Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Zaidi ya kuoa wanawake wengi na wazuri, nini zaidi Mandela alifanyia Africa?3 billion angekifikisha mandela kwanza
We mzee si umerogwa na wenye chuki zao jamanihamna mtambo wa scanner kama huu ndo maana loaded doublestack haiwezekani! Kingine mna axle load limit ya 25 tons agianst axle load of 35 tons for electrical SGR Tanzania!
![]()
Onyesha doublestack wagon zikipimwa Mombasa port!
Onyesha


Unataka kusema nini haswa? Emu jilete lete vizuri katila mtandao ueleweke..Zaidi ya kuoa wanawake wengi na wazuri, nini zaidi Mandela alifanyia Africa?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
leta doublestack scanners kama hizo in the whole of Kenya! Hii scanner ina uwezo wa ku-scan moving train at a speed of 30km/h!We mzee si umerogwa na wenye chuki zao jamani![]()
Miguna kweli tahiraHuyu Miguna Miguna ambaye Watanzania wa uzi huu wanampenda na kumtetea sana tazama maneno anayoandika kuhusu JPM. Natumai sasa mumeelewa ni kwa nini serikali ya Kenya ilifukuza huyo mdomo kubwa
Cc The best 007 joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01


Hiyo haimjimi haki yake ya uraia wa KenyaHuyu Miguna Miguna ambaye Watanzania wa uzi huu wanampenda na kumtetea sana tazama maneno anayoandika kuhusu JPM. Natumai sasa mumeelewa ni kwa nini serikali ya Kenya ilifukuza huyo mdomo kubwa
Cc The best 007 joto la jiwe Geza Ulole ichoboy01
Tulete kwn sisi tunafanya kazi port, hivi wewe unaakili kweli au umeazima, yani sgr kenya itoe empty containers mombasa izipeleke nairobi..leta doublestack scanners kama hizo in the whole of Kenya! Hii scanner ina uwezo wa ku-scan moving train at a speed of 30km/h!
Mtamlipa lini lissu haki yake


Mitambo ya ku scan mbona ipo jombaWe mzee si umerogwa na wenye chuki zao jamani![]()
Huyo jamaa saa zingine akili yake huwa haifanyi kazi. Nimewachana naye tu juu nimeshindwa kuargue na huyo wazimu. Empty containers huwa zinatoka Nairobi zikija Mombasa, leo huyu wazimu anasema eti empty containers zinatoka Mombasa zikienda Nairobi. Zinaenda Nairobi kufanya nini? Jamaa hata hatumii akili.Tulete kwn sisi tunafanya kazi port, hivi wewe unaakili kweli au umeazima, yani sgr kenya itoe empty containers mombasa izipeleke nairobi..
Nimeanza kuwa na mashaka na akili zako sasa
onyesha ikipima doublestack trains at a speed of 30 km/h!Mitambo ya ku scan mbona ipo jombaView attachment 1733190View attachment 1733191
Jaribu kutumia akili saa zingine. Wacha kuwa mtu wa hovyo. Kuna scanning ya aina nyingi. Hivi wewe hujui kwamba kuna njia nyingi za kuscan containers? Ama wewe unadhani tu kwamba kuna njia moja tu ya kuscan containers? Containers zinaweza kushushwa from the train then zikapandishwa kwenye trucks kisha zikawa scanned wakati trucks zinapopita kwenye truck scanner. Ama unadhani Nairobi Embakasi ICD haina truck scanners? Tazama hapa chini na uwache uropokaji.onyesha ikipima doublestack trains at a speed of 30 km/h!
Jaribu kutumia akili saa zingine. Wacha kuwa mtu wa hovyo. Kuna scanning ya aina nyingi. Hivi wewe hujui kwamba kuna njia nyingi za kuscan containers? Ama wewe unadhani tu kwamba kuna njia moja tu ya kuscan containers? Containers zinaweza kushushwa from the train then zikapandishwa kwenye trucks kisha zikawa scanned wakati trucks zinapopita kwenye truck scanner. Ama unadhani Nairobi Embakasi ICD haina truck scanners? Tazama hapa chini na uwache uropokaji.
View attachment 1733219
Na utazame hii video fupi uone truck scanners zipo embakasi ICD.
Scanning kutumia truck scanners inatake more time kushinda scanning kutumia train scanners lakini scanning kutumia truck scanners still works na hata hapo Dar port pia bado mnatumia truck scanners ama kama unapinga sema nikuletee ushahidi? Hii sector ya uchukuzi naona huielewi sana. Una matatizo ya ubongo.
Abidjan, Ivory coast inajenga metro
Dar mnatumia truck scanners sasa sijui unapinga nini. Sijasema kwamba hamna train scanners bali mnatumia zote.sasa kwa train zinazoingia (MGR na CGR) kwanini tupime kwa trucks pumbavu wewe? Ubishi umehamia kwenye kutotumia train scanners za Dar sio ?
Hii tanzania ipo kwenye highways na kwa ajili ya malori na si kwa ajili ya cargo trains!Mitambo ya ku scan mbona ipo jombaView attachment 1733190View attachment 1733191
So ww na cs macharia nani ni waziri na nani mkuu wa kitengo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wao wametoa wapi
Hapa huwezani mzee baba, utanengua mpka ukafe..
Ile siku utaniletea official source kutoma KQ ndio utaeleweka mzee baba