KOT as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna option ya bunge kutokuwa na imani na rais aliye madarakani. Time is the best truth teller! Hata wazee wa the gunners wote hawakuwa happy kabisa tena yule manyota ndio kabisa alikuwa amekasirika kinyama sema tu ndo hivyo tena wanasilizia.Mama hana uwezo kabisa, katika hili la kutuchagulia makamo wa rais asiyekua na uwezo, lawama zote ni kwa Magufuli, ametuachia matatizo makubwa Sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tanzania tuna tabia moja tolerance ila 2025 km atakuwa hatoshi mwenyewe atakabidhi kwa Mpango.Kuna option ya bunge kutokuwa na imani na rais aliye madarakani. Time is the best truth teller! Hata wazee wa the gunners wote hawakuwa happy kabisa tena yule manyota ndio kabisa alikuwa amekasirika kinyama sema tu ndo hivyo tena wanasilizia.
Umejuaje hana uwezo?Mama hana uwezo kabisa, katika hili la kutuchagulia makamo wa rais asiyekua na uwezo, lawama zote ni kwa Magufuli, ametuachia matatizo makubwa Sana
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu baada ya kubandika hii post kuna mdau ameniuliza kama ulivyoniuliza wewe, jaribu kufuatilia nimejibu hili swali.
Kwa kweli nilishituka sana kuona yule m-persia anarudi tz wakati alikimbia baada ya magu kuingia madarakani. Tena baada ya kurudi akawa karibu kabisa na Magu jambo ambalo kidogo lilileta ukakasi kwenye idara yangu ya ubongo na kujiuliza maswali mengi sana bila majibu. Yule m-persia ni mtu hatari na ana connection nyingi sana za kimafioso internally and exteranally. Hata Msoga man pia ni mtu ambaye miaka yote amekuwa karibu sana na huyu m-persia. KUNA WINGU ZITO KWENYE KIFO CHA JPM.Kikwete anaonekana kuwa mchangamfu sana toka msibani
Who's m-persia?Kwa kweli nilishituka sana kuona yule m-persia anarudi tz wakati alikimbia baada ya magu kuingia madarakani. Tena baada ya kurudi akawa karibu kabisa na Magu jambo ambalo kidogo lilileta ukakasi kwenye idara yangu ya ubongo na kujiuliza maswali mengi sana bila majibu. Yule m-persia ni mtu hatari na ana connection nyingi sana za kimafioso internally and exteranally. Hata Msoga man pia ni mtu ambaye miaka yote amekuwa karibu sana na huyu m-persia. KUNA WINGU ZITO KWENYE KIFO CHA JPM.
Mkuu wabunge wetu ni wachumia tumbo, hakuna mbunge atakayekua tayari kurudi kwenye uchaguzi, hawana msaada wowote kwa Tanzania hao wabunge.Kuna option ya bunge kutokuwa na imani na rais aliye madarakani. Time is the best truth teller! Hata wazee wa the gunners wote hawakuwa happy kabisa tena yule manyota ndio kabisa alikuwa amekasirika kinyama sema tu ndo hivyo tena wanasilizia.
Kwa kukazia tu ni kwamba pesa nyingi ya nchi hii inaishia bungeni.Mkuu wabunge wetu ni wachumia tumbo, hakuna mbunge atakayekua tayari kurudi kwenye uchaguzi, hawana msaada wowote kwa Tanzania hao wabunge.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wananchi tunamzoom, kwenye chama tunamzoom, na gunners macho kodo. Tanzania ipo systematic sana.Hata mimi nimeanza kupata wasiwasi sana
Leo nimeandika gazeti dadeki 😂😂😂😂😂Tumpe Mama muda maana ndo Rais wetu kwa sasa tumombee na tumtie moto uzuri amekuta mambo mengi yamekaa vizuri ni yeye kunata na beat tu, unajua wakati wote hasa kwny nchi zetu hizi za kiafrika anapoingia Rais mpya madarakani kunakuwa na kile kipindi cha mpito chenye hofu na mashaka,mshike mshike flani hivi.. baadae mambo hutulia tumuache atengeneze trust team yake,ila mi namshauri awe makini sana na Uzanzibar na Utanganyika..akileta upendeleo wa waziwazi upande wa pili kama ilivyo desturi ya watawala inaweza muwia vigumu,atazame huu mzani kwa akili kubwa sana ndo maana Zanzibar kuna Rais ila Tanganyika hakuna...sikuona sababu ya yeye kuaddress swala la fedha that day Kwa Dr Mpango namna ile, hata kama ni kuonyesha authority. Cheo chake kinatosha sana kuonyesha yeye ndo boss kwetu sisi sote,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Washauri mumshauri mama yetu vizuri,ndo tegemeo letu,tegemeo la Tanzania kwa sasa.
Nop, it is a stupid game you are playing. Instead of answering what i am commenting you and your minions find easy way to avoid it by throwing these unfounded claims expecting me to defend myself. Suppose your argument is valid why does it bother you so much? How does it stop you from having counter argument of particular topic?Hehehehee asante sana ila tushakustukia mkuu, endelea na tabia yako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeandika in English kwamba ndiyo watu wakuelewe au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nop, it is a stupid game you are playing. Instead of answering what i am commenting you and your minions find easy way to avoid it by throwing these unfounded claims expecting me to defend myself. Suppose your argument is valid why does it bother you so much? How does it stop you from having counter argument of particular topic?
Ad hominem attacks aim at character assassination and it is a cowardly tactic in any meaningful discussion, however it is nothing new.
Umeandika in English kwamba ndiyo watu wakuelewe au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm hawa wapumbavu nitapambana nao mpk naingia kaburini qumaamaee.ni kawaida hio pale maji yanapokufikia shingoni