Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
wapi tablet per kid?`mwaka wa tisa wa Uhuruto!Ni mradi mzuri na progress pia ni nzuri.
wapi tablet per kid?`mwaka wa tisa wa Uhuruto!Ni mradi mzuri na progress pia ni nzuri.
Asante lakini najaribu kuicheki playstore siiooni
Sasa hivi ni one mask aka barakoa per kid! 😀 😀 😀wapi tablet per kid?`mwaka wa tisa wa Uhuruto!
VPN ni kwa ajili ya tweeter tu, mitandao mingine ipo accessible bila VPNWatu mbona mnakubali kuishi chini ya dictatorship? Mbona mnakubali kufungiwa mtandao kana kwamba mnaishi North Korea? Sisi huku tunaingia kwenye mtandao bila kutumia VPN. Nataka kuwacheka ila nahisi huruma. Udikteta kama huu wa CCM mnastahili kuukataa kabisa.
Nani amekuambia kwamba mimi nilikuwa nasupport mradi huo?wapi tablet per kid?`mwaka wa tisa wa Uhuruto!
Kenyatta yuko madarakani kwa miaka mingapi sasa?Watu mbona mnakubali kuishi chini ya dictatorship? Mbona mnakubali kufungiwa mtandao kana kwamba mnaishi North Korea? Sisi huku tunaingia kwenye mtandao bila kutumia VPN. Nataka kuwacheka ila nahisi huruma. Udikteta kama huu wa CCM mnastahili kuukataa kabisa.
Wacha zako. JF si mlikuwa mnaingia na VPN wakati wa uchaguzi?VPN ni kwa ajili ya tweeter tu, mitandao mingine ipo accessible bila VPN
Hauwezi amini VPN inawafaidisha sana wenye social media business sababu ukiweka VPN kunakua na high level of ads trafficking kwenye app unayofungua, YouTube za bongo wanapiga sana pesa na websites
Miaka milioni moja unusu.Kenyatta yuko madarakani kwa miaka mingapi sasa?
. Mmh hawa jamaa kuhusu kuwafkia ni ndoto, EA's countries have a long journey. This is madinaty in Egypt .oya wew.! hawa wamba ni kwerekweche
OhoooooMiaka milioni mmoja unusu.
Miaka minane. Amebakisha miaka miwili ang'atuke madarakani.Ohooooo
Swali gumu eeeh lakini nilitaka tu kujua
Wewe ni mpwani. Ulivyojibu nimejua tu wewe unatokea maeneo ya pwani pwani.Ohooooo
Swali gumu eeeh lakini nilitaka tu kujua
. Jamani hivi hizi habari ni za kweli.? Inasemekana watu weusi wanapigwa hovyo huko India,mbona hatuzioni zikirushwa kwenye media.? Kuna yeyote mwenye ukweli kuhusu hili.?
Burundi ipi tena jamani .? 😂😂😂. Situmekubaliana league yetu ni Kenya.?Egypt ligi yao ni Afrika Kusini na Nigeria. Nyinyi endeleeni kupambana na Burundi.
Hahaha. Kwani hamutaki kulinganishwa na Burundi? Kwani Burundi sio ndugu zenu?Burundi ipi tena jamani .? 😂😂😂. Situmekubaliana league yetu ni Kenya.?
Lakini mbona sisi tunaishinao vizuri tu uku kwetu, hatuwabagui, wanafanya biashara zao vizur tu,duh kuwa na ngozi nyeusi kwenye mataifa ya ngozi nyeupe ni mtihani kweli,🥺🥺Sitashangaa ikiwa ni ukweli. Wahindi ni watu wabaguzi sana dhidi ya watu weusi.
siyo milioni tisa na nusu?Miaka milioni moja unusu.