Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

only a low IQ fool ndo ataamini

that’s the number of viewers... nikiangalia wasafitv view yangu inahesabika.. nikienda ikulu mawasiliano view yangu inahesabika.. nikija hizo za kwenu view yangu inahesabika... but si wote wa kuhamahama hivyo.. the number is still big
 
Dah...asee we jamaa...barabara ya kimara kibaha Ina interchange nyingi kama wali kwa plate...hivyo si vitu vya kubrag kwetu kipindi hiki...nyie kujengea kitu Cha mwendokasi it's big stories wakati ss tumejenga mpaka tumechoka...
Kimara Kibaha iko Dar. Mimi nazungumza mambo ya Mwanza.
 
Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Naona unakubaliana na mimi kwamba barabara za Mombasa zipo busy kushinda za Mwanza na ndio maana sisi tunahitaji interchange kuondoa msongamano wa magari na nyinyi hamuhitaji interchange maana Mwanza haina magari mengi kama Mombasa.
 
Tatzo unaforce sana mambo
 
Huo ni uongo. Hata Olympics na World cup haiwezi kupata watazamaji 3 billion ndio itakuwa Muafrika aliyeaga. Unadhani Wazungu wanajali eti kuna rais wa African country aliyeaga? Wengi hata hawajui Tanzania iko upande gani wa dunia na hawataki kujua.
Wivu mpaka viewership ya mazishi ya JPM!! wewe kweli mchawi!! 🤣 🤣 ☝️
 
Huo ni uongo. Hata Olympics na World cup haiwezi kupata watazamaji 3 billion ndio itakuwa Muafrika aliyeaga. Unadhani Wazungu wanajali eti kuna rais wa African country aliyeaga? Wengi hata hawajui Tanzania iko upande gani wa dunia na hawataki kujua.
Magufuli is a special African, hakuna hata media moja duniani ambayo haijatangaza kuhusu kifo cha Magufuli

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Rugemila na sethi ?? Majizi walioitia tanesco kwenye madeni makubwa vipi umewasahau
Jaman naombeni tuache kumjibu huyu pimbi anayejiita Opportunity Cost kwani ni lay man kabisa aliyekariri upuuzi. Anadhani yeye anajua zaidi upinzani kuliko sisi wote humu. Kuendelea kumjibu huyu ni kupoteza muda na nguvu zetu. He knows little about this country economically, socially and politically.
 
Naona unakubaliana na mimi kwamba barabara za Mombasa zipo busy kushinda za Mwanza na ndio maana sisi tunahitaji interchange kuondoa msongamano wa magari na nyinyi hamuhitaji interchange maana Mwanza haina magari mengi kama Mombasa.
Ziko busy kwasababu ya bandari na kama sio bandari je?? Mombasa ilishakufa zamani ni bandari ndio kitu inapumulia mashine na bandari yenyewe ina milikuwa na watu unakuta mtu kama joho na family yake wanamuliki bearth kama 5 hapo mombasa alaf munasema kuna uchumi hapo😀😀😀
 
Hata kombe la dunia huwa halifiki 4 billion. Huwa linachezea 1 billion per day. 4 billion ni nusu ya dunia nzima.
Cc joto la jiwe Geza Ulole
Inasikitisha Majaliwa kuchezwa na hawa mafala wa Kenya
GI.PNG
 
Tatizo ni millard ayo kupost vitu bila kudhibitishaa au kuchunguza watu bilioni nne sio mchezo wewe 🤔
Ila Majaliwa ndo katangaza kabisa! Sijui yule baba kachanganyikiwa?

Hawa ndo chokoraa wa Global Intelligence hata picha zao zipo photoshopped!
134931732_911061886096723_8716198492088310798_o.jpg

75462365_613378499198398_5811178600749072384_o.jpg
 
Ila Majaliwa ndo katangaza kabisa! Sijui yule baba kachanganyikiwa?

Hawa ndo chokoraa wa GI hata picha ipo photoshopped!
134931732_911061886096723_8716198492088310798_o.jpg
Ndio Tatizo letu wabongo kuongozwa na mihemko ila majaliwa hakumaanisha ni alitaka tuu kutujulisha kuwa msiba huo unafuatiliwa kwa karibu na mataifa ya njee ofcoz wasaidizi wake hawawez kuwa vilaza kiasi icho
 
Ziko busy kwasababu ya bandari na kama sio bandari je?? Mombasa ilishakufa zamani ni bandari ndio kitu inapumulia mashine na bandari yenyewe ina milikuwa na watu unakuta mtu kama joho na family yake wanamuliki bearth kama 5 hapo mombasa alaf munasema kuna uchumi hapo😀😀😀
Berth zote za Mombasa port zinamilikiwa na serikali ya Kenya. Halafu ni vizuri umekubali kwamba Mombasa ina magari mengi kushinda Mwanza. Trubarg natumai umesikia wewe mwenyewe kwamba Mombasa ipo busy kushinda Mwanza.
 
Back
Top Bottom