Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ss ziko ngp, hizo 12 more manaake bado hazijajengwa, hongereni mana mpk hapa nmeona 4 tu, btw footbridge co issue kubwa ya kuanza kulaumu wajenzi ilihali road bado haijakamilika, ni kuweka tu machuma basi.
 
Hiyo ya Dar - Chalinze ilikuwa imepangwa kuwa expressway ila kuna mabadiliko yalifanyika ikiwa ni pamoja na kuiongezea lanes sasa sijui kama bado itakuwa expressway.

Ni azimio lililohusisaha mambo makuu mawili;
1. Miiko ya uongozi (kutokutoa wala kupokea rushwa, uadilifu, kuwatumikia wananchi)
2. Njia zote za kiuchumi kumilikiwa na umma.

Kiufupi Magu alilirudisha Azimio la Arusha kimatendo bila ya kulitaja hadharani kwasababu neno "azimio la Arusha" huwa lina stigma fulani Tanzania.
Uko smart sana,lakini bado alienda mbali zaidi kulinda rasilimali za taifa alipambania kwa kiasi chake
 
Kwa ss ziko ngp, hizo 12 more manaake bado hazijajengwa, hongereni mana mpk hapa nmeona 4 tu, btw footbridge co issue kubwa ya kuanza kulaumu wajenzi ilihali road bado haijakamilika, ni kuweka tu machuma basi.
I will get you more tomorrow. They had to be erected due accidents, lots of folks were getting knock over.
 
Hiyo ya Dar - Chalinze ilikuwa imepangwa kuwa expressway ila kuna mabadiliko yalifanyika ikiwa ni pamoja na kuiongezea lanes sasa sijui kama bado itakuwa expressway.

Ni azimio lililohusisaha mambo makuu mawili;
1. Miiko ya uongozi (kutokutoa wala kupokea rushwa, uadilifu, kuwatumikia wananchi n.k)
2. Njia zote za kiuchumi kumilikiwa na umma.

Kiufupi Magu alilirudisha Azimio la Arusha kimatendo (kama vile lilivyondolewa kimatendo) bila ya kulitaja taja hadharani kwasababu neno hili huwa lina stigma fulani Tanzania.
I get you now. Expreesway are not easy to fund, because ideally it means excluding a certain group of citizens, especially those who use public transport, and I belive in Africa these are the majority. So governments have to strike a balance.
 
...with BRT in the middle the local wananchi can be "included".
 
Kwasasa mpo kwenye competition kubwa sana na bongo na mkishangaa kidogo tu mtaanza ku import karibu kila kitu kutoka tz, nikukumbushe kidogo, miaka mitano nyuma tu, bidhaa zenu zilikua zimetawala tz but nowadays karibu bidhaa zote tunazotumia ni za bongo na ninyi pia ndio hizo mnazotumia,zinakuja kwenu kwa fujo
I'm in Kenya and I haven't noticed any competition. I think Kenyans are uninterested lot generally. Do you have your current or 2020 beaurue of Tanzania statics in exports and imports.
 
...with BRT in the middle the local wananchi can be "included".
True, that's another way of looking at it. Our current Expreesway under construction has blue print for BRT but I'm not sure they will implement for now. From what I have seen,old road will be rehabilitated then BRT to come much later.
 
Nilivyoona habari eti sudani imelipa mabilioni ya shilingi kwenda marekani kufuatia ushiriki wa ugaidi nilishangaa kweli.halafu uingereza nayo misaada ya ahadi huko syria mpaka leo haijakamilika navwanasingizia covid -19 kikwazo.
Ndio maana hawakumpenda JPM kwa vile anajua kuwa wanatuibia na umaskini wao huko USA na ulaya.
If you want to know white man is evil, go read about Haiti. HAITI is still paying compensation to Spain/French from 1800s for fighting thier r colonisers. Reason is, that the colonisers lost farming land in Haiti and for that reason they ought to pay
 
Kwakweli mzee asingeweza kutoboa, aliwaudhi wakubwa wa dunia hii, lkn amekufa akiwa shujaa na mengi yataibuka na wale wapiga kelele za Lissu Lissu ningependa wasome hapa waone Lissu ni nani na anaitakia nn nchi hii.

Wakenya naomba msome hii article zen mjue covid-19 maana yake ni nini na kwa nini mzee wetu alikuwa anapambana kutuelimisha kuhusu huu ugonjwa wa wazungu.

Tony254 na Wakenya wote someni hii article zen muweke comment yenu. Roho imeniuma sana, kumbe ndiyo maana mzee alikuwa anasisitiza kwamba ame sacrifice maisha yake kwa ajili yetu daahhh so sad.
 
Our current Expreesway under construction has blue print for BRT but I'm not sure they will implement for now. From what I have seen,old road will be rehabilitated then BRT to come much later.
If you're talking about the expressway under construction, I don't think they'd include the BRT. It's not in the benefit of the investor to limit the number of motorists using the toll road and the BRT does that.
 
If you're talking about the expressway under construction, I don't think they'd include the BRT. It's not in the benefit of the investor to limit the number of motorist using the toll road and the BRT does that.
Which one? Nairobi?in the plan its there, but with greaty ministers and cartels implementation may be in 10 years
 
very sensitive article, nataman watanzania waisome hii alafu tuijadili hii article inatosha kufungua uzi kabisa
Kwakweli inafaa kufungua uzi na ukawekwe kule jukwaa la siasa japo team Lissu wataendelea kujifanya kichwa ngumu lkn iwekwe kule, inatisha sana, ama kwa hakika Tz bado ilikuwa inamhitaji sn Magu, km mwenyezi angembakiza japo kwa miaka miwili tu mbele tungefika mbali sn, ila Mungu hajawahi kukosea tumshukuru kwa yote.

Nmesoma hii article wallahi hii nchi ina hazina kubwa ya utajiri uko chini, km tungekuwa na kina Magu wa5 tu basi miaka 20 ijayo tungekuwa mbali mno, ndo mana mzee alikuwa anasisitiza kila siku Tz ni tajiri mnooo, daah R.I.P Magu.
 
Kwakweli mzee asingeweza kutoboa, aliwaudhi wakubwa wa dunia hii, lkn amekufa akiwa shujaa na mengi yataibuka na wale wapiga kelele za Lissu Lissu ningependa wasome hapa waone Lissu ni nani na anaitakia nn nchi hii.

Wakenya naomba msome hii article zen mjue covid-19 maana yake ni nini na kwa nini mzee wetu alikuwa anapambana kutuelimisha kuhusu huu ugonjwa wa wazungu.

Tony254 na Wakenya wote someni hii article zen muweke comment yenu. Roho imeniuma sana, kumbe ndiyo maana mzee alikuwa anasisitiza kwamba ame sacrifice maisha yake kwa ajili yetu daahhh so sad.
Just read it, very sad man.
 
Happy Easter from my favourite Mall😜
Sijawahi kuhesabu lakini ina footbridges kadhaa. Sio nyingi sana lakini nipo sure ni zaidi ya sita. Mkenya anayejua idadi kamili atufahamishe.
Ni zaidi ya 15

FB_IMG_16173664067234248.jpg
 
Ndiyo tafsiri ya maneno yake, "tuko kwenye vita" ni vita ya kutoka kwenye makucha ya utegemezi na silaha ya kutumia ni rasilimali.
Kuna mambo ni ngumu sana kumlinganisha JPM na wengine.
1.
Namuona mama kama anategemea report za watendaji wake, JPM alikuwa anafanya Utafiti ukileta report usishangae akakuambia ni utopolo.
Mfano.
Report zilionyesha Hatuwezi kujenga viwanda vya kuchakata dhahabu.
Report zilipinga bwawa la nyerere.
SGR ilipingwa na wb etc

2.
Uwezo wa kuanzisha miradi mikubwa tena kwa kiwango kikubwa kutumia fedha za ndani.

3.
Jpm alikuwa anaijua Tz yote na rasilimali zilizopo.

4.
Mama ajaribu kuwa makini sana na wafanyabiashara, duniani kote hakuna anayependa kulipa kodi, hata wafanyakazi wangekuwa wanapewa pesa yote then walipe kodi wenyewe kwa hiari ingekuwa balaa.

Jpm alisema ukiona unasifiwa jiulize umekosea wapi, ukiona wanalalamika kamatia hapo hapo.

Maoni yangu kwa Mama hadi sasa namuona ni mzuri kwenye makaratasi namsubiri kwa ground ndio ntatathmini vizuri.
 
Which one? Nairobi?in the plan its there, but with greaty ministers and cartels implementation may be in 10 years
... earlier, you didn't specify which, so I assumed you're talking about the elevated one in Nairobi, which is being built by the Chinese.
 
Kwakweli mzee asingeweza kutoboa, aliwaudhi wakubwa wa dunia hii, lkn amekufa akiwa shujaa na mengi yataibuka na wale wapiga kelele za Lissu Lissu ningependa wasome hapa waone Lissu ni nani na anaitakia nn nchi hii.

Wakenya naomba msome hii article zen mjue covid-19 maana yake ni nini na kwa nini mzee wetu alikuwa anapambana kutuelimisha kuhusu huu ugonjwa wa wazungu.

Tony254 na Wakenya wote someni hii article zen muweke comment yenu. Roho imeniuma sana, kumbe ndiyo maana mzee alikuwa anasisitiza kwamba ame sacrifice maisha yake kwa ajili yetu daahhh so sad.
Hivi una habari UK wanapanga kutoweka lockdown yoyote bali mpango ni kutreat covid kama flu maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom