Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids