Hili nililisema humu mapema tu Magu alipolala,yaani tutegemee anguko la CCM!Washkaji hii nchi ina mambo mengi sana yanayoendelea nyuma ya pazia,in short ni kwamba mafisadi yameshinda sasa tunarudi kulee kwa wapigaji,na hao wapigaji hawatoki mbali bali mulemule ccm,jamaa walimchukia sana mzee pombe kwa kuwabana,now wamerejea kwa kishindo
Magufuli was a good manipulator of data. I expect more fallout in the future.There is one thing I usually tend to like about new government, they do expose the rot of the previous regimes which were kept secret. Less than a week and Suluhu has already exposed the rot in Magufili's govt. If your demigod was still alive nobody could have known that ATCL has been making loses for the past five years.
I can see my presence here makes you uncomfortable. You are too old but afraid of simple things.huyo Teargas hata mlo wa mchana hajapata! halafu kabadili ID sasa sijui alipewa ban? Hebu Moderator n Cookie angalia huyu jamaa ana handles mbili!
View attachment 1737875
Usisahau ndo capital city yenu😂😂 ambayo Kisumu yaitandika.Kwenye huu msiba kuna mkenya alikua anafikiri Dodoma ni kama town fulani huko isiolo ila baada ya kuona clips za msiba ulivyokua ukizungushwa Dodoma pale kabadili msimamo anasema Tanzania tofauti na alivyofikiria
Chato yenyewe ndio imemvuruga kabisa
Hamjaichoka kupost renders? To make the matters worse you have been posting this same render since 2018 but it has never been even approved.
Kama jf hawaziki mtu then why were they uncomfortable with what I was saying?So sad that you wasted your opinions,you should tell that to JWTZ,coz wao ndo walikuwa wahusika wakuu wa mazishi,jamiiforums huwa hawaziki mtu mate..next time jifunze kupeleka maoni yako mahala sahihi,kwa kuwa wewe ni millionaire wangekusikiliza tu Mr.Freemason
The whole Dom is under construction,so it's just the matter of time.. kisumu level yake kwanza ni Arusha na haitoboi vile vileUsisahau ndo capital city yenu😂😂 ambayo Kisumu yaitandika.
Kweli ushamba ni mzigo.This is one of the inner roads in Westlands. See how it's smooth and perfectly marked, I'm sure there is no inner road in Dar is slum which is perfectly marked like this.
View attachment 1737965
You were a troublesome!!!, they couldn't help you pal..because they weren't part of funeral, what should they do?Kama jf hawaziki mtu then why were they uncomfortable with what I was saying?
Tell me anything that Arusha can beat Kisumu in and I will show you how worms are eating the body of your demigod.The whole Dom is under construction,so it's just the matter of time.. kisumu level yake kwanza ni Arusha na haitoboi vile vile
Show me anything like that in Dar.Kweli ushamba ni mzigo.
I was sure those who were involved in the burial are in this forum. The least they could have done was to leave me alone so that I could pass the message.You were a troublesome!!!, they couldn't help you pal..because they weren't part of funeral, what should they do?
Kisumu ipi hiyo?Usisahau ndo capital city yenu😂😂 ambayo Kisumu yaitandika.
Anza wew kuonyesha vilivyopo kisumu ambavyo havipo chuga alaf tutaenda sawa,Tell me anything that Arusha can beat Kisumu in and I will show you how worms are eating the body of your demigod.
Kitu kinajengwa ni tofauti na render you have just posted.Ubungo terminal ilishahamia mbezi, saivi upo ujenzi unaendelea hapo.