Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio mimi nasema uipe nchi ya Kenya heshima kwa kuwatangulia kwenye mradi huu. Jifunze kusoma vizuri.
izo ni tabia za kikenya typically [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haya sie hatukukopi kwenu wala hatukua na taarifa hata!

"hatutaki kuwapa heshima sababu sisi tuliwaiga Germany.

naona umepanic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya enjoy na picha ya huyu mkuu wa wilaya then kunywamaji 'utazoea tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20210402_000101.jpg
 
Thamani ya pesa inabakia kuwa sawa ila bunda linapunguka ukibadilisha from Tsh to Ksh. Hamna mambo ya kubebana na mabunda huku. Na ukiona mtu amebebana na mabunda ya noti huku ujue huyo amebeba pesa ya thamani kubwa.
Dunia sasa hivi inaondokana na kubeba makaratasi tunaelekea kwenye digital money. Wewe mwenzetu bado unababaika na rate.
By the way Purchasing Power ya TSh ni kubwa kuliko ya hiyo Ksh.
 
Sisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.
 
We jamaa highway ya almost 20km iwe na footbridge moja tuu kweli iyo inakuja akilin mzee na kingine madala yatakua yanashusha abiria wapi kwa sababu hamna vituo iyo inakuja akilin mzee
Sasa kwani road imekamilika? Yani unataka highway iwe na footbridge kila baada ya mita kadhaa au co? Hivi unataka kunambia wao hawajui kwamba sehemu za kushusha na kupakia abiria zinahitajika? Yn niamini wewe umeona halafu wao hawajaona au sio?

Pia ngj nikushauri fanya cku uende kufanya tour ya kuicheki hyo road mana naona unaongea kana kwamba hujawahi kuiona, nenda uone kama hakuna sehemu za kushusha na kupakia abiria.
 
Sisi ndio nchi ya kwanza na nchi pekee Africa mashariki na kati kuwa na barabara ya 8 lanes. Barabara yenyewe inaitwa Thika road na ilikamilika mwaka wa 2010. Kuna sehemu za Thika road ambazo zina leni kumi. So uwe na heshima unapozungumza na nchi ambayo imewatangulia kwenye mambo haya.
Yenu ni six line , ni vipand vidog sna vyenye nne usituchonge apa
 
Acha kuongea km mlevi kuna sehem wamepanua kabisa njee ya izo njia nne..bila shaka vitakuwa vituo..
Ndiyo maana nikamwambia afanye tour akajionee mwenyewe, hii road inajengwa na kampuni ya kizalendo Estim, wamejitahidi sana japo wamechelewa lkn wamejitahidi sana kuzingatia quality.
 
Sasa kwani road imekamilika? Yani unataka highway iwe na footbridge kila baada ya mita kadhaa au co? Hivi unataka kunambia wao hawajui kwamba sehemu za kushusha na kupakia abiria zinahitajika? Yn niamini wewe umeona halafu wao hawajaona au sio?

Pia ngj nikushauri fanya cku uende kufanya tour ya kuicheki hyo road mana naona unaongea kana kwamba hujawahi kuiona, nenda uone kama hakuna sehemu za kushusha na kupakia abiria.
Hamna vituo vya daladala mzee nmepita jana watu wanashushiwa ndani ya barbara na kingine izo lane za katkat za mwwndokaz zitakua za kuchora kama za kenya yani kwenye huu mradi aisee tumebugii of course mradi hujaisha labda kuwe na marekebisho
 
Hahaha.
 
Acha kuongea km mlevi kuna sehem wamepanua kabisa njee ya izo njia nne..bila shaka vitakuwa vituo..
Mzee baba nmepita juz huu upande wa kushoto kuelekea town ushachorwa kidogo kuanzia maeneo ya mbez mwisho kwa mbele kidogo na kile kipande chote kilichochorwa hamna dalili ya kituo labda wajenge kama vituo kama kwenye vituo vya daladala kwenye barbara ya morogoro road kuanzia kimara mwisho mpaka kivukoni ambambo vituo vipo fused na barabara haviko dedicated
 
Marekani ndio anaongoza katika sector ya Anga kwa sababu yeye ndiye anayeunda ndege. Boeing ni Kampuni ya marekani na wanunuzi wengi wamekuwa ni wamarekani. China haina uwezo wa kuunda ndege ya abiria. China wanaweza tu kuunda ndege za kivita. Lakini commercial airliner bado Uchina wako nyuma ila wanajaribu kuunda ndege ya abiria inayoitwa Comac c919 ila bado inafanyiwa testing. Ila Wachina wakishaelewa kuunda ndege za abiria vizuri basi wataziunda nyingi kwa mpigo. Ila kampuni za kichina hazina ujuzi wa kuunda engine za ndege ya abiria.

Back
Top Bottom