Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Macharia ni waziri wa nn? Tena mbona katika post yake sijaona 17 za loan, we ulizitoa wapi..
Ananiuliza cs macharia ni waziri wa nn 🤣🤣🤣👇👇👇👇
62479DDB-F590-4670-B290-D46B5A1CB057.png
 
mim nikikupa gari langu ulitumie afu ukawa unalilipa kidogo kidogo, gari ni la kwako??
🤣🤣🤣🤣🤣 anajitia uchizi yani wanunuliwe ndege 20 na mabenki ya wazungu kwa interest kubwa alaf wamelipa tatu tu zile chakavu zilizobaki wameshindwa kulipa na bado hasara ya 36.6b ksh iko mezani
 
Nipe maana ya neno "owner" kwanza alafu uje umsaidie mwenzako
Tusema waio finance kununua ni serekali ya kenya au sio 🤣🤣🤣🤣🤣 ndio maana wakafkiria kusema fully paid ni 3 aircrafts
C6875574-FFAD-4A05-BF8B-B4636E7697F4.jpeg



Unaogopa aibu ya kuambia miaka 40 munamiliku ndege 3 🤣🤣🤣 who is cs macharia

E81A161D-D35B-4C28-91A0-BD181C4E3F37.jpeg
 
Cs wako mbona hakutwambia kuhusu hilo, hii umetoa wapi? Nioe link yake
So ushamjua cs macharia ni nani sasa 🤣🤣🤣🤣🤣 miaka 40 fully paid only 3 aircrafts alaf unashangaa kwanini loss iko mezani
 
Eti wanalipwa na pesa ya nani hahahha kasahau kua wanatumia pesa za taxpayers na kukopa loan kuwalipa hao wazungu 🤣🤣🤣
5792A076-DA33-4E73-BDAA-A8805CFDDC50.jpeg
 
Hahahhahaha nimecheka sana eti mtu anaogopa kuambiwa miaka 40 wanamiliki ndege tatu alaf wanatafuta mchawi wa loss 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Loss imefika mara tatu ya 2019 😀😀
 
Back
Top Bottom