Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Doh does this remind us of KQ with her project Mawingu under Naikuni which sought to expand all over Africa through acquiring state of the art aircraft through loans? I see Equity Bank going the same path as KQ!

CC: Tony254
Km nyie mlivyokurupuka kununua mindege mkaiweka parking..
Ile siku mtapata faida mnitag
 
Dar port: berth 5 done...
99r3OR6.png

JOKWjDE.png

Source
 
Kwa Hapa Nikidhani inaweza ikawa uongo 4 billion people ni wengi sana ni kama kombe la dunia, hapa tume exaggerate sana
Hizi taarifa hazina tofauti na zile zile tu alipowadanganya ya kwamba kaongea na jiwe yupo fiti, huku na yule mwngine kaja kusema binadamu kukaguliwa sio tatizo..homa, mafua mafua sio mbaya...
Tatizo alipotoa tangazo alisema ya kwamba rais alikua mgonjwa na kafia hospotalini, yani viongozi wa tanzania waongo waongo yani jamani..

Mpka inatia huzuni aisee
 
Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Tony254 kwn interchange inapojengwa huaga kazi yake ni kuondoa msongamano sasa sijui kamaanisha wa omba omba huyu jomba lako..manake kasema yeye alafu tena katika magari anataka data huku wakati kakiri mwnywe
 
Hahaha. Huyo ichoboy01 amechanganyikiwa. Yeye mwenyewe amesema kwamba Mombasa ina msongamano wa magari kwa sababu ya port kisha baadaye anabadili mawazo na kuitisha evidence ya msongamano.
 
Doh does this remind us of KQ with her project Mawingu under Naikuni which sought to expand all over Africa through acquiring state of the art aircraft through loans? I see Equity Bank going the same path as KQ!

CC: Tony254
Kununua benki sio kama kununua ndege. Those are two different businesses with two different risk factors. Naikuni hakuwa mwerevu sana. Biashara ya ndege haitaki ukurupukaji maana ina risk factors nyingi. Kununua benki mpya sio risky sana bora benki yenyewe ina good customer base.
Halafu naona watu wanashangaa kuona benki ikiomba loan. Hii ni kawaida sana katika sector hii benki kuomba loan from another bank. Kwanza benki za Afrika zinafurahia low interest rates za loan kutoka European or American banks. Benki ya Kenya ikiomba loan at 5% p.a from European banks halafu inalipisha Wakenya interest ya 20% p.a hivi wewe huoni kwamba watapata profit? Halafu hizi benki zimeandika kazi actuaries waliosomea acturial science, wanaotoa advice jinsi ya kuminimise risks za investments. Hawakurupuki hawa watu.
 
Have u considered the fact that taking loan to expand puts that bank in precarious situation, any competition in the market the bank has entered can cause a serious challenge to a business that uses loan to expand!

As for now i know CRDB Bank will enter Eastern Congo market and a war of low interest rates will ensure!

CRDB Bank has accelerated its focus on regional growth and is currently looking at expanding its operations into deep Eastern Africa, targeting the Democratic Republic of Congo in 2021, among other potential markets, especially countries with strong trade ties with Tanzania.

Hahaha. Huyo ichoboy01 amechanganyikiwa. Yeye mwenyewe amesema kwamba Mombasa ina msongamano wa magari kwa sababu ya port kisha baadaye anabadili mawazo na kuitisha evidence ya msongamano.
Nimekwambia port sijakwambia kuna msongamano wa magari wewe umekuaje tony ???
 
Tony254 kwn interchange inapojengwa huaga kazi yake ni kuondoa msongamano sasa sijui kamaanisha wa omba omba huyu jomba lako..manake kasema yeye alafu tena katika magari anataka data huku wakati kakiri mwnywe
Msongamano kutoka na kuingia port au hujui maana yake ??? Hujiulizi kwann wanajeng maeneo ya port kwann sio maeneo mengine
 
Back
Top Bottom