Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1739793
Hizi interchange ni za miaka ya zamani mno na ndo zenye disadvantages kuliko,ni kama leo unakuja na TV la chogo afu uko bize kutamba,nimewavulimia ila nimechoka achane basi,au kwa sababu yana aerial view nzuri kwa hiyo miduara?!sioni tofauti na yale maua kwny vitambaa vya makochi na mashuka waliokuwa wanashona mama zetu enzi zile.
Maneno ya mkosaji💩💩
 
Nilipigwa ban kwa kusema Magufuli amekufa. Sasa amekufa na hatafufuka.

Tujifunze kufuata ukweli na tuache kutumia hisia katika maamuzi yetu ya kila siku.
Screenshot_20210313-083017.jpg

Tanzania hakuna Uhuru wa wanahabari. Na nmedhibitisha hili na hizi ban za hapa jf. Only Kenyans are banned sababu wakenya ni wakweli.
 
Sipendi kabisa kusikia nchi yoyote EA inaizidi Tz kwa GDP hata kama wakifoji sitaki kuamini na siamini kabisa mana tuna maisha bora kuliko nchi yoyote EA.
🤣🤣🤣😅😅 Maisha Bora eti!🤣😂😂😂,na bado
 
Kenya
Nilipigwa ban kwa kusema Magufuli amekufa. Sasa amekufa na hatafufuka.

Tujifunze kufuata ukweli na tuache kutumia hisia katika maamuzi yetu ya kila siku. View attachment 1740063

Tanzania hakuna Uhuru wa wanahabari. Na nmedhibitisha hili na hizi ban za hapa jf. Only Kenyans are banned sababu wakenya ni wakweli.
Kenya msema ukweli🔥, kupitia Kenya walijulishwa mkulu ni mgonjwa hali maututi, wakapinga, CCM govt na ujinga wao wanakanusha eti anachapa kazi Chato. From a source I know in Nairobi Hospital mzee died in Nairobi after the Hospital couldn't resuscitate him from coma. Alirudishwa nyumbani akiwa baridi. If it were vice versa, serikali yao hawange respect diplomatic secret or classified information, wangeropokwa kama uncontrolled mitandao. Wako ovyo siku zote.
 
Sipendi maudongo udongo mekundu cjui kwnn, yn hata road iwaje lkn nikiona imezingukwa na maudongo mekundu naona kinyaa.
Umeteseka tu roho, wivu tu, hakuna la "sipendi"., outside Dar ni vijiji choka choka.
 
Kenya

Kenya msema ukweli, kupitia Kenya walijulishwa mkulu ni mgonjwa hali maututi, wakapinga, CCM govt na ujinga wao wanakanusha eti anachapa kazi Chato. From a source I know in Nairobi Hospital mzee died in Nairobi after the Hospital couldn't resuscitate him from coma. Alirudishwa nyumbani akiwa baridi. If it were vice versa, serikali yao hawange respect diplomatic secret or classified information, wangeropokwa kama uncontrolled mitandao. Wako ovyo siku zote.
Nmechoka na jf.
It can't be that napigwa ban kwa kusema ukweli na magufuli amekufa. Its absurd.

Magufuli is dead for reasons better known to everyone. He died in Nairobi and many people were very happy.

Sasa nkipost hiyo information napigwa ban. Its very weird sielewi hawa moderater wa kibongolala.
 
Ili blogs zao zipate watembeleaji siku hizi inabidi waandike news za Tanzania.

Ili magazeti yao yanunuliwe inabidi siku hizi waandike news za Tanzania.

Ili social media zao zifuatiliwe inabidi siku hizi waweke news za Tanzania.

Halafu utawaona wakija humu na kile kiramani ambacho ukiwaomba source wanapotea
Unafikiria Tanzania ni trending topic ama ni ujinga wenu ndio una trend😂😂😂., Magufuli alipo anza kuchemsha, ndio wakenya wakamjua kwa wingi, na kifo chake and what follows ndio imekua trending news, mengine ni Diamond na bongo flava, kuikweli mumejiletea dharau kwa wakenya, hamna lolote la maana to be followed, ni wivu na chuki zenu zinatushangaza, tukiangalia hatuoni lolote la maana down south🤔🤔.,
 
Nmechoka na jf.
It can't be that napigwa ban kwa kusema ukweli na magufuli amekufa. Its absurd.

Magufuli is dead for reasons better known to everyone. He died in Nairobi and many people were very happy.

Sasa nkipost hiyo information napigwa ban. Its very weird sielewi hawa moderater wa kibongolala.
Tanzanians' minds are propaganda wired, anything not from CCM source ain't true. Ndio maana pia serikali yao wali ban independent research bodies, hawana uhuru. Hapa jf usikasirike, it has exposed their reasoning, in Africa wako low sana kiukweli, wasamehe tu. Wanajaribu kujikweza angalau waonekane wako mahali ila bado sana😂., boy have fun endelea kusema ukweli with facts, hapa hio ndio dawa ya mtanzania.
 
Tanzanians' minds are propaganda wired, anything not from CCM source ain't true. Ndio maana pia serikali yao wali ban independent research bodies, hawana uhuru. Hapa jf usikasirike, it has exposed their reasoning, in Africa wako low sana kiukweli, wasamehe tu. Wanajaribu kujikweza angalau waonekane wako mahali ila bado sana., boy have fun endelea kusema ukweli with facts, hapa hio ndio dawa ya mtanzania.
Its like the admin anataka uandike mambo mzuri kuhusu Magufuli ama upigwe ban.

Personally I have never liked magufuli. Ata Nina furaha alikufa maana alikua anatesa watanzania tu.

Few programmed ccm sycophants watapinga but ukweli ni magufuli hakuwa na busara ya kua rais. No wonder akafa kifo cha dharau sana.

Magufuli ni MTU amesoma 'PhD' lakini bado anaamini nyungu mara dawa za Madagascar.
Ni kicheko tu janami. But bongolalas generally sio watu smart if jf is anything to go by.
 
Sawa, sasa tulia and move on. Hayo yamepita, ukweli uko wazi tu, mwenye macho aone na wa masikio wasikie, vilaza wabaki pale pale walipo.
 
. Beijing ni kali kuliko,US has nothing to be compered to China in terms of infrastructures, China is a greatest country on Earth. Marekani ilishapitwa na China kitambo tu na hiyo democracy wanayojipigia nayo kifua mbele haiwasaidii kitu, hiv tangu 21st century ianze US gvmt imewahi kufanya kitu gani cha kimaendeleo kwa watu wake.? Zaidi ya kelele tu kila mtu mjuaji.? Nchi hazijengwi kwa mikutano na malumbano ya hoja bali kwa nguvu na jasho .

Nimekuwa nikiangalia post zako na zinaonyesha wazi jinsi ulivyo shallow kifikra. You tube videos ndio zinakupa judgement yako na hujui uhalisia wa nchi unazozilinganisha. Mimi nimekaa Marekani Kwa muda mrefu Ndio Maana huwa nacheka nikiona hizi propaganda unazoanzisha. Lakini endelea kuji-entertain.
 
Wakiwa hapa Jf wanajipiga kifua kwamba Magufuli was not right about covid ila wakiwa kwao wanakubaliana naye 100%, what a hypocrisy
Screenshot_20210401-075347.jpg
 
Its like the admin anataka uandike mambo mzuri kuhusu Magufuli ama upigwe ban.

Personally I have never liked magufuli. Ata Nina furaha alikufa maana alikua anatesa watanzania tu.

Few programmed ccm sycophants watapinga but ukweli ni magufuli hakuwa na busara ya kua rais. No wonder akafa kifo cha dharau sana.

Magufuli ni MTU amesoma 'PhD' lakini bado anaamini nyungu mara dawa za Madagascar.
Ni kicheko tu janami. But bongolalas generally sio watu smart if jf is anything to go by.
Sasa kama alikuwa anatesa Watz inakuhusu nini, wewe Tz inakuhusu nini? Nchi yako hii? Ukweli ni kwamba chuki zako kwa JPM ni kutokana na uongozi wake wa kiuweledi na kasi aliyokuwa nayo ndiyo ilikuwa inawanyima raha, sasa leo amefariki mnadhani kasi itapungua na kwamba Rais aliyepo atawapa ahueni Wakenya kwenye mali za Tz mmepotoka, mwendo ni ule ule, kasi ni ile ile, manifesto ni ile ile
 
Nmechoka na jf.
It can't be that napigwa ban kwa kusema ukweli na magufuli amekufa. Its absurd.

Magufuli is dead for reasons better known to everyone. He died in Nairobi and many people were very happy.

Sasa nkipost hiyo information napigwa ban. Its very weird sielewi hawa moderater wa kibongolala.
Leta ushahidi kwamba alikufa Nairobi, hospitali gani na kwanini apelekwe Nairobi wakati tuna hospitali bora kuliko zozote hapa East and Central Africa.
 
Kanunue router jamani angalau na wewe uepukane na kuangalia salio..
Yani mi nikupenda mwnywe, km ni youtube naangalia bila hofu, netflix vile vile..

Mambo ya kutegemea vifurushi zilipendwa
Nakuelewa sana. Kwanza likija kwenye netflix huwa linaniburudisha sana hususan nyakati za usiku.
Screenshot_20210401-081131.jpg
Screenshot_20210401-081143.jpg
 
Back
Top Bottom