Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nae toa usenge wako hapa hayo mambo tulishamalizana nayo jana km hukuwa na bandle achana nayo twende kwenye current issues.
We km unanyege zinakuwasha sema uchokorwe..
Unafikiria mi ni nikiingia jf natumia bando, sina presha za kuangalia salio kwanza ninapokua home
 
Tz tunakufa kwa hayo magonjwa na ndiyo maana tumechukulia kwamba covid ni moja ya hayo magonjwa ila lenye very little impact na ndiyo maana tunadunda bila barakoa wala lockdown, yn kwa kifupi hatuna habari na corona, mpk hao wenye biashara yao wakisema imekwisha basi hawatakuwa wamepiga pesa from Tz.
Hayo yote imewafikisha wapi? Mkulu ako wapi saa hii?
 
Wewe ni wale wale, hata kiwete utamkataa km si binadamu kisa hatembei km walokua wazima na viungo vyao
Mbingu na ardhi wapi na wapi🤣🤣👇
DCB5D56B-88C0-45DA-A440-3CD8F6466522.jpeg
12881EE8-5315-4E4A-BB93-8F23AA41FF9E.jpeg
7B84700C-D250-472C-8461-AD921DE3CDC8.jpeg
54059712-6A89-415D-98C1-BE2103A21B68.jpeg
2990807C-2484-4406-9BEB-61674EF7546C.jpeg
 
Eldoret bypass under construction View attachment 1739709
Screenshot_20210331-214750_1.jpg
Hizi interchange ni za miaka ya zamani mno na ndo zenye disadvantages kuliko,ni kama leo unakuja na TV la chogo afu uko bize kutamba,nimewavulimia ila nimechoka achane basi,au kwa sababu yana aerial view nzuri kwa hiyo miduara?!sioni tofauti na yale maua kwny vitambaa vya makochi na mashuka waliokuwa wanashona mama zetu enzi zile.
 
Sijamuona Michuzi akipiga piga picha, yeye aliletwa na JK pale Magogoni akitokea daily news na JPM akambakiza ila amepotea kwa Mama.
Pitia hapa

View attachment 1739793
Hizi interchange ni za miaka ya zamani mno na ndo zenye disadvantages kuliko,ni kama leo unakuja na TV la chogo afu uko bize kutamba,nimewavulimia ila nimechoka achane basi,au kwa sababu yana aerial view nzuri kwa hiyo miduara?!sioni tofauti na yale maua kwny vitambaa vya makochi na mashuka waliokuwa wanashona mama zetu enzi zile.
Anza na hapa afu chimba zaidi utajua
 
Back
Top Bottom