Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Anaoza sa hiiLeta ushahidi kwamba alikufa Nairobi, hospitali gani na kwanini apelekwe Nairobi wakati tuna hospitali bora kuliko zozote hapa East and Central Africa.

Anaoza sa hiiLeta ushahidi kwamba alikufa Nairobi, hospitali gani na kwanini apelekwe Nairobi wakati tuna hospitali bora kuliko zozote hapa East and Central Africa.

Usiniletee stress za ujobless.Unafikiria Tanzania ni trending topic ama ni ujinga wenu ndio una trend., Magufuli alipo anza kuchemsha, ndio wakenya wakamjua kwa wingi, na kifo chake and what follows ndio imekua trending news, mengine ni Diamond na bongo flava, kuikweli mumejiletea dharau kwa wakenya, hamna lolote la maana to be followed, ni wivu na chuki zenu zinatushangaza, tukiangalia hatuoni lolote la maana down south
.,
Jitume wacha uzembe siku zote, jaribu kutumia angalau 0.005% ya akili zako. Just try uone matokeo, utafurahia😂Usiniletee stress za ujobless.
Usiniletee stress za kufungiwa ndani kama kuku.
Natumia 0.005% ya akili yangu lakini nina kazi nzuri, mambo yanaenda vizuri...yaani nilimaliza tu chuo mwaka huo huo nikapata job, sikuangaika kwenda interviewsJitume wacha uzembe siku zote, jaribu kutumia angalau 0.005% ya akili zako. Just try uone matokeo, utafurahia![]()



Indeed🤣😂😂., pia mimi nimeona.🤣😂😂 Kweli kweli Kaka😂😂, Hadi raha🤣😂😂Natumia 0.005% ya akili yangu lakini nina kazi nzuri, mambo yanaenda vizuri...yaani nilimaliza tu chuo mwaka huo huo nikapata job
Can you imagine ningetumia 1% ingekuwaje?
Shukurani jamiiforums ya kuja kujipea matumaini ipo la sivyo mngesha commit suicide kitambo.
Poor you.Indeed., pia mimi nimeona.
Kweli kweli Kaka
, Hadi raha
![]()
Wewe ni mtanzania wakujielewa,Nimekuwa nikiangalia post zako na zinaonyesha wazi jinsi ulivyo shallow kifikra. You tube videos ndio zinakupa judgement yako na hujui uhalisia wa nchi unazozilinganisha. Mimi nimekaa Marekani Kwa muda mrefu Ndio Maana huwa nacheka nikiona hizi propaganda unazoanzisha. Lakini endelea kuji-entertain.
Shida iko wapi? Kwn uliambiwa wewe utakuwa hufi? Alikufa bibi yako itakuwa Magu, tatizo mlilonalo Wakenya ni wivu juu ya viongozi bora wa Tanzania na maendeleo tuliyopiga kwa ujumla, ishu co Magu kufa ishu ni elimu tuliyonayo imetusaidia Watz kupata viongozi bora na wenye maadili, na kwa taarifa yako Magu hayuko pekeake bali tunao wengi wa namna yake, so mtajiumiza bure kwa chuki mlizonazo badala mpambane na nchi yenu juu ya viongozi dhalimu na wala rushwa waliojaa huko kwenu.Anaoza sa hii![]()
Me pia Kabudi niliipenda speech yake na Confidence kwenye UN General AssemblySana
Ile ramani waibadilishe iwe Sisi tunafuatilia mambo ya Marekani huko Kenya wanafuatilia mambo ya TanzaniaKunyaland habari za Tanzania zinalipa sana ndio magazeti yao front page ni habari za bongo tu
Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisyRais Samia amefanya decision nzuri kumchagua VP wake awe Dr. Mpango. Huyu mtu nadhani atahakikisha kwamba miradi zote za JPM zilizoanzishwa kama JNHPP, electric SGR, BRT phases zilizobakia, port expansions, powerline constructions na kadhalika zitakamilika maana anaelewa umuhimu wa miradi hizi katika uchumi wa Tanzania. Miradi hizi zitakuwa na positive impact kwa uchumi wa Tanzania.







😂😂😂😂 mumepata kipenzi chenu, hongera sana👉👉💩💩Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisy![]()
Uraia wangu hauwezi kuvuliwa hata na serikali ya Kenya. Mimi nilizaliwa Kisumu county na kukulia Nakuru county na sasa nafanya kazi Nairobi county kwa hivyo mimi ni Mkenya halisi. In fact katiba yetu mpya ya 2010 inaruhusu Mkenya kuwa na uraia wa nchi mbili. Ile katiba ya zamani ndio ilikuwa inazuia Mkenya kuwa na uraia wa nchi nyingine. Sasa hivi tuna Wakenya wengi ambao wana uraia wa nchi mbili.Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisy![]()
Nimefurahi kusoma hiyo content inayosema wanaandika habari hizo za "Tanzania" kuvutia wateja,of coz bila heading ya Tanzania,hamuuzi gazeti😂😂
Tuwe na wivu na nchi amabayoUnafikiria Tanzania ni trending topic ama ni ujinga wenu ndio una trend😂😂😂., Magufuli alipo anza kuchemsha, ndio wakenya wakamjua kwa wingi, na kifo chake and what follows ndio imekua trending news, mengine ni Diamond na bongo flava, kuikweli mumejiletea dharau kwa wakenya, hamna lolote la maana to be followed, ni wivu na chuki zenu zinatushangaza, tukiangalia hatuoni lolote la maana down south🤔🤔.,