Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujanielewa inaonekana, yani nasemaje incase wakisaini huo mkataba Qatar wqtaongeza zaidi ya ndege 60 na watakua wana offer the same services like Qatar airways since both the new airport and the airline zitakua zina offer services the sawa kama qatar airways kingine hawa wa katar watajenga mahoteli ma kukubwa kigali kwa ajili ya paasserges wake na wafanyakaz. The new greenfield airport inajengwa at a cost of 1 3 B $ na itakua na uwezo kuhudumia watu zaidi ya 10m na iyo ni phase one tuu phase 2 wataexpand the airport na kingeni Kigali is geographicaly well positioned than Addis that's why nasema watawapiku wa Ethiopia kwa sababu hawawez offer the same services like emirates na Qatar
Unajua upuuzi unachofanya wewe ni kwamba unafanya research kuhusu Rwanda pekee halafu unasusia kufanya research kuhusu Ethiopia kisha unataka kuzilinganisha zote mbili. Upo sahihi kwamba Rwandair itafaidika sana na deal ya Qarar lakini sio vizuri wewe kuruka na kuanza kutajataja neno Ethiopia bila hata kujua ukubwa wa Ethiopian airlines. Nipo sure hujui ukubwa wa Ethiopian airlines ndio maana unawadharau sana. Kama ungejua ukubwa wao na profitability yao ungefunga mdomo. Afadhali ungesema Rwandair ingeipiku KQ au SAA.
Nimehisi kucheka ulipoandika kwamba siku za usoni Rwandan airport itapanuliwa ili iweze kuhandle 10 million passengers. Usichokijua ni kwamba in 2018 Bole airport in Ethiopia handled 12 million passengers. Halafu capacity ya Bole airport imepanuliwa na sasa inaweza kuhandle 22 million passengers. So uwache kuturingia 10 million passengers wakati Bole ina capacity ya 22 million passengers.

Okay. Usitaje Ethiopian airlines unless unajua kitu unachosema.
 
Kwani generators wanazotumia hazizalishi umeme? Generators zao zinazalisha chai au kahawa? Anyway waafrika wengi mnachukia Nigeria kwa sababu wao ni full waafrika weusi kama sisi. Aliko Dangote ni billionaire muafrika mweusi. Michael Adenuga ni billionaire muafrika mweusi. Emeka Offor ni billionaire muafrika mweusi, Abdul Rabiu na billionaires wengine ni waafrika weusi kama sisi. Media yao, cement, sugar, na private sector yao kwa asilimia kubwa inamilikiwa na waafrika weusi. Hata some of the oil and gas companies zinamilikiwa na waafrika weusi.
Linganisha Nigeria na South Africa ambayo asilimia kubwa ya private sector inamilikiwa na Wazungu? Egypt pia private sector yao inamilikiwa na waarabu na wazungu.
Upande mwingine mnalia kwamba waafrika weusi wanapigwa huko India lakini upande mwingine hampendi Nigeria ambayo inatawaliwa na waafrika weusi na ina uchumi mkubwa na billionaires wengi na utajiri mkubwa. Waafrika weusi hatujipendi. Tuna inferiority complex.
You have a very shallow way of analysing things, i dont know if it is by default or design. Comparing Nigeria to Kenya let alone South africa is an insult to development. Nigeria is a good example of how not to run a country.
And the worst thing is that you are using billionares as a standard of development, who does that?????
 
Unajua upuuzi unachofanya wewe ni kwamba unafanya research kuhusu Rwanda pekee halafu unasusia kufanya research kuhusu Ethiopia kisha unataka kuzilinganisha zote mbili. Upo sahihi kwamba Rwandair itafaidika sana na deal ya Qarar lakini sio vizuri wewe kuruka na kuanza kutajataja neno Ethiopia bila hata kujua ukubwa wa Ethiopian airlines. Nipo sure hujui ukubwa wa Ethiopian airlines ndio maana unawadharau sana. Kama ungejua ukubwa wao na profitability yao ungefunga mdomo. Afadhali ungesema Rwandair ingeipiku KQ au SAA.
Nimehisi kucheka ulipoandika kwamba siku za usoni Rwandan airport itapanuliwa ili iweze kuhandle 10 million passengers. Usichokijua ni kwamba in 2018 Bole airport in Ethiopia handled 12 million passengers. Halafu capacity ya Bole airport imepanuliwa na sasa inaweza kuhandle 22 million passengers. So uwache kuturingia 10 million passengers wakati Bole ina capacity ya 22 million passengers.

Okay. Usitaje Ethiopian airlines unless unajua kitu unachosema.
Ethiopia airline ukijumlisha ndege walizonazo na walizo-order ni zaidi ya 140! Ethiopia inamtoa makamasi Qatar airlines kwaenye soko la Africa!
 
Yeah. Just f*ck off. And don't mention me.
 
Ethiopia airline ukijumlisha ndege walizonazo na walizo-order ni zaidi ya 140! Ethiopia inamtoa makamasi Qatar airlines kwaenye soko la Africa!
Ndio nimeshangaa sana huyo mtu kuidharau Ethiopian airlines. Anaichukulia kimzaha mzaha tu. Saa hii wamepanua airport yao na Bole ina pax ya 22 million.
 
Qatar wana ndoto ya kuteka solo la Africa baada ya kupewa ban ya kuruka anga la Saudi Arabia na UAE! Ila in my opinion angejaribu partnership na ET au hata Nigeria na sio na Rwandair, it is too risky!
 
Unajua upuuzi unachofanya wewe ni kwamba unafanya research kuhusu Rwanda pekee halafu unasusia kufanya research kuhusu Ethiopia kisha unataka kuzilinganisha zote mbili. Upo sahihi kwamba Rwandair itafaidika sana na deal ya Qarar lakini sio vizuri wewe kuruka na kuanza kutajataja neno Ethiopia bila hata kujua ukubwa wa Ethiopian airlines. Nipo sure hujui ukubwa wa Ethiopian airlines ndio maana unawadharau sana. Kama ungejua ukubwa wao na profitability yao ungefunga mdomo. Afadhali ungesema Rwandair ingeipiku KQ au SAA.
Nimehisi kucheka ulipoandika kwamba siku za usoni Rwandan airport itapanuliwa ili iweze kuhandle 10 million passengers. Usichokijua ni kwamba in 2018 Bole airport in Ethiopia handled 12 million passengers. Halafu capacity ya Bole airport imepanuliwa na sasa inaweza kuhandle 22 million passengers. So uwache kuturingia 10 million passengers wakati Bole ina capacity ya 22 million passengers.

Okay. Usitaje Ethiopian airlines unless unajua kitu unachosema.

Nmefanya research kote najua airport ya ethiopia Boe inauwezo huo lakin iyo hamaanishi kwamba kila mwaka wana handle 22 m na zaidi na kingine hii airport ya Rwanda iko in phases kuna phases zingine zaidi, ponti yang ni kati ya izi nchi mbili kitacho matter ni services icho ndio kitachoamua ipi ndio itakua superior kwani unadhani kuwa na midege mingi na services mbovu nani atapanda ndege zako , my point ni je Ethiopia wataweza kuprovide services za level ya qatar au emirates ambayo Rwanda itakua ina provide
 
Qatar wana ndoto ya kuteka solo la Africa baada ya kupewa ban ya kuruka anga la Saudi Arabia na UAE! Ila in my opinion angejaribu partnership na ET au hata Nigeria na sio na Rwandair, it is too risky!
Nigeria tatizo position geophysicaly imekaa pabaya alafu na political stability while Ethiopia hawawez kubali iyo deal while they are already making big profits, hawez kuwaachia warabu wapige iyo pesa
 
Qatar wana ndoto ya kuteka solo la Africa baada ya kupewa ban ya kuruka anga la Saudi Arabia na UAE! Ila in my opinion angejaribu partnership na ET au hata Nigeria na sio na Rwandair, it is too risky!
Na kingine tourism industry ya east na southafrica ina it is growing rapidly compared to west Africa so rwanda is strategicaly well positioned
 
There is one thing I usually tend to like about new government, they do expose the rot of the previous regimes which were kept secret. Less than a week and Suluhu has already exposed the rot in Magufili's govt. If your demigod was still alive nobody could have known that ATCL has been making loses for the past five years.
Millionaire a.k.a bwana mihela a.k.a Freemason umerudi!??..ile mihela yako ipo? Nigawie kiburungutu kimoja tu..
 
huyo Teargas hata mlo wa mchana hajapata! halafu kabadili ID sasa sijui alipewa ban? Hebu Moderator n Cookie angalia huyu jamaa ana handles mbili!

Unbenannt.PNG
 
Back
Top Bottom