Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have u considered the fact that taking loan to expand puts that bank in precarious situation, any competition in the market the bank has entered can cause a serious challenge to a business that uses loan to expand!

As for now i know CRDB Bank will enter Eastern Congo market and a war of low interest rates will ensure!

Leteni competition Congo. Sisi hatuna shida.
 
Nawaambiaga hubeba empty containers jamaa hubisha! Haya kiko wap?
Tony254
Sasa wapi hapo wameandika kwamba wao hubeba empty containers from Mombasa. Wewe kichwa chako hakifanyi vizuri. Empty containers huwa zinatokea Nairobi zikielekea Mombasa. Kenya is a net importer country. So containers zinazotoka Mombasa kuelekea Nairobi huwa zina mizigo. Wacha wivu wewe.
 
Msongamano kutoka na kuingia port au hujui maana yake ??? Hujiulizi kwann wanajeng maeneo ya port kwann sio maeneo mengine
Wacha tumalize mjadala kwa kukubaliana kwamba kuna msongamano wa magari katika maeneo yalio karibu na port. Na hii ndio maana wanajenga interchanges karibu na port. Natumai hapo tumeelewana ichoboy01 kwa sababu hapa natumia maneno yako mwenyewe. Au bado utapinga kauli yako wewe mwenyewe?

Cc komora096

Ila ikumbukwe interchanges zinajengwa hata mbali na port.
 
Sasa wapi hapo wameandika kwamba wao hubeba empty containers from Mombasa. Wewe kichwa chako hakifanyi vizuri. Empty containers huwa zinatokea Nairobi zikielekea Mombasa. Kenya is a net importer country. So containers zinazotoka Mombasa kuelekea Nairobi huwa zina mizigo. Wacha wivu wewe.

hamna mtambo wa scanner kama huu ndo maana loaded doublestack haiwezekani! Kingine mna axle load limit ya 25 tons agianst axle load of 35 tons for electrical SGR Tanzania!
2722635_TPAscanner.png

Onyesha doublestack wagon zikipimwa Mombasa port!

Onyesha
 
hamna mtambo wa scanner kama huu ndo maana doublestack haiwezekani! kingine mna axle load limit ya 25 tons agianst axle load of 35 tons for electrical SGR Tanzania!
2722635_TPAscanner.png

Onyesha doublestack wagon zikipimwa Mombasa port!

Onyesha

safi, wakifanya maboresho.. waboreshe na mazingira kidogo pia... mfano miti, majan au hata pavement
 
Msongamano kutoka na kuingia port au hujui maana yake ??? Hujiulizi kwann wanajeng maeneo ya port kwann sio maeneo mengine
Nani kakwambia hzo interchange ni za kuingilia port, we mzee baba kweli umerogwa..
 
Hahaha. Huyo ichoboy01 amechanganyikiwa. Yeye mwenyewe amesema kwamba Mombasa ina msongamano wa magari kwa sababu ya port kisha baadaye anabadili mawazo na kuitisha evidence ya msongamano.
Huenda ilikua anamaanisha msongamano wa watembea kw miguu..
Kweli tumekua tuone mengi
 
Back
Top Bottom