Nawashuru mods kwa hill.Keshakula ban, huyu mdomo huwa unamponza, ana mdomo mchafu kuliko uchafu wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1729629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliniuzi mpaka nikatukana tusi amballo nalitoa kama siku ya sikukuuNawashuru mods kwa hill.
Wameanza kumbweraaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Wameanza tena wapinzani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116] mm niliwaambia huyu mama atakua tight zaidi ya mzee tulieni muone game sasa
hakuna taifa la ajabu kama kenya[emoji23][emoji23].. wana mambo yanayowahasibu ila wanachagua kufatilia yetu..
- nimeona wanalalamika kwann tunamuita mama samia badala ya rais samia
- wao ndo wamepost picha nying ya mama samia leo kuliko watanzania
- sisi rais wao akiapichwa, ni media tu ndo zitareport lkn sio raia.. ila wao sasa, both media na raia wanamuongelea rais wetu
hizo zote ni zake bwana mapesa mingi ndani ya dunia hakuna chezea huyo mungiki[emoji1787][emoji1787]Bwana Mapesa naona unatumia msiba wa Magu kurudi kundini, karibu sana Bwana mapesa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1729324
daah nimachungu kwa kweli hata mama imemuuma alishazoea kumuona mumewe akiwa na mama samia kwenye harakati za kitaifa sasa kamuona yupo peke yakeUmefanya vyema rais mpya kumpa pole mjane[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 1729326View attachment 1729327
a.k.a YMCMB[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tajiri bilionea . Cash money gang
anajiita Birdman a.k.a young tozy[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]Bwana Mapesa bhn [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]
Harudi tena, alitaka kutumia kifo cha mpendwa wetu km chance ya kutusahaulisha uharo aliotoa, anadhani tumesahau, na hata akirudi mwendo ni ule ule mpk abadili ID na hata akibadili tutamtrace tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anajiita Birdman a.k.a young tozy[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Nani Ummy? (Maana naona km yupo moyoni kwa mama) ila haiwezekani kaka.Nahisi tunaweza kuwa na VP au Waziri Mkuu mwanamke.
Mr mapesa fake [emoji849][emoji849]Teargass jina lako kwa ss ni Bwana Mapesa, popote nitakapokuona nitakuita kwa jina hili utake usitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]