Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko busy kwasababu ya bandari na kama sio bandari je?? Mombasa ilishakufa zamani ni bandari ndio kitu inapumulia mashine na bandari yenyewe ina milikuwa na watu unakuta mtu kama joho na family yake wanamuliki bearth kama 5 hapo mombasa alaf munasema kuna uchumi hapo
Kumiliki kwao kumepunguza nini kwa wale ambao hawamiliki na bado hyo interchange kwao ni mhimu pia
 
We jamaa unajitia ujuaji lkn kichwani mweupe sana..
Haya tueleze ni berth zipi hzo wanazomiliki
Watu wamejimilikisha wakiwemo kina joho wanatafuna pesa za bandari alaf munataka kudanganya nn 😂😂😂😂
 
Enhee!!mbona hujaleta za loans, leo umeingia cha kike jomba..
Naona mtu akianza kunengua sasa hivi
👇👇👇👇👇 sijaleta nn 😄😄😄
Fully paid 3 and 17 loan miaka 40 ya shirika alaf munahangaika kutafuta mchawi wa loss
32AEB4D8-EA9B-4167-88F6-678A352E795E.jpeg
 
Owner KQ, hapo ndipo hupataki sasa..
Nasubiria link jomba..
Haiwezekani shirika lipate hasara na wakati kuna madeni ya watu huku walal hawaitishi ndege zao
Yani ni simple and clear 20 leased 17 loan through foreign banks and 3 fully paid
Haitaki hata ramli 😄😄😄

sasa swali linakuja vipi zile 17 aircrafts ambazo ni loan mutalipa wakat shirika linahemea kwenyw makalio
BE39A3DE-F247-4AEF-9923-056C39D692C8.jpeg
C9F92156-9317-48D9-A11F-BCD09E92C3DD.jpeg
 
Owner KQ, hapo ndipo hupataki sasa..
Nasubiria link jomba..
Haiwezekani shirika lipate hasara na wakati kuna madeni ya watu huku walal hawaitishi ndege zao
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇 mutarudisha vipi wakat kuna mikono ya wakubwa ndio wanapokula hapo wakicheza mchezo na wenye ndege



9DE41E30-7778-451D-AFE1-FD2F5DD743A5.jpeg
7B629623-98A6-4790-9910-3A367EACF834.jpeg
 
Owner KQ, hapo ndipo hupataki sasa..
Nasubiria link jomba..
Haiwezekani shirika lipate hasara na wakati kuna madeni ya watu huku walal hawaitishi ndege zao
Wewe fala kweli wenye ndege zao lazima walipwe ndio hio loss tunayozungumzia hapa munatumia pesa za tax payers kulipa ndege zao huku hali ya kampuni inahemea makalio👇👇👇👇😂😂😂
Watu wamekaa ulaya wanakula kuku kwa mrija kupitia kodi za walala hoi
5DCA696A-4104-4B38-BD45-AD10BB224A73.jpeg
012FDBE4-6235-4CF5-8A3B-A29A33E97E5E.jpeg
 
Back
Top Bottom