Wewe ni wale wale, hata kiwete utamkataa km si binadamu kisa hatembei km walokua wazima na viungo vyaoMunaeza kujionea kitu alichopost![]()
Mutasema dunia ni mbaya au watu ndio wabaya View attachment 1738477View attachment 1738478View attachment 1738479
View attachment 1738483
View attachment 1738485


Umekubali km uchina bado kuna baiskeli sema tu wao wamefanya modificationhizo baiskeli za china zinashinda hadhi ya boda boda hapo machakos.
turudi kwenye baiskeli zetu kule kisumu.
Huyo kijana hafai, majolity wanajua kwamba hatoshi, unajua mtu km hatoshi basi hatoshi tu wala haihitaji elimu kujua kwamba hatoshi ni kwamba hatoshi, huyo mwigulu, February, Nape hawana maadili na hawawezi kutumikia wananchi sema tu ndo hakuna replacement, yn wanazali lkn hawafai kuwa viongozi.hapa mwigulu akizingua.. anapigwa chin fasta tu
We nae toa usenge wako hapa hayo mambo tulishamalizana nayo jana km hukuwa na bandle achana nayo twende kwenye current issues.Umekubali km uchina bado kuna baiskeli sema tu wao wamefanya modification
Umekubali km uchina bado kuna baiskeli sema tu wao wamefanya modification


.Unataka kusema hiyo hapo juu ni baiskeli!??..duhNipe wewe hzo tofauti, manake mi ninavyojua msokoto ni msokoto tu..hzo ni baiskeli bado manake hata hizo hapo chini ni tricycle au hujui mzee baba..we umeona modification basi na wewe unafuata maneno ya kizungu..
Msokoto hata uekwe matairi manne bado ni msokoto tu
View attachment 1739634View attachment 1739635
Hizo ni guta dogo,baiskeli hazipo hivyo...hata baiskeli huzijui dogo????We ni mpuuzi sana jomba
Msokoto ni msokoto tu jomba bado hujaamini..
Hzo ni baiskeli upende ukatae
Atarudi kwenye ukatibu mkuu wa Chama lakini kwakua kwa sasa Chama hakina Mwenyekiti ndio maana mama kaamua kum- Park kwanza hadi hapo atakapokuwa Mwenyekiti wa Chama then atamteua kuwa Katibu wa Chama....Wanaanza kumpoteza ktk siasa ila kapewa ubunge,wangemrudisha ukatibu wa ccm
Mbona hii itakua ni mara yake ya pili kwenye hio wizara..Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Abaki huko huko huku hatufai.Atarudi kwenye ukatibu mkuu wa Chama lakini kwakua kwa sasa Chama hakina Mwenyekiti ndio maana mama kaamua kum- Park kwanza hadi hapo atakapokuwa Mwenyekiti wa Chama then atamteua kuwa Katibu wa Chama....
Abaki huko huko huku hatufai.
Kwa Bashiru nadhani alikuwa na ndoto kubwa kuliko pesa mana kama pesa tayari anazo so kile cheo kilikuwa kizuri sana kwake regardless angelipwa sh ngp but ndo hvyo tena uroho umemponza.jamaa kafanyiwa demotion lkn bado ubunge ni sehem nzuri kujipatia hela.. kumbuka kuna makatibu wakuu wa wizara kama Prof Mkumbo na Prof Mkenda na watu wengine kama Simbeye wa sekta binafsi waliacha nafas zao waende kugombea ubunge kwenye ulaji/mshahara mzuri
Toa uchafu hapaaEldoret bypass under construction View attachment 1739709
Sipendi maudongo udongo mekundu cjui kwnn, yn hata road iwaje lkn nikiona imezingukwa na maudongo mekundu naona kinyaa.Eldoret bypass under construction View attachment 1739709


Bicycle unaweza kui-modify ikawa tricycle we jomba acha ubishi wa kijinga hapa..Hizo ni guta dogo,baiskeli hazipo hivyo...hata baiskeli huzijui dogo????