ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yanasongamana kama kondoo alaf eti wanajihadhari na corona🤣🤣🤣
Anaitwa Victoria Rubadiri. Ameishi America pia kwa muda fulani kisha akarudi Kenya.Huyu hapa mkuu,yaani huyu dada ananivutia kinoma kwa ma news anchors kike wa huko kwenu,sijui naeza mpataje?
View attachment 1740805View attachment 1740806View attachment 1740806
Mimi hio mambo niliyoona kwenye hio video kwamba mwaka wa 2008 walikuwa na 117 km of high speed rail halafu saa hii wana 36,000 km of high speed rail ndio imenifanya nifunge mdomo. Na wala hutaona nikisifia Marekani tena maana ni kweli Marekani wako mbele ila sio kwa muda mrefu. Wakati wa China umefika. Hio speed ya kujenga reli haijawahi kutokea tena katika historia ya ulimwengu. Na sio reli hizi za SGR za kawaida ambazo sisi Waafrika huwa tunajipiga100% na ndiyo sababu kuu ya zile figisu za Trump, speed ya hawa jamaa inatisha na haijawahi kutokea kwenye historia ya dunia.
Umenena vyema broMimi hio mambo niliyoona kwenye hio video kwamba mwaka wa 2008 walikuwa na 117 km of high speed rail halafu saa hii wana 36,000 km of high speed rail ndio imenifanya nifunge mdomo. Na wala hutaona nikisifia Marekani tena maana ni kweli Marekani wako mbele ila sio kwa muda mrefu. Wakati wa China umefika. Hio speed ya kujenga reli haijawahi kutokea tena katika historia ya ulimwengu. Na sio reli hizi za SGR za kawaida ambazo sisi Waafrika huwa tunajipiga
kifua nazo. Hii ni high speed ambayo ni more expensive kujenga kushinda hizi zetu za kawaida. Kweli kuangalia tu data na statistics kwenye vitabu bila kuangalia mambo kwenye ground sio nzuri. Tunastahili kuangalia pia kwa ground kunaendelea nini.
Sama boy 255
Hapa wewe ndio umebugii mzee mchina pia anaingoza kwenye secta hiiPande za anga ukweli usemwe marekani ndio baba lao mzee baba, hapo umebugi kiasi..km ni sector reli sawa lkn anga marekani wako mbali sana..
Wamezifanya km "dala dala" kule kwao
Saivi wanatengeneza ndege zao ni swala la mda tuu watazipiku kampuni za ulaya na marekani100% na ndiyo sababu kuu ya zile figisu za Trump, speed ya hawa jamaa inatisha na haijawahi kutokea kwenye historia ya dunia.
let aStupidity at its best! Someone’s posting videos about homelessness in California and poverty in USA as if China doesn’t have homeless people and poverty. To understand what you’re getting yourself into you better compare China and USA in terms of GDP per Capita. I am not “pro-USA”. As a matter of fact, I am trying to be as unbiased as possible. I am well aware that China is growing incredibly fast. And I acknowledge the positive sides of China too. I once said that China’s railway infrastructure is so much better than America’s. They have invested billions in railway construction and technology! I also said China has more skyscrapers because of their high population. I hate it when people tell lies on a popular thread like this one because we have millions of viewers. They will take away the lies thinking that the information is true. Think of me however you wish. Heck..you can hate me for all I care, but I won’t sit around and let your lies and propaganda spread like a wildfire!
Umenena vyema bro
Sio mbaya tunafukuza mwizi kimyakimya
😂😂😂😂uwiii [emoji23][emoji23][emoji7][emoji7]🥺View attachment 1740820
muwe na usiku mwema
Huyu msupuu ananikosha sana alivyojaa mwili,alafu mrefu Kama "am 7.3 feet tall".Anaitwa Victoria Rubadiri. Ameishi America pia kwa muda fulani kisha akarudi Kenya.
Hata huyu ni chuma cha hatarinilijua unasemea huyu mkuu
huyu dada ni bonge lkn nikimwangalia sura yake ananikosesha usingizi [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1740815View attachment 1740816View attachment 1740817View attachment 1740818
nimemjulia twitter
Hii project imechukua muda sana kuna kitu hakiko sawa kwenye financing!hii hatutalipia kuitumia.
Nyie wakunya,haya ni matokeo ya kodi za wa'tanzania eti!!View attachment 1740822View attachment 1740823View attachment 1740824View attachment 1740825View attachment 1740826
Kisiasa wachina ni rahisi kufanya maamuzi ya maendeleo kwa haraka kwasababu wana chama kimoja. Marekani pesa iko tatizo siasa.Tofauti ya China na marekani ni kuwa wamarekani wanamshiko kuzidi serkali
Na sera za marekani za capitalism zitawakosti miaka ya ijayo we fikiria jitu kama trump lilikua halilipi kodi na mabilionea wengine kibao, hela zao zote wanapeleka kutengeneza silaha tuu wanawasahau wannchi. Ndani ya kama miaka 15 ijayo marekani atakua anasoma number plate kwa mchina