chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Sio jf tu ilikua internet nzima lakini baada ya siku 3 internet yote ilirejea kasoto TwitterWacha zako. JF si mlikuwa mnaingia na VPN wakati wa uchaguzi?
Sio jf tu ilikua internet nzima lakini baada ya siku 3 internet yote ilirejea kasoto TwitterWacha zako. JF si mlikuwa mnaingia na VPN wakati wa uchaguzi?
Burundi hapana kwakweli, ni ndugu zetu sawa, lakin bhana wapo vibaya sana, Burundi labda ishindane na mji kama musoma au hata Singida 😂😂😂Hahaha. Kwani hamutaki kulinganishwa na Burundi? Kwani Burundi sio ndugu zenu?
. Jamani hivi hizi habari ni za kweli.? Inasemekana watu weusi wanapigwa hovyo huko India,mbona hatuzioni zikirushwa kwenye media.? Kuna yeyote mwenye ukweli kuhusu hili.?
. Jamani hivi hizi habari ni za kweli.? Inasemekana watu weusi wanapigwa hovyo huko India,mbona hatuzioni zikirushwa kwenye media.? Kuna yeyote mwenye ukweli kuhusu hili.?
Ni kama nyie tu mnaolazimishwa kudungwa nisindano ya chanjo ya covid-19 ambayo bado ina mashaka sababu tu hao leaders wenu walishakula vya watu hivyo ni lazima wa-obey masharti ya bwana zao .Watu mbona mnakubali kuishi chini ya dictatorship? Mbona mnakubali kufungiwa mtandao kana kwamba mnaishi North Korea? Sisi huku tunaingia kwenye mtandao bila kutumia VPN. Nataka kuwacheka ila nahisi huruma. Udikteta kama huu wa CCM mnastahili kuukataa kabisa.
Lakini mbona sisi tunaishinao vizuri tu uku kwetu, hatuwabagui, wanafanya biashara zao vizur tu,duh kuwa na ngozi nyeusi kwenye mataifa ya ngozi nyeupe ni mtihani kweli,🥺🥺
Dah 🤦. So sadmedia yao pia ni ya kibaguzi kama ya Kenya! Ipo busy ku-cover propaganda towards China their nemesis!
Sisi ni level nyingine hata nyie mnasubiri, ona tumepeana kijiti kwa VP veeery smoothly wakati wa kwenu anahangaika kama kuku anaetaka kutagaHahaha. Kwani hamutaki kulinganishwa na Burundi? Kwani Burundi sio ndugu zenu?
Labda masiah akirudi usawa ndio utakwepo lakini this is too much hadi wahindi wanatubagua😭😭😭😭😭😭
Mpaka lini Waafrika tutakua tunateseka Hivi kwenye mataifa ya watu wakati wenyewe huku wanaishi kama wafalme?
Ni wananchi wa mataifa gani hao? Umoja wa Africa upo kimya!
Nigeria nchi gani wewe?Egypt ligi yao ni Afrika Kusini na Nigeria. Nyinyi endeleeni kupambana na Burundi.
Ndege ziwepo,na bora tununue kwa cash,hata kama zina hasara ila zitatufaidisha kwa namna nyingineWATU SIWAELEWI KABISA HIVI?
TUWE NA NDEGE AU TUSIWE NAZO??
NA JE TUNUNUE KWA MKOPO AU CASH KM HELA ZIPO?
Yaani usipokuwa na ndege ni kama Baba tajiri bila kuwa na gari utaonekana fukara tu, so tukubaliane kuna vitu lazima uwe nanvyo kwa demand ya sasa hata kama faida yake sio kubwa kivile, mfano tu amua kuwa na matatu au Brt kama za bongo landNdege ziwepo,na bora tununue kwa cash,hata kama zina hasara ila zitatufaidisha kwa namna nyingine
Toa ujinga hapa. Wewe ndio hujui lolote.Nigeria nchi gani wewe?
Hata umeme wa Generators! Wewe ni muongeaji tu na hujui lolote.
Uongo mtupu. Nchi nyingi za Africa hazina airlines na maisha inasonga tu kama kawaida. Halafu airline business ni mbovu kabisa. Hapa Africa isipokuwa Ethiopian airlines hizo major airlines zingine zote zinatengeneza loss kila mwaka.Yaani usipokuwa na ndege ni kama Baba tajiri bila kuwa na gari utaonekana fukara tu, so tukubaliane kuna vitu lazima uwe nanvyo kwa demand ya sasa hata kama faida yake sio kubwa kivile, mfano tu amua kuwa na matatu au Brt kama za bongo land
Haiji yan,we mwenyewe angalia yaani nchi ya Tanzania tusiwe na airline yetu kweli,sasa tutapata wapi sauti ya kupambana na ma-giant wa Africa,lazima tuwe na airline yetu ili dege linatua pale S.A au Cairo watu wakiliona wanasema "ndege ya Tanzania hiyo".. Tunaogopa hasara yaani tunazidiwa na ki-nchi kama Rwanda!!Yaani usipokuwa na ndege ni kama Baba tajiri bila kuwa na gari utaonekana fukara tu, so tukubaliane kuna vitu lazima uwe nanvyo kwa demand ya sasa hata kama faida yake sio kubwa kivile, mfano tu amua kuwa na matatu au Brt kama za bongo land
Toa ujinga hapa. Wewe ndio hujui lolote.