Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo yote imewafikisha wapi? Mkulu ako wapi saa hii?
Kwn aliyesema kwamba Magu atakuwa hafi nani, nani huyo mwenye mamlaka ya kuzuia kifo hebu tuambie tumjue.

Yn hii mikenya nilikuwa cjui km ni mijinga, yenyewe iko kipesa tu kila kifo ni corona ili ipige hela, yameweka pesa mbele mpk yanasahau utu, hivi wewe bogus km Magu angekufa kwa corona unadhani SSH angeendelea kudunda bila barakoa? Hutumii japo akili ndogo km ss hilo bichwa ulipewa la nn?
 
View attachment 1739793
Hizi interchange ni za miaka ya zamani mno na ndo zenye disadvantages kuliko,ni kama leo unakuja na TV la chogo afu uko bize kutamba,nimewavulimia ila nimechoka achane basi,au kwa sababu yana aerial view nzuri kwa hiyo miduara?!sioni tofauti na yale maua kwny vitambaa vya makochi na mashuka waliokuwa wanashona mama zetu enzi zile.
Niliwahi kuwaambia humu wakaona nna wivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
.

Screenshot_20210331-122358_Instagram.jpg

Screenshot_20210331-122414_Instagram.jpg

Screenshot_20210331-122344_Instagram.jpg
 
Kwanza unaelewa maana ya "bicycle"..wewe kwa akili zako hata bajaji utaiita baiskeli!
Na pia km nilivyokujuza, tricycle ni modification either kutokana na miskoto au mashine km vile(piki piki)..
Au bado una la ziada
 
Unapenda vya bure utaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanunue router jamani angalau na wewe uepukane na kuangalia salio..
Yani mi nikupenda mwnywe, km ni youtube naangalia bila hofu, netflix vile vile..

Mambo ya kutegemea vifurushi zilipendwa
 
View attachment 1739793
Hizi interchange ni za miaka ya zamani mno na ndo zenye disadvantages kuliko,ni kama leo unakuja na TV la chogo afu uko bize kutamba,nimewavulimia ila nimechoka achane basi,au kwa sababu yana aerial view nzuri kwa hiyo miduara?!sioni tofauti na yale maua kwny vitambaa vya makochi na mashuka waliokuwa wanashona mama zetu enzi zile.
Uliweka picha ya mwaka gani, naona 1980s[emoji23][emoji23]
Unaongelea kitu cha zamani na wakati picha uliyoleta ya karne hii

The best 007 njoo umsaidie mwenzako, kakimbilie kuleta kitu asichokijua manaa yake..
Mi nimekuja kuwaumbua before nilala[emoji23][emoji23]
Toa maelezo mzee wa zamani, pachiko la lini hilo
20210401_003753.jpg
 
Kwn aliyesema kwamba Magu atakuwa hafi nani, nani huyo mwenye mamlaka ya kuzuia kifo hebu tuambie tumjue.

Yn hii mikenya nilikuwa cjui km ni mijinga, yenyewe iko kipesa tu kila kifo ni corona ili ipige hela, yameweka pesa mbele mpk yanasahau utu, hivi wewe bogus km Magu angekufa kwa corona unadhani SSH angeendelea kudunda bila barakoa? Hutumii japo akili ndogo km ss hilo bichwa ulipewa la nn?
Sio kila mtu akifa ni corona na pia vile vile sio kila anayekufa kw corona basi lazima eti waliokua karibu nae watakufa..
Mili yetu ipo tofauti mzee baba, huwezi kulinganisha kinga zao za mwili au pia hata kiafya kuhusu wote..

Corona ilimtandika babu siku kadha na bibi alikua akimhudumia huku watoto wake walimtembelea na kutangamana nae..

Baada ya kuzidiwa kwenda hospitali akajulikaniwa km kapata virusi na akadungwa isolation huku akipatiwa matibabu.. baada ya siku kumi na nne majibu yakaja negative na sai ywadunga kitaani hku wale wote waliomtembelea kabla wajue, hawajaumwa mpka leo bibi nae alidunda kitaani wiki zote hzo mbili hku akimuombea mume wake atoke salama..

We wafikiria kupumilia oxygyne nimchezo, omba Mungu atuepushie

Manake babu advertisement kwanza alidungwa ICU coast general mwendo wa kupumulia mashine, ujue kisha si bure unatoa mpunga wa maana.
 
. Beijing ni kali kuliko,US has nothing to be compered to China in terms of infrastructures, China is a greatest country on Earth. Marekani ilishapitwa na China kitambo tu na hiyo democracy wanayojipigia nayo kifua mbele haiwasaidii kitu, hiv tangu 21st century ianze US gvmt imewahi kufanya kitu gani cha kimaendeleo kwa watu wake.? Zaidi ya kelele tu kila mtu mjuaji.? Nchi hazijengwi kwa mikutano na malumbano ya hoja bali kwa nguvu na jasho .
 
Back
Top Bottom