eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,803
- 16,475
pia naanza kuamini katibu mkuu kiongozi lazima awe na chemistry flan hiv na Rais aliepo madarakani
kikwete na balozi seif
magufuli na balozi kijazi then baadae bashiru(kuziba pengo)
samia na huyu mpya (nadhan atakuwa ana uelewa nae vizur)
Hivi katika nafasi hii lazima uwe balozi??