Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Green park terminus
Magu alikua na personal hate towards kenya hio si kitu cha kupingana, kile hakujua ni kwamba kenya and tanzania is bigger than him.hakuna Rais mwenye chuki na Kenya ila tu wabongo hatuchezi na kima ukileta ujuaji tunakuzingua
Lazima ziwe baseless maana naongea usichopenda kusikia
Tazama kwa angle hiyo hiyo
Karata zinamkataa Ummy kwa sababu nafasi za juu zina waislam wengi kwa sasa so mama atataka kubalance.Nani Ummy? (Maana naona km yupo moyoni kwa mama) ila haiwezekani kaka.
Kunyaland uchaguzi wao mwakani,kampeni wameanza mwaka huu,wana uchu wa madaraka sana!Bwana Mapesa Tz ina system so haiwezi kuyumba hata cku moja, nadhani umejionea mwenyewe kwamba The giant Magu ametutoka lkn hakuna aliyehoji kwamba nani atakaimu kiti chake na wala hakukuwa na matata yn kwamba slightly mwenye haki kachukua nchi pasipo kuhoji ni mwanamke au mwanaume, zen zinapotoka takwimu kwamba Tz leads in EA in democracy index muwe mnaelewa.
Will you live forever Mr.clever??Ignorance kills. The grandson of Kinjeketile Ngwale is no more because.
Kama magu angekuwa amefariki kwa covid basi hapa tungeona mask kila mmoja kavaa..Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TanzaniaView attachment 1729291View attachment 1729292View attachment 1729293View attachment 1729294View attachment 1729295View attachment 1729296
Keshakula ban, huyu mdomo huwa unamponza, ana mdomo mchafu kuliko uchafu wenyewe![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 1729629![]()
Halafu unajua January Makamba na Kikwete hawajatoa pole ya kupotelewa na JPM!
Kama magu angekuwa amefariki kwa covid basi hapa tungeona mask kila mmoja kavaa..
Peleka iyo emty skull kwa nyanya yako waifundishe upyaMagu alikua na personal hate towards kenya hio si kitu cha kupingana, kile hakujua ni kwamba kenya and tanzania is bigger than him.
Mtaka ni VP mzuri akipewa nafasiNahisi tunaweza kuwa na VP au Waziri Mkuu mwanamke.
Tanzania hatujawahi kua marafiki na Kenya toka Dunia imeumbwa, msilazimishe hilo sababu halipo na wala halitowahi kuwaMagu alikua na personal hate towards kenya hio si kitu cha kupingana, kile hakujua ni kwamba kenya and tanzania is bigger than him.
migiro asharoseNani Ummy? (Maana naona km yupo moyoni kwa mama) ila haiwezekani kaka.
Genge la wahutu sio TISS ,najua wajua kwamba as per Katiba anatakiwa ateue pm mpya na Serikali mpya Ili wote waape kiapo cha utii kwa RaisTISS ikiwa imekufa labda