Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Moshi Town,,,,,
20210331_171848.jpg
 
Hapa wewe ndio umebugii mzee mchina pia anaingoza kwenye secta hii
Marekani ndio anaongoza katika sector ya Anga kwa sababu yeye ndiye anayeunda ndege. Boeing ni Kampuni ya marekani na wanunuzi wengi wamekuwa ni wamarekani. China haina uwezo wa kuunda ndege ya abiria. China wanaweza tu kuunda ndege za kivita. Lakini commercial airliner bado Uchina wako nyuma ila wanajaribu kuunda ndege ya abiria inayoitwa Comac c919 ila bado inafanyiwa testing. Ila Wachina wakishaelewa kuunda ndege za abiria vizuri basi wataziunda nyingi kwa mpigo. Ila kampuni za kichina hazina ujuzi wa kuunda engine za ndege ya abiria.

Kisiasa wachina ni rahisi kufanya maamuzi ya maendeleo kwa haraka kwasababu wana chama kimoja. Marekani pesa iko tatizo siasa.

Miundombinu ya majimbo mengi yasiyo na fedha Marekani (barabara, madaraja n.k) imezeeka sana. Biden ameomba $2T ili afanye maboresho na ujenzi wa miundombinu mipya, lakini "Republicant(s)" wakiongozwa na McConnell wameanza kuleta kauzibe, yaani mambo muhimu ya kuchochea maendeleo wao wanaleta siasa. Sasa kwa hali hiyo unafikiri nchi itaweza vipi kufufua uchumi huu wa corona?
Na icho ndio sisi hatukitaki hapa bongo ndicho wapinzani wanakipagania ni uboya tuu
 
Marekani ndio anaongoza katika sector ya Anga kwa sababu yeye ndiye anayeunda ndege. Boeing ni Kampuni ya marekani na wanunuzi wengi wamekuwa ni wamarekani. China haina uwezo wa kuunda ndege ya abiria. China wanaweza tu kuunda ndege za kivita. Lakini commercial airliner bado Uchina wako nyuma ila wanajaribu kuunda ndege ya abiria inayoitwa Comac c919 ila bado inafanyiwa testing. Ila Wachina wakishaelewa kuunda ndege za abiria vizuri basi wataziunda nyingi kwa mpigo. Ila kampuni za kichina hazina ujuzi wa kuunda engine za ndege ya abiria.

Icho ndio kilichobakia tuu ata tesla mwenyewe anaanza kuhaha
 
Icho ndio kilichobakia tuu ata tesla mwenyewe anaanza kuhaha
Ni kweli. Soon Mchina anazindua hilo ndege. Akishapata uzoefu wa kulijenga ataanza kujenga ndege hizo kwa wingi kama vile alivyofanya kwenye train.
 
If you have time, watch Nairobi Expreesway and Nairobi Water Extrme construction
 
Nilipigwa ban kwa kusema Magufuli amekufa. Sasa amekufa na hatafufuka.

Tujifunze kufuata ukweli na tuache kutumia hisia katika maamuzi yetu ya kila siku. View attachment 1740063

Tanzania hakuna Uhuru wa wanahabari. Na nmedhibitisha hili na hizi ban za hapa jf. Only Kenyans are banned sababu wakenya ni wakweli.
😂 😂 😂 😂 Mi mwenyewe nilkula ban siku tatu, kisa... hata wacha nisiseme sababu ni kicheko, nisije nikachapwa tena mm jirani yenu 😂🏃🏾 🏃🏾 🏃🏾
 
Back
Top Bottom