Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo kinanani, hizi dharau za miaka ya 90 usiziendeleze tafadhali.
Sijamaanisha wote nasema waandishi si unaona millad ayo anavyotutia aibu alafu page yake inaaminiwa kwa habari tz na afrika mashariki kwa ujumla ndio aje haposti izo habari za uongo
 
Sijamaanisha wote nasema waandishi si unaona millad ayo anavyotutia aibu alafu page yake inaaminiwa kwa habari tz na afrika mashariki kwa ujumla ndio aje haposti izo habari za uongo
Wewe wacha ujinga. Waziri wenu mkuu ndio ameibuka na madai hayo. Sasa unamsingizia Millard Ayo kwa nini? Hata gazeti la Mwananchi online limeripoti maneno ya waziri mkuu
 
Umeanza kubadilisha kauli yako mwenyewe kwamba Mwanza haina interchange kwa sababu hamna magari ya kutosha?
Nimekwambia leta source inasema mombasa ina magari mengi kuliko mwanza kua na bandari hakumaanishi una gari nyingi kuliko
 
.
Screenshot_20210323-222801.jpg

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom