Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Lakini watu 45 hawakufa 😂😂😂Oneni huu mrundikano kwenye lile daraja la watembea kwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1740270
Lakini watu 45 hawakufa 😂😂😂Oneni huu mrundikano kwenye lile daraja la watembea kwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1740270
Leta hoja zako bro, usiseme najifurahisha naakati wew huleti hoja, umeishi marekani sawa sikukatalii but ulete hojaNimekuwa nikiangalia post zako na zinaonyesha wazi jinsi ulivyo shallow kifikra. You tube videos ndio zinakupa judgement yako na hujui uhalisia wa nchi unazozilinganisha. Mimi nimekaa Marekani Kwa muda mrefu Ndio Maana huwa nacheka nikiona hizi propaganda unazoanzisha. Lakini endelea kuji-entertain.
Lakini watu 45 hawakufa [emoji23][emoji23][emoji23]
eeh 😳😳 anhaa kumbe korona ya kenya huanza sa 2 usiku na kumalizika sa10 asbaa 'so hapo wako very safe in the most'the best,the one and only,the festiessssttttt, the cutestOneni huu mrundikano kwenye lile daraja la watembea kwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1740270
Aah unimpressive, maji yenyewe shallow, afu hizo nguzo fupi kweli. Dwarf bridge. 😂😂Tanzanite bridge u/cView attachment 1740352
Lo,pride of Africa imekuwa skeleton nchi ya manyang'au itajivunia nini tenatupate wadhamini kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 1739641
Sasa huo uchafu wenzenu waliwek kipindi ambacho kujenga daraj ilikuwa garama zaidi kuliko ardhi sasa ivi ardhi ndio ghali kuliko madaraja..na nyie bado mko hukohuko bure kabisa....umebaki na soga na visasil tuUmeteseka tu roho, wivu tu, hakuna la "sipendi"., outside Dar ni vijiji choka choka.
Embu jaribu kuweka ushaidi kwamba alikanyaga kunya mm nafunga akauntiNmechoka na jf.
It can't be that napigwa ban kwa kusema ukweli na magufuli amekufa. Its absurd.
Magufuli is dead for reasons better known to everyone. He died in Nairobi and many people were very happy.
Sasa nkipost hiyo information napigwa ban. Its very weird sielewi hawa moderater wa kibongolala.
Hapo wanafuata njia za kisayansi yaani.eeh [emoji15][emoji15] anhaa kumbe korona ya kenya huanza sa 2 usiku na kumalizika sa10 asbaa 'so hapo wako very safe in the most'the best,the one and only,the festiessssttttt, the cutest
footbridge ushuzi wa fungo in eastern Africa and central Africa
Onesha lenu impressive tulione.Aah unimpressive, maji yenyewe shallow, afu hizo nguzo fupi kweli. Dwarf bridge. [emoji23][emoji23]
Parallel
acha ushamba dogoAah unimpressive, maji yenyewe shallow, afu hizo nguzo fupi kweli. Dwarf bridge. 😂😂
Hapana hii bro Tony254 katoa boko. . Take a look hii ni BRT system ya cape Town pekee . N remember wao wanazo BRT system in more than one City,so their system is the best in Africa,alaf labda sisi ndio tunafuatia, hao wa West Africa ni uchafu hawatuwezi
Hata jafo kumtoa Tamisemi Mimi sikupenda alifanya kazi nzuri kulePale Mwigulu atakua kama actor tu!
Mchumi na Planner mwenyewe ni Mpango. Mambo yote ya uchumi na udhibiti wa fedha unafanyika wizara ya VP.
Mwigulu pale ni Bosheni tu, kajaza tu nafasi.
Ushakua bwana fulani nnKwa habari za ndani ndani nilizonazo, ni kuwa:
Baadhi ya hawa Mabwana, walikua wakimdharau sana Mama na kumchongea kwa Boss wao.
Even mimi, siwezi fanya kazi na watu wa hivyo. So, tarajia mabadiliko hata akichukua Uenyekiti CCM.
baada ya Salim Kikeke kule BBC ni Ben Mwanantala?? jamaa anafaa hapo
japo kasema ni demo
Mm navyoona mmarekani kazidiwa na mchina na japani kwa miundombinu ila wannchi wa marekani wanamkwanjaa na mda sio mrefu atazidiwa kwa uchumii apende hasipendeLeta hoja zako bro, usiseme najifurahisha naakati wew huleti hoja, umeishi marekani sawa sikukatalii but ulete hoja
Hata kwa mtu mmoja mmoja marekani anazidiwa na mchina, major cities za marekani zimejaa homeless people karibu kila kona unlike those ones in China. Wanatulisha tu matango Ila jamaa kwa sasa nawapa BIG NOMm navyoona mmarekani kazidiwa na mchina na japani kwa miundombinu ila wannchi wa marekani wanamkwanjaa na mda sio mrefu atazidiwa kwa uchumii apende hasipende
Laiti ungalijua wananchi wengi wa china hasaa vijijini bado wanaishi kama wanyama pori usingezungumza.Hata kwa mtu mmoja mmoja marekani anazidiwa na mchina, major cities za marekani zimejaa homeless people karibu kila kona unlike those ones in China. Wanatulisha tu matango Ila jamaa kwa sasa nawapa BIG NO
Wewe kwa mtu mmoja mmoja wamarekani wana mkwanjaa mrefu sana weww kaangalie takwimu mzee sio maneno, utajiri wa marekani upo kwwnye makampuni yao na masoko yao ya hisa uko ndipo wanatengeneza pesa nyingi sana Base on speculations ila in production wako very low ndio maana makampuni yao mengi yanaamishia viwanda AsiaHata kwa mtu mmoja mmoja marekani anazidiwa na mchina, major cities za marekani zimejaa homeless people karibu kila kona unlike those ones in China. Wanatulisha tu matango Ila jamaa kwa sasa nawapa BIG NO