchi njiani uko, anyway kila kitabu na nabii wake.View attachment 1743028
tumpe muda,najua nae atakua na mazuri yake,Yes Hawezi fanya kama mtangulizi wake maana viatu vile ni vikubwa sana kwake.
Yes watu wa visiwani zanzibar hua wengi waungwana sana sasa tatizo liko huku bara akiwaamini watamchezea chezea kwa maneno matupu.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 1743022





kenya ni nchi moja wapo ya kifala fala iliyoingia mitego ya WB na IMF. Mzee Magu aliongelea hili sana wakampuuzia. Hapo bahati yao China hawajahusika[emoji23].. au kwa vile wana deni la SGR

sidhan kama kenya huwa wanapata mikopo zaid ya $6.4 billions ndani ya mwaka mmoja.. cha ajabu hela yote hio inahusika na Covid-19
 
Maybe mkuu, nilipoona mama anapostpost vitu huko tweeter havina hata maana nimekuwa sina confidence kabisa na mama.
Tumpe muda kaka ndo kwanza mawiki, Rais ni Taasisi na mama anaonekana ni mtu wa kushaurika akipata team nzuri mambo yatakwenda fresh nikimtazama kwa haraka anaonekana si mtu wa kupenda kujilimbikizia mali, wanawake wanajitahidi kwny hili,pia kwa nafasi alizopitia mpk kufikia umakamu na sasa ni Rais si haba ameshawahi kuongoza,kwa hiyo swala la kuongoza watu si shida,shida ninayoiona hapa ni balance of power kuna baadhi ya watu huku mtandaoni wameshaanza kusema sasa ni zamu yetu Wazanzibar...Pasipo kujua mama akiwasikiliza hawa anaweza kujikuta pabaya by default Mpango anaweza akawa ni Rais kivuli wa Bara ambaye ana back up kubwa sana ya Taasisi zenye nguvu likiwepo Bunge,Jeshi,mahakama na umma kwa ujumla...ni mtu mwenye misimamo na yuko vocal kweli kweli ninachokiona mimi anaweza kuwasaidia wazanzibar kimya kimya ila asilete Siasa kwenye hili,akaze kuna wataomtekenya,watakomfinya,watakaomchoma choma kwny hili inabidi awe strong kweli kweli ili afikishe hili tray la mayai salama lisimponyoke binadamu wanafiki sana siku mambo yakienda kombo hatamuona mtu watamwacha peke yake.
 
Back
Top Bottom