Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Kwenye freeway (expressway) waenda kwa miguu na wapanda baisikeli huwa hawakatizi, wanatumia kidaraja cha kuvukia. Hata magari huwa hayakatizi, kama dereva anataka kutoka kwenye barabara kuu, ana exit kwanza na wale wanaoingia hutumia sehemu maalumu za kuingilia.Nmeu
Nmeuliza swali simple tuu abiria wa kwenye madaladala watakua wanashushiwa wapi na je watu watakua wanavukaje kuenda upande wa pili? Kwa sababu so far vituo hamna na footbridge ni moja tuu mbezi mwisho