Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atcl pia inapata hasara na mlikuwa mnacheka KQ. Wajinga sana nyie. Sasa mlikuwa mnatucheka kwa nini?
ezgif.com-gif-maker.jpg
 
. Jamani hivi hizi habari ni za kweli.? Inasemekana watu weusi wanapigwa hovyo huko India,mbona hatuzioni zikirushwa kwenye media.? Kuna yeyote mwenye ukweli kuhusu hili.?

Nchi za India na hata China ziko hostile kwa wanafunzi wa kiafrika. Kuna wakati mwaka 2016 mwanafunzi wa kitanzania alikuwa attackd by a mob in Bangalore, India na kama mnakumbuka vizuri wakati outbreak ya Corona imeanza wanafunzi wa Kiafrika walipata shida sana huko China. Na hizi nchi zina-draw many African students siku hizi kwasababu ya gharama ndogo ya masomo ukilinganisha na vyo vya ulaya na America. Inasikitisha kwakweli kwasababu India na China zina uhusiano wa karibu sana na mataifa mengi ya kiafrika na bado wanatubagua kwa kiasi kikubwa.
 
sasa a loss of $25 mln for Air Tanzania with 12 aircraft

VS

a loss of $300 mln for KQ with 3 aircraft,


wapi na wapi?
The 2019-2020 loss is quite understandable. Covid-19 caused many international ATCL flights to be suspended, leading to a poor business performance. But it has been noted that ATCL has been making losses for the last five years! What do you think was the problem during the pre-covid financial years?
 
sasa a loss of $25 mln for Air Tanzania with 12 aircraft

VS

a loss of $300 mln for KQ with 3 aircraft,


wapi na wapi?

sasa a loss of $25 mln for Air Tanzania with 12 aircraft

VS

a loss of $300 mln for KQ with 3 aircraft,


wapi na wapi?
I said it here that Magufuli was a liar and a thief, amekuwa akiwaaminisha wajinga kuwa Any Time Cancellation Limited (ATCL) ilikuwa inatengeneza faida tangu ianzishwe afresh😂😂

Exju__yXMAIFUE5.jpeg
 
The 2019-2020 loss is quite understandable. Covid-19 caused many international ATCL flights to be suspended, leading to a difficult business performance. But it has been noted that ATCL has been making losses for the last five years! What do you think was the problem during the pre-covid financial years?
Which international routes did ATCL have? Ebu hesabu hata kumi kama unaweza tukupigie makofi. Alafu usilaumu Covid juu Tanzanian domestic aviation wasn't closed.
 
😭😭😭😭😭😭

Mpaka lini Waafrika tutakua tunateseka Hivi kwenye mataifa ya watu wakati wenyewe huku wanaishi kama wafalme?

Yaani usipokuwa na ndege ni kama Baba tajiri bila kuwa na gari utaonekana fukara tu, so tukubaliane kuna vitu lazima uwe nanvyo kwa demand ya sasa hata kama faida yake sio kubwa kivile, mfano tu amua kuwa na matatu au Brt kama za bongo land
Tatizo sio kuwa nazo, tatizo Ni mahesabu yake kuwekwa hadharani kwani ni mali yetu sote.
Unakaa unajisifu baba ana gari na kumbe ameichukulia mkopo nyumba yenu pekee, siku likipiga mzinga anaanza kulialia kama mtoto, vp utambembeleza baba yako?
 
The 2019-2020 loss is quite understandable. Covid-19 caused many international ATCL flights to be suspended, leading to a poor business performance. But it has been noted that ATCL has been making losses for the last five years! What do you think was the problem during the pre-covid financial years?
pili Mchina anatupiga danadana!
 
Haiji yan,we mwenyewe angalia yaani nchi ya Tanzania tusiwe na airline yetu kweli,sasa tutapata wapi sauti ya kupambana na ma-giant wa Africa,lazima tuwe na airline yetu ili dege linatua pale S.A au Cairo watu wakiliona wanasema "ndege ya Tanzania hiyo".. Tunaogopa hasara yaani tunazidiwa na ki-nchi kama Rwanda!!
Hatuogopi hasara mkuu, tunataka tuone mahesabu yake hadharani ili tunapobrag tuwe tunajua na gharama zake
 
The 2019-2020 loss is quite understandable. Covid-19 caused many international ATCL flights to be suspended, leading to a poor business performance. But it has been noted that ATCL has been making losses for the last five years! What do you think was the problem during the pre-covid financial years?
Mimi huwa sipendi airline business huwa ina complications nyingi sana. Sasa hivi hata kabla ya covid most major airlines in Africa zilikuwa zinatengeneza loss. Ikiwemo KQ na SAA. Ethiopian airlines pekee ndio inatengeneza profit. Halafu airlines nyingi zimekufa hapa Africa ukizingatia Nigeria pia walikuwa na airlines yao ambayo ilikufa na Ghana pia walikuwa na yao na ikafa. Hii biashars ya airlines sio ya kuingia kichwa kichwa. Haitaki ubabe hata kidogo. Inataka humility wa hali ya juu ili ujue tatizo liko wapi na utalirekebisha vipi. Vinginevyo itakuwa ni mwendo wa kutengeneza losses kila mwaka.
 
Which international routes did ATCL have? Ebu hesabu hata kumi kama unaweza tukupigie makofi. Alafu usilaumu Covid juu Tanzanian domestic aviation wasn't closed.
ATCL did have international routes before the outbreak started. And I said that the international flights were suspended because of Coronavirus, not domestic.
 
Ebu

toa Nigeria hapo wawe na umeme wa uhakika kwanza!
Kwani generators wanazotumia hazizalishi umeme? Generators zao zinazalisha chai au kahawa? Anyway waafrika wengi mnachukia Nigeria kwa sababu wao ni full waafrika weusi kama sisi. Aliko Dangote ni billionaire muafrika mweusi. Michael Adenuga ni billionaire muafrika mweusi. Emeka Offor ni billionaire muafrika mweusi, Abdul Rabiu na billionaires wengine ni waafrika weusi kama sisi. Media yao, cement, sugar, na private sector yao kwa asilimia kubwa inamilikiwa na waafrika weusi. Hata some of the oil and gas companies zinamilikiwa na waafrika weusi.
Linganisha Nigeria na South Africa ambayo asilimia kubwa ya private sector inamilikiwa na Wazungu? Egypt pia private sector yao inamilikiwa na waarabu na wazungu.
Upande mwingine mnalia kwamba waafrika weusi wanapigwa huko India lakini upande mwingine hampendi Nigeria ambayo inatawaliwa na waafrika weusi na ina uchumi mkubwa na billionaires wengi na utajiri mkubwa. Waafrika weusi hatujipendi. Tuna inferiority complex.
 
Ndege ziwepo,na bora tununue kwa cash,hata kama zina hasara ila zitatufaidisha kwa namna nyingine

Ila kuna mafisadi nayaona yanatamani kuzipiga bei,kuna nguvu kuuubwa sana ipo kuzipiga vita
by the way hasara imekua ndogo sababu tulinunua ndege cash,
hicho ndicho waliweza kufanya air tz(kudhibiti hasara)kwa sasa maana kutengeneza au kusubiria faida kwa sasa ni miujiza
 
There is one thing I usually tend to like about new government, they do expose the rot of the previous regimes which were kept secret. Less than a week and Suluhu has already exposed the rot in Magufili's govt. If your demigod was still alive nobody could have known that ATCL has been making loses for the past five years.
 
Unapingana kwa data zipi? Hapa sio mahala pa kuleta maneno vya kijiweni. Leta evidence. Sio kuongea tu. Watawapiku kwa idadi ya ndege au idadi ya abiria au kwa idadi ya destination au kwa jambo lipi? Fanya research kabla uje hapa kuongea.

Hujanielewa inaonekana, yani nasemaje incase wakisaini huo mkataba Qatar wqtaongeza zaidi ya ndege 60 na watakua wana offer the same services like Qatar airways since both the new airport and the airline zitakua zina offer services the sawa kama qatar airways kingine hawa wa katar watajenga mahoteli ma kukubwa kigali kwa ajili ya paasserges wake na wafanyakaz. The new greenfield airport inajengwa at a cost of 1 3 B $ na itakua na uwezo kuhudumia watu zaidi ya 10m na iyo ni phase one tuu phase 2 wataexpand the airport na kingeni Kigali is geographicaly well positioned than Addis that's why nasema watawapiku wa Ethiopia kwa sababu hawawez offer the same services like emirates na Qatar
 
Back
Top Bottom