Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama watz wenyeww wanaropoka hivyo itakuaaje mashirika kama cnn na BBC uko daah yani upinzani tz hamna chochote
Pole kwamba hujui marehemu ndio kafikisha huko,utavuna ulichopanda unalilia sifa njema wakati ulipanda majanga?

Mama kaapa huko tulia arekebishe mambo
 
Unataka kuketa chuki sasa..
Kwn mpka a post jamani
Achana wa wajinga hao,huku wanalazimisha mtu wao apendwe kwa nguvu na huku wao wanaleta chuki kwa wasiowakubali,hii ndio jadi ya unafiki wa mataga

Ndio maana mm nafurahi Sana yanavyolialia hayo manafiki
 
Mama wasimpe uenyekiti wa ccm taifa.. wasubiri Kwanza mpaka 2023

Kama atazingua 2025 asirudi
Endea kuota mkuu ,your wishful thinking will never happen aapishwe kuwa Rais afu asiwe chairwoman?

Tuna imani na mama na waislamu sio wale wagalatia kila enzi ni majanga
 
Natabiri yafuatayo;
1.Upigaji wa madini hasa kule mererani
2.Kurudi kwa cartels za ccm,madawa ya kulevya,ufisadi Kama wa Escrow nk.
3.Tanzania kurudi kuwa Shamba la bibi.
4.Mikataba ya ufisadi.
5.Siri za serikali kuvuja.
6.Ya kibiti kujirudi.
7.Lissu kusumbua.
8.wananchi wa chini kutosikilizwa na viongozi.
9.Uzembe kujirudia kwa watumishi
10.Viongozi waliokuwa chini wa JPM kuandamwa.
Mi namuogopa sana mkwere na lile genge lake,yule jamaa si mtu mzuri kabisa
 
katikat ya Mama Samia na Majaliwa .. VP.. awepo mtu mkali.. huyu mama ana mamlaka lkn ni mpole sana ‍♂️.. otherwise kuna watu watamchukulia poa kufanya madudu yao
 
You do this to me, ill spit on your grave.
13278097_eww5zawgac3bxu_jfif_jpeg3871aa6248fbfc706feeaf5ca3d8d494.jpeg
 
samia haendi kubeba mawe ad muanze kua na waswas na nguvu zake samia anakwenda kuongoza kwa mujubu wa sheria katiba na taratibu mbalimbali so akifata hivyo vitu hapo juu hakuna kitachoharibika na nikimuona samia namuona Thatcher huyu apa mtanambia wenyewe baada ya muda!!
taifa asaivi lipo high alert ulinzi ni imara like never before wale maadui wa ndani na nje najua mtataka kumtikisa mama


we si upo kwa ajili ya mtu flani myb ila niwakumbushe kunawatu wapo kwa ajili ya tanzania yani wamekunywa maji ya bendera asa nyie rukenieukeni mkalie msumari

by the way leo nmelia sana mazee 😭😭😭#RIP ancle magu
 
katikat ya Mama Samia na Majaliwa .. VP.. awepo mtu mkali.. huyu mama ana mamlaka lkn ni mpole sana .. otherwise kuna watu watamchukulia poa kufanya madudu yao
Wewe kwa akili yako finyu unaweza weka VP wa kuku outshine? Pole Sana subiri maumivu yaishe ndio uje kutoa comment
 
Back
Top Bottom