Karibuni asanteni [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
their first office in Africa in Tanzania
Karibuni asanteni [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Aaah wapi huyu juzi Marehemu alimcharura juu ya kutosaidia Askari waliostaafu kupata mafao yao! Itakuwa ajabu kama ndo choice ya Samia!Itakuwa safi, lkn nahisi pia km Simbachawene anahusika hivi! Ila lazima awe mkristo.
So cs hana habari kabisa kuliko wewe🤣🤣 kichaa sio lazma avue nguoKamuukize sasa km alikua na maana zake shauri zake
So unachoogopa wewe ni kwann kq ina ndege 3 chakavu miaka 40 🤣🤣🤣🤣Faida boss, biashara yyte ile lazima iwe na financial reports wakati wa kufunga mwaka..
We unaniletea maneno hapa
jamaa alipiga speech nzuri sana ya kujiamini ....View attachment 1733330
speech ya wa Malawi ni ya kuwatukana mabeberu[emoji1]
😁😁😁😁 maskini pesa za taxpayers 1.96b ksh ila mchina sijui kama ataenda mbinguni
Kwani hao watu ni wangapi? Wacha fikra za kitoto!View attachment 1733656View attachment 1733656View attachment 1733657
Kuna kipindi Geza aliweka Uzi humu kwamba uchaguzi wa Tanzania 🇹🇿 uliporwa, natamani aseme haya yanayotokea anayaona?
Jamaa umekalia kuti kavuSo unachoogopa wewe ni kwann kq ina ndege 3 chakavu miaka 40 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km angelikua na habari asingeliita ripoti yake press[emoji1787][emoji1787]So cs hana habari kabisa kuliko wewe[emoji1787][emoji1787] kichaa sio lazma avue nguo
Km angelikua na habari asingeliita ripoti yake press[emoji1787][emoji1787]So cs hana habari kabisa kuliko wewe[emoji1787][emoji1787] kichaa sio lazma avue nguo
ichoboy01 ebu isome hii report
![]()
Kenya Airways Limited (KQ.ke) 2019 Annual Report
Kenya Airways Limited (KQ.ke) listed on the Nairobi Securities Exchange under the Transport sector has released its 2019 annual report. For more information about Kenya Airways Limited (KQ.ke) reports, abridged reports, interim earnings results and earnings presentations, visit the Kenya Airways...africanfinancials.com