Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
Hilo quality liko juu. Wacha mchezo.Aisee quality ni neno lisilo-exist huko Kenya!
Kaka wacha maneno mengi yasitokua na maana yoyote, taja kitendo (activities), ambacho kikifanyika ndio kinaleta ustawi wa watu, activities ni kama, kujenga Hospitali, kujenga reli, kupunguza kodi kwa wakulima, kuongeza uzalishaji wa chakula.......Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.
Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.
Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk
Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.
Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?
Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema
Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.
wacha ujinga angalia yale matofali ya flyover yamepigwa plaster lakini yanaonekana upumbavu wachina wanawafanyia mafalamanga toka Kenya!Hilo quality liko juu. Wacha mchezo.
Wamepiga tofali then wakapiga rangi..ata plasta imewashindawacha ujinga angalia yale matofali ya flyover yamepigwa plaster lakini yanaonekana upumbavu wachina wanawafanyia mafalamanga toka Kenya!
Wewe una matatizo mkuu sio bure, unasema Magufuli ndiye aliyezuia pension hadi mtu afikishe miaka 60, hukumbuki Magufuli alipoingilia suala la kikokoteo na kuifuta sheria iliyolazimisha mtu kutopata pension hadi afikishe miaka 60, na alikua anahutubia taifa baadae akamtumbua yule mama aliyekua mkurugenzi wa mifuko ya Pension?, mkuu wacha kujiabisha kwa kuandika maneno mengi, hujui kitu.Jambo kubwa kabisa ni freedom of expression,economic freedom na kuboresha mazingira ya watu kujiajiri.
Ni lini uliwahi kusikia graduate wa Tzn kwenye utawala huu anatamani kujiajiri badala ya kuajiriwa? Lakini kipindi cha JK watu waliacha Utumishi wa umma Ili wajiajiri maana mazingira yalikuwa rafiki na watu walikuwa na purchasing power.
Huyo bwana kawafukarisha Sana wanyonge hasa wanaotegemea kilimo kwa sera zake za uhasama na majirani.Kesi ya korisho,mahindi,mbaazi,ufuta nk nk
Huyo bwana aliharibu Sana mfumo wa ajira za mkataba, yaani kama wewe ni skilled personel ukiachishwa Kazi you won't get your pension hadi ufikishe 60 years sasa hii ni nini? Ukistaafu unakaa miaka sio 2 ndio upate pension kwa watumishi wa umma.
Hao wanaojiita wanyonge ni ngumu Sana kuwaelewa kwamba maisha yao yalikuwa mazuri kipindi hiki au furaha yao ni kuitwa wanyonge na kuwakomoa Matajiri?
Kauli ya nimesacrifice maisha kwa ajili ya wanyonge, technically iliwafariji but practically haikuwasaidia popote kwenye kuwatoa kwenye umaskini na kuwapa hali njema
Kwa hiyo hao wanyonge wanachokieleza zaidi ni kuruhusiwa kufanya biashara hovyo na popote na bila utaratibu, biashara zenyewe ndio hizo za umachinga za kula na kunywa na kununua vitambulisho sijui kama kuna kingine.
Ni kawaida mwenyekiti wa CCM kupendekeza mrithi wake, hata Nyerere akipendekeza Kikwete awe Rais na japo Nyerere alikua tayari kafariki lakini CCM waliheshimu mapendekezo yakewacheni speculations kumbukeni video kama hizo zinaweza pia kumuharibia kama alijiingiza kwenye ku-suggest nani achaguliwe 2025! Kumbukeni yule ni binadamu na not necessarily alikuwa perfect!
BTW kama mmegundua kumekuwa na picha nyingi za mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi zikishukuru solidarity kati yao!
Na hatujui nini kimetokea nyuma ya pazia inawezekana kumekuwa na nguvu kinzani kwenye mrithi wa JPM! na inakaa jamaa wakasimama na katiba! msitake kuibua madudu!
NamshangaaSio jambo la kawaida kuruka sections kwenye ujenzi wa reli.
Kwani Magufuli anaweza kufuta sheria ya nchi? Kwani rais huko kwenu ni Mungu?Wewe una matatizo mkuu sio bure, unasema Magufuli ndiye aliyezuia pension hadi mtu afikishe miaka 60, hukumbuki Magufuli alipoingilia suala la kikokoteo na kuifuta sheria iliyolazimisha mtu kutopata pension hadi afikishe miaka 60, na alikua anahutubia taifa baadae akamtumbua yule mama aliyekua mkurugenzi wa mifuko ya Pension?, mkuu wacha kujiabisha kwa kuandika maneno mengi, hujui kitu.
wacha ujinga angalia yale matofali ya flyover yamepigwa plaster lakini yanaonekana upumbavu wachina wanawafanyia mafalamanga toka Kenya!
Bora barabara za second biggest city yetu ni kali zaidi kushinda utopolo wa second biggest city yenu.Wamepiga tofali then wakapiga rangi..ata plasta imewashinda
Umetumia reference gani mkuu...Bora barabara za second biggest city yetu ni kali zaidi kushinda utopolo wa second biggest city yenu.
Mombasa ina interchanges kadhaa zinazojengwa. Nionyeshe interchanges mbili tu zinazojengwa katika utopolo wenu.Umetumia reference gani mkuu...
Dah...asee we jamaa...barabara ya kimara kibaha Ina interchange nyingi kama wali kwa plate...hivyo si vitu vya kubrag kwetu kipindi hiki...nyie kujengea kitu Cha mwendokasi it's big stories wakati ss tumejenga mpaka tumechoka...Mombasa ina interchanges kadhaa zinazojengwa. Nionyeshe interchanges mbili tu zinazojengwa katika utopolo wenu.
Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??Mombasa ina interchanges kadhaa zinazojengwa. Nionyeshe interchanges mbili tu zinazojengwa katika utopolo wenu.
Wenyewe waangalia quantity tu...ndo maana wanapigwa kila siku...Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Rais ndiye mkuu wa serikali, serikali ndiyo inayopeleka mapendekezo ya kurekebisha sheria bungeni, ndicho alichofanya Magufuli baada ya wabunge wa upinzani kuipigia kelele hiyo sheria, wabunge wa CCM walikua wanakataa hiyo sheria kufutwa, lakini Magufuli aliingilia kati hatimae wabunge wa CCM walikubali na ikafutwa.Kwani Magufuli anaweza kufuta sheria ya nchi? Kwani rais huko kwenu ni Mungu?