Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TANZANIAS STOP DIS US LIKE THIS WE BROTHERS LOL
 
OK basi ni bus lanes ila ishu ya vituo na footbridges ni lazima aisee
Footbridge ipo mzee si nmekuwekea ipo pale stand kuu ya Magufuli, au ulitaka footbridge njia nzima? Na interchange pia zipo, Btw haya mambo bado ni mageni hapa kwetu tupeane mda tutayazoea, expressway inakuwaje na vituo vituo kila sehemu?
 
Eti footbridge haihitajiki kwenye hii highway? Kwani hakuna watu wanaoishi kando kando mwa barabara hii pana? Halafu barabara hii pana bila footbridge watu wengi watagongwa na gari. Footbridge ni lazima iwe. Hii sio barabara kadogo ka mtaani, hili ni jitu la barabara hata huwezi kuvuka bila footbridge. Unajua nyinyi hamjawahi kuwa na barabara pana kama hii ndio maana unaona kama footbridge sio lazima.
Kwn Thika ina footbridge ngp?
 
Huyo jamaa anafikiri watu watavukaje barabara ya 8 lanes bila footbridge? Kwani mnataka kuuwa watu?
Footbridge hii hapa km una lingine sema[emoji116][emoji116]
JamiiForums1431810050.jpg
 
Kwe
Kwenye hii highway tumepigwa kuna vitu muhimu havijakaa sawa ila ni kwasababu mkandarasi anajifunzaa , footbridge ni lazima naona haikuwa Kwenye plan ya mkandarasi sijui ila mradi badoo hujakamilika
Ss km unajua mradi haujakamilika mbn unalaumu kabla haujakabidhiwa?
 
. Ila Kenyans ni wahuni sana, hamuwez kutuepuka . Oya sakata la mahindi mchongo ulikua hiv

Who is loosing in this fight. Most definitely not the countries. The average traders, are. I feel like even the average administrators don't know what is going on the maize scandal may be, it may have been created intentionally by both countries intelligent service to divert Magufulis illness. I'm just thinking
 
Back
Top Bottom