Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CC: Tony254

sasa huyu Mh mbona haachi kukopa? Au anafanya lip service? I hear he was the best student in History!


He is paying lip-service. Huyu jamaa ameharibu Kenya by over borrowing. Amefanya vizuri kujenga barabara kila mahali lakini pia ameongeza deni la taifa by more than double in just 8 years. Legacy yake itakuwa mixed. Watu watamkashifu kwa kuongeza deni la taifa zaidi ya mara dufu lakini pia watampongeza kwa kujenga miundombinu. Amejenga SGR Mombasa hadi Naivasha, Nairobi expressway, Nairobi Western bypass, Mombasa Dongo Kundu bypass, Outering road Nairobi, Southern bypass Nairobi e.t.c
 
Kwn loss ni ya watu wa leased pekeake? Tena unajiskia kweli we mwarabu koko
Kwan hujui kama moja ya sababu ya loss kq ni leased aircraft au munatafuta mchawi wakat munae hapo nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
20 tuli lease wapi na hzo 17 tulichukua loan wapi na ni mwaka gani
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 waziri wenu wa uchukuzi sio mm


Mumelipa 3 bado 17 loan na 20 ni leased
69D66A2B-04D0-4402-9AE3-C3A7F335DBB3.jpeg
 
Kwani mulishawah kuiona 😁😁😁 mwenzako yuko wapi aliewadanganya tanzania ina chopper 6 wakat zimeonekana 2 kama hzo wakat hazikuwah kuonekana before
Siku moja tuliwaambia humu TANZANIA ni nchi ya siri Sana kwenye maswala ya ulinzi,wakatuletea habari za google,Sasa WAJUE Sisi tuna ndege ambazo hawana!
 
Siku moja tuliwaambia humu TANZANIA ni nchi ya siri Sana kwenye maswala ya ulinzi,wakatuletea habari za google,Sasa WAJUE Sisi tuna ndege ambazo hawana!
So what? Hata sisi tuna ndege aina nyingi ambazo nyinyi hamna.
 
Hawa wauza madawa za kulevya kutoka Colombia wamepatikana wakitumia submarine kusafirisha mizigo yao. Aiseeh hawa ni hatari sana

 
He is paying lip-service. Huyu jamaa ameharibu Kenya by over borrowing. Amefanya vizuri kujenga barabara kila mahali lakini pia ameongeza deni la taifa by more than double in just 8 years. Lagacy yake itakuwa mixed. Watu watamkashifu kwa kuongeza deni la taifa zaidi ya mara dufu lakini pia watampongeza kwa kujenga miundombinu. Amejenga SGR Mombasa hadi Naivasha, Nairobi expressway, Nairobi Western bypass, Mombasa Dongo Kundu bypass, Outering road Nairobi, Southern bypass Nairobi e.t.c

Museveni: Tanzania and Uganda were supposed to sign oil pipeline deal on March 22​



MONDAY MARCH 22 2021​

museven pic

President Museveni (left) listens as Tanzanian President John Pombe Magufuli (right) gestures during the signing of the key agreement on oil pipeline last year. PHOTO | COURTESY

Summary

  • “Two weeks ago, I wrote to Magufuli about the oil pipeline. Today, March 22, was supposed to be the signing day for the tripartite between Uganda, Tanzania, and Total – the signing was supposed to take place in Entebbe,” said Museveni.


Mpoki pic

By Mpoki Thomson
More by this Author

Uganda’s President Yoweri Museveni has today March 22, revealed that he had sent a letter to his Tanzanian counterpart, which would have seen the two Heads of State seal the crude oil pipeline deal.

He said this at a small gathering of Ugandan government leaders in Kampala to pay their respects to the late Tanzanian President John Magufuli.

Museveni expressed his sadness saying that instead of signing the deal, he was signing a condolence book following the death of Tanzania’s President John Magufuli.

“Two weeks ago, I wrote to Magufuli about the oil pipeline. Today, March 22, was supposed to be the signing day for the tripartite between Uganda, Tanzania, and Total – the signing was supposed to take place in Entebbe,” said Museveni.

He further added that in the letter, he had [jokingly] written that today would be a double victory day, referencing a historical moment on a similar day in 1979 when the Tanzanian and Ugandan army joined forces to defeat Iddi Amin.

“About 42 years ago, on March 21, the Tanzanian army, together with Ugandan freedom fighters – with me present, defeated the army of Iddi Amin in the counter attack against the town of Mbarara at a place called Rukando – 12 miles from Mbarara on the Kabaale road. So, I joked that today would be a double victory; one for our military but also for our economy,” he said, adding that the fact that he is instead signing a condolence book was so sad and unexpected.

The oil pipeline is intended to transport crude oil from Uganda’s oil fields in Hoima to the Port of Tanga, Tanzania on the shores of the Indian Ocean.

Once completed, the pipeline will be the longest heated crude oil pipeline in the world.

 
Back
Top Bottom