ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unaeza niletea evidence kwamba mombasa ina magari mengi kuliko mwanza ukipata nitag🤣🤣🤣Berth zote za Mombasa port zinamilikiwa na serikali ya Kenya. Halafu ni vizuri umekubali kwamba Mombasa ina magari mengi kushinda Mwanza. Trubarg natumai umesikia wewe mwenyewe kwamba Mombasa ipo busy kushinda Mwanza.


