Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 ebu isome hii report
African financialsnaona sasa hampo serious walai
 
hio ni link ya website ambayo kuna report ya KQ imeattachiwa.. wew shabiki wa girl maria vip .. ingia kwenye hio link utaona annual report ya KQ.. ukishafungua wala usijiangaishe.. tafuta neno loans utaletewa kila kitu mnachodaiwa
Hyo ripoti ya KQ mbona usiilete kabisa kabisa kutoka kw wenyewe, au ulitafuta hakuna
 
Kwn mpk leo ulikuwa hujaamini tu mkuu, we huoni tukiongelea suala la kumiliki 3 chakavu huwa wanamuachia huyo mwanadada apambane
Mimi hiki siwezi lipuuza km wanavyowapuuza, mbona na mie kuna ishu nazipuuza na wengine bado wanachangia
Ile siku mtaleta link kutoka KQ mbona hii mada nitaachana nayo tu
 
Mimi hiki siwezi lipuuza km wanavyowapuuza, mbona na mie kuna ishu nazipuuza na wengine bado wanachangia
Ile siku mtaleta link kutoka KQ mbona hii mada nitaachana nayo tu
Ukweli uko hapa na wote mmeona.
wale wale yani
View attachment 1733707View attachment 1733708

somen paragraph ya kwanza mwishoni
the legal title is to be transferred to Kenya Airways Plc once the loans are fully repaid

kwa maneno haya tunathibitisha KQ inamiliki ndege 3 kihalali. full stop
View attachment 1733709

vip komora096 bado unabisha?

Tony254 any comment?
Case closed
 
Ina maana kutoka Nairobi kwenda kwa Moi hakuna barabara! Huwezi amini Saa hii ndo inajengwa!


Tony254
Yaani wajaribu tu kuangalia toka Dar mpaka saivi Geita, msiba kote ulipopita barabarani

Kitu wasichojua ni kwamba umaarufu mkubwa wa Magufuli kaupata kwenye ujenzi wa barabara Tanzania nzima, kwa hiyo kama tujuavyo hakuna kiongozi Kenya toka iwepo na kuendelea atakuja kufanana na Magufuli ndio hivyo hivyo Kenya haitokuja kufanana na Tanzania kwenye issue ya ubora wa barabara na upana wa mtandao wake.
 
Back
Top Bottom