ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Bado humjui cs macharia 🤣🤣🤣Link kutoka KQ jomba
Bado humjui cs macharia 🤣🤣🤣Link kutoka KQ jomba
Ukileta ushahidi atcl imenunua ndege natoka jfZinamilikiwa na nani ??? Hebu tupe habari![]()
Hajui zaidi ya KQBado humjui cs macharia![]()
Ingia google utafute miaka mitatu tu shirika limefufuliea na bado investment inaendelea mwaka huu tu apokea ndege 3Shirika lenu limeingiza faida ya shingapi
Na kwann aliwatag kq alikua na maana ganiHajui zaidi ya KQ
Kamuukize sasa km alikua na maana zake shauri zakeNa kwann aliwatag kq alikua na maana gani
Faida boss, biashara yyte ile lazima iwe na financial reports wakati wa kufunga mwaka..Ingia google utafute miaka mitatu tu shirika limefufuliea na bado investment inaendelea mwaka huu tu apokea ndege 3
Q400 bombadier moja
Airbus A220 mbili
Hiki kiumbe linapokuja suala la speech ukimuacha Hayati Nyerere hakuna mwingine wa kumkaribia nchi hii.
VIPANDE HIVI VI 3 VYA HOTUBA HII
VINATOSHA KABISA WATU KUISHI KWA UTU NA HESHIMA NA MAENDELEO
JPM WAS A GREAT MAN OF GOD
Itakuwa safi, lkn nahisi pia km Simbachawene anahusika hivi! Ila lazima awe mkristo.Mara pah Dr Slaa makamo wa Rais
Najiuliza anafanya nn Bongo saahii?
Ndiyo huwa najiuliza hili swali, yn huyu mzee ni overrated sn, hamfikii Nyerere hata kwa mbali.Zaidi ya kuoa wanawake wengi na wazuri, nini zaidi Mandela alifanyia Africa?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii kitu nilishawahi kuisema hata mimi kwamba hizo ni empty containersNawaambiaga hubeba empty containers jamaa hubisha! Haya kiko wap?
Tony254