Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laiti ungalijua wananchi wengi wa china hasaa vijijini bado wanaishi kama wanyama pori usingezungumza.View attachment 1740403View attachment 1740404
. Heb ungalia kwa sasa wanachofanya China, Alaf ukumbuke theluthi ya dunia nzima ni wachina, wapo 1.4 B while US population is 340 m, my take hivi nchi yenye watu wachache (compered to China) kama US still kuna adadi kubwa ya watu kwenye miji mikubwa kama NY,LA n.k ambao ni homeless tana wanaishi nje kando kando ya barabara inawazaje kujiita ni super power.? Ikiwa imeshindwa hata kuwapa makazi watu wake.?
 
Wewe kwa mtu mmoja mmoja wamarekani wana mkwanjaa mrefu sana weww kaangalie takwimu mzee sio maneno, utajiri wa marekani upo kwwnye makampuni yao na masoko yao ya hisa uko ndipo wanatengeneza pesa nyingi sana Base on speculations ila in production wako very low ndio maana makampuni yao mengi yanaamishia viwanda Asia
Ingia mtandaoni jiridhishishe (kuona ni kuamini) achana na data za Google. Kwa ground uko US hakuna kitu baba, mtu kuitwa tajiri ni matokeo ya anachokifanya na sio maneno, Mimi nasema. China ni world super power currently kwasababu ya matokeo ya wanavyovifanya
 
Hata kwa mtu mmoja mmoja marekani anazidiwa na mchina, major cities za marekani zimejaa homeless people karibu kila kona unlike those ones in China. Wanatulisha tu matango Ila jamaa kwa sasa nawapa BIG NO
Uchumi wa mtu mmoja mmoja yaani GNI per capita Mmarekani mmoja amemshinda Mchina mmoja kwa mbali. China kumbuka ina population ya watu mara nne kushinda Marekani. (1.2 billion people vis a vis 300 million people). So ukichukua uchumi wa China ugawanye na idadi ya watu unapata GNI per capita ndogo. Mmarekani mmoja ana pesa nyingi sana kushinda Mchina mmoja.
Kama uonavyo, in the year 2019, China ilikuwa na Gni per capita ya approximately $10,410
Screenshot_20210401-142644.jpg

Huku upande mwingine in 2019 USA ilikuwa na GNI per capita ya $65,850.
Screenshot_20210401-142619.jpg

Kwa hivyo Mmarekani mmoja anapokea income mara sita ya Mchina mmoja.
 
. Heb ungalia kwa sasa wanachofanya China, Alaf ukumbuke theluthi ya dunia nzima ni wachina, wapo 1.4 B while US population is 340 m, my take hivi nchi yenye watu wachache (compered to China) kama US still kuna adadi kubwa ya watu kwenye miji mikubwa kama NY,LA n.k ambao ni homeless tana wanaishi nje kando kando ya barabara inawazaje kujiita ni super power.? Ikiwa imeshindwa hata kuwapa makazi watu wake.?

Halafu kitu kimoja unastahili kujua ni kwamba kwenye maswala ya uchumi huwa tunazingatia averages. Hatuzingatii situation ya mtu mmoja. Haijalishi kama wewe ni masikini na Jirani yako ni tajiri. Tutakuja tuchukue average income yenu nyote. Tucalculate total income halafu tugawanye na idadi ya watu kisha tutapata average income yenu nyote. Yaani nchi kama Marekani ina mabilionaire wengi, mamilionaire wengi, middle class kiasi fulani na masikini wengi so average income ya nchi ( ambayo kitaalam inaitwa gni per capita) inakuwa juu sana. Halafu nchi kama Uchina unakuta ni nchi kubwa yenye watu 1.2 billion ila wana billionaires wachache, millionaires wachache na masikini wengi. Sasa unategemea China iwe na average income ya juu kweli? Hata unakuta japo Uchina wamepiga hatua kubwa kutoa mamilioni ya watu kutoka kwenye lindi la umasikini lakini bado kuna mamilioni ya masikini waliobaki huko Uchina. US umaskini upo lakini sio mbaya kama ya Uchina. Hata hao homeless wa US sio wengi sana. Huko US mtu anayeitwa masikini ni mtu anayeendesha gari na anamiliki TV na fridge. Lakini huku Africa mtu anayeendesha gari ni tajiri mkubwa. So masikini wa US sio sawa na masikini wa China au Africa. Hao homeless wachache wa US hawawezi kurudisha chini average income ya US.
 
. Heb ungalia kwa sasa wanachofanya China, Alaf ukumbuke theluthi ya dunia nzima ni wachina, wapo 1.4 B while US population is 340 m, my take hivi nchi yenye watu wachache (compered to China) kama US still kuna adadi kubwa ya watu kwenye miji mikubwa kama NY,LA n.k ambao ni homeless tana wanaishi nje kando kando ya barabara inawazaje kujiita ni super power.? Ikiwa imeshindwa hata kuwapa makazi watu wake.?

Swala la homeless people linatokana na mambo mengi kama drug abuse, depression etc serikali haiwezi kulazimu utoke barabarani kama za china na saudi arabia ijapokua kuna homeless shelter nyingi. Ukienda china kando na miji mikuu, hali ya maisha iko chini sana ukilinganisha na marekani na ndo maana wachinko wengi wanaemigrate USA
images (3).jpeg
 
Swala la homeless people linatokana na mambo mengi kama drug abuse, depression etc serikali haiwezi kulazimu utoke barabarani kama za china na saudi arabia. Ukienda china kando na miji mikuu, hali ya maisha iko chini sana ukilinganisha na marekani na ndo maana wachinko wengi wanaemigrate USAView attachment 1740447
Sababu ulizoziorodhesha hapo ni za kweli lakini kwa US sio hizo pekee walio wengi wahawana makazi kwasababu ya umaskini uliokithiri na kwa bahati mbaya zaidi ni maelfu ya watu kila mji hawana makazi, kuto kuwa na makazi ni kiashiraia (indicator) cha umaskini uliokithiri, at least wachina wanaishi kwenye nyumba zao ingawa hazina condition nzuri na hata hivyo serikali yao inawajengea makazi bora na mazuri (kwa kenya uko mngesema a place where rich people live) unlike na marekani, ukiona rural areas and civilians wa US ni maboma mabovu bro hata wew huwezi ishi, fanya research mwenyewe ujionee achana na Google watakuongopea (kuona ni kuamini)
 
Uchumi wa mtu mmoja mmoja yaani GNI per capita Mmarekani mmoja amemshinda Mchina mmoja kwa mbali. China kumbuka ina population ya watu mara nne kushinda Marekani. (1.2 billion people vis a vis 300 million people). So ukichukua uchumi wa China ugawanye na idadi ya watu unapata GNI per capita ndogo. Mmarekani mmoja ana pesa nyingi sana kushinda Mchina mmoja.
Kama uonavyo, in the year 2019, China ilikuwa na Gni per capita ya approximately $10,410
View attachment 1740420

Huku upande mwingine in 2019 USA ilikuwa na GNI per capita ya $65,850.
View attachment 1740423

Kwa hivyo Mmarekani mmoja anapokea income mara sita ya Mchina mmoja.
Uchina na Marekani zina Gdp ambazo zipo karibu kutoshana ila Uchina ina population kubwa kushinda Marekani hio ni sawia na nyumba mbili kupika ugali zinazokaribia kutoshana ila nyumba ya kwanza ina watoto 12 na nyumba ya pili ina watoto watatu. Sasa unategemea ni watoto wa nyumba gani watakula ugali nyingi na hata kubakisha na kutupia mbwa na kuku ugali uliosalia? Mbwa na kuku pengine ni sisi Africa kwa sababu huwa tunapokea mabaki ya Marekani in form of foreign Aid? Obviously nyumba ya pili ambayo ina watoto watatu ila ina ugali inayotoshana na ya nyumba ya kwanza watakula ugali na kushindwa kumaliza na ugali utabaki na kutupwa ila nyumba ya pili kwa sababu ina watoto kumi na wawili basi hakuna ugali ambayo itabaki. Siku zote idadi ya watu katika nyumba au katika nchi huwa ni muhimu sana kudetermine level of income. Nyumba ya watoto wawili hata wazazi wakiwa masikini bado wanaweza kujikaza na kuwasomesha watoto wote ila nyumba ikiwa na watoto kumi na wazazi hawajiwezi basi watoto hao hawatasoma vizuri. Hizi ni economic facts tu. Lazima tuzingatie population wakati tunazungumza kuhusu national income. Mambo ya kutaja watu wachache homeless US haimaanishi kwamba average income ya US iko chini. Tunataka average income ya nchi nzima ya US sio mambo ya kuangalia watu wachache katika kijiji fulani na kurukaruka kwamba Marekani ni masikini. Chukua income ya kila mtu kisha gawanya na idadi ya watu katika nchi husika then upate Gni per capita.
 
Sababu ulizoziorodhesha hapo ni za kweli lakini kwa US sio hizo pekee walio wengi wahawana makazi kwasababu ya umaskini uliokithiri na kwa bahati mbaya zaidi ni maelfu ya watu kila mji hawana makazi, kuto kuwa na makazi ni kiashiraia (indicator) cha umaskini uliokithiri, at least wachina wanaishi kwenye nyumba zao ingawa hazina condition nzuri na hata hivyo serikali yao inawajengea makazi bora na mazuri (kwa kenya uko mngesema a place where rich people live) unlike na marekani, ukiona rural areas and civilians wa US ni maboma mabovu bro hata wew huwezi ishi, fanya research mwenyewe ujionee achana na Google watakuongopea (kuona ni kuamini)
Swala nyeti ni je watu wanaoishi maisha mabovu US ni wangapi na je watu wanaoishi maisha mabovu China ni wangapi? Wachumi wameshafanya mahesabu yao ya haraka haraka na wamekuambia kuwa China ina masikini wengi kushinda US. (China has a smaller gni per capita than USA). Njia bora ya kudetermine umasikini ni kuangalia income ya watu. Na kwenye income, Mmarekani mmoja anapata income nyingi kushinda Mchina mmoja.
 
Kenya

Kenya msema ukweli🔥, kupitia Kenya walijulishwa mkulu ni mgonjwa hali maututi, wakapinga, CCM govt na ujinga wao wanakanusha eti anachapa kazi Chato. From a source I know in Nairobi Hospital mzee died in Nairobi after the Hospital couldn't resuscitate him from coma. Alirudishwa nyumbani akiwa baridi. If it were vice versa, serikali yao hawange respect diplomatic secret or classified information, wangeropokwa kama uncontrolled mitandao. Wako ovyo siku zote.
We mama kwahiyo muft TZ na masskofu walikuja huko kwenu kumuombea,halafu magu hajafariki na corona kama mnavyozusha,angekufa na corona saa hii ungemuoa our madam president na mask,magu amefariki kwa maradhi ya moyo na kwa ukanda huu hamna hospitali kubwa za maradhi ya moyo kuizidi taassisi ya moyo ya jk
 
Swala nyeti ni je watu wanaoishi maisha mabovu US ni wangapi na je watu wanaoishi maisha mabovu China ni wangapi? Wachumi wameshafanya mahesabu yao ya haraka haraka na wamekuambia kuwa China ina masikini wengi kushinda US. (China has a smaller gni per capita than USA). Njia bora ya kudetermine umasikini ni kuangalia income ya watu. Na kwenye income, Mmarekani mmoja anapata income nyingi kushinda Mchina mmoja.
China population ni mara 4 ya population ya america
 
Pale Mwigulu atakua kama actor tu!

Mchumi na Planner mwenyewe ni Mpango. Mambo yote ya uchumi na udhibiti wa fedha unafanyika wizara ya VP.

Mwigulu pale ni Bosheni tu, kajaza tu nafasi.
Mwigulu kishakua boss wa mpango nyakati za jk,mwigulu mchumi mzuri tu sema aache kutanguliza siasa apige kazi
 
Hello watanzania wenzangu
Tokea Tarehe 17 Saa 11PM
Leo ndio nagusa Mtandao huu wa Jf
Kiukweli katika Uhai wangu huu Sijawahi Kuumia Kwa Kifo cha mtu yeyote kama Hiki cha Magufuli
Kiukweli Akili Iliyumba mwili Ulikosa Nguvu Nilishikwa na Butwaa Sana
Niwape pole watanzania Wenzangu kwemye Jukwaa hili japo wapo walio mchukia na wapo walio mpenda au kumkubari

Tanzania nikubwa zaidi ya mtu Tanzania ipo Na itakuwepo Sisi wote tutaiacha lakini Kifo cha Magufuli Nipigo kubwa kwa Nchi yetu

Tumuachie Mungu tuendelee Kuipigania Tanzania Kama kawa kama dawa
 
Uchina na Marekani zina Gdp ambazo zipo karibu kutoshana ila Uchina ina population kubwa kushinda Marekani hio ni sawia na nyumba mbili kupika ugali zinazokaribia kutoshana ila nyumba ya kwanza ina watoto 12 na nyumba ya pili ina watoto watatu. Sasa unategemea ni watoto wa nyumba gani watakula ugali nyingi na hata kubakisha na kutupia mbwa na kuku ugali uliosalia? Mbwa na kuku pengine ni sisi Africa kwa sababu huwa tunapokea mabaki ya Marekani in form of foreign Aid? Obviously nyumba ya pili ambayo ina watoto watatu ila ina ugali inayotoshana na ya nyumba ya kwanza watakula ugali na kushindwa kumaliza na ugali utabaki na kutupwa ila nyumba ya pili kwa sababu ina watoto kumi na wawili basi hakuna ugali ambayo itabaki. Siku zote idadi ya watu katika nyumba au katika nchi huwa ni muhimu sana kudetermine level of income. Nyumba ya watoto wawili hata wazazi wakiwa masikini bado wanaweza kujikaza na kuwasomesha watoto wote ila nyumba ikiwa na watoto kumi na wazazi hawajiwezi basi watoto hao hawatasoma vizuri. Hizi ni economic facts tu. Lazima tuzingatie population wakati tunazungumza kuhusu national income. Mambo ya kutaja watu wachache homeless US haimaanishi kwamba average income ya US iko chini. Tunataka average income ya nchi nzima ya US sio mambo ya kuangalia watu wachache katika kijiji fulani na kurukaruka kwamba Marekani ni masikini. Chukua income ya kila mtu kisha gawanya na idadi ya watu katika nchi husika then upate Gni per capita.
Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids
 
Back
Top Bottom