Wapinzani wa kiafrika ni wanafki sn, kwa mfano mpk leo sijajua sababu za kumchukia Magufuli, ukiangalia kwa undani utagundua ni kwasababu kawabana ktk mkate wao wa kila siku, na co aliwabana bali alitaka wapate mkate wao kwa haki kwamba wahudumie wananchi ipasavyo ndipo wapate mkate wao, wengi wa opposition leaders ni wafanya biashara haramu hivyo ujio wa Magu ulivuruga deals zao na ndiyo maana wanakesha wakihubiri kwamba Magu hatakiwi na wananchi wengi kitu ambacho si kweli kabisa, bali Magu hakutakiwa na wazandiki, wala rushwa, na washenzi.
Wananchi walio wengi wameumizwa na kifo chake na ukitaka kuamini subiri uone maziko yake yatakavyokuwa, mm nipo mtaani mamia ya watanzania wameumia sana na mpk wengine wamefikia hatua ya kukata tamaa kabisa.