President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Sisi ni wamoja. Tutapambania nchi yetu mpaka tone la mwisho. Askari mmoja akianguka tunasonga mbele.The only way to stop us now is to kill all of us.
Hamna kurudi nyuma
Sisi ni wamoja. Tutapambania nchi yetu mpaka tone la mwisho. Askari mmoja akianguka tunasonga mbele.The only way to stop us now is to kill all of us.
Hamna kurudi nyuma
Taveta esidents mourning JPM
South Africa is the most unequal country in the world. Whites wana kila kitu blacks hawana lolote. Sijui watu wanaisifu kwa nini.
Alafu inafuatiwa na Kenya wakenya wengi wanakosa hata chakula wachache wanakula mema ya nchiSouth Africa is the most unequal country in the world. Whites wana kila kitu blacks hawana lolote. Sijui watu wanaisifu kwa nini.
😆😆😆Ati kabila gani!? yaani Hawa jamaa hawataelimika karne mia zijazo
South Africa is the most unequal country in the world. Whites wana kila kitu blacks hawana lolote. Sijui watu wanaisifu kwa nini.
Hahaha. Ni kweli ukabila umetushinda sisi Wakenya.
polen kwa kuangukiwa na ndege
Kwa mawazo yako haya ya kipumbavu unafikiri Tanzania haiwezi kununua ndege!?Nyinyi ndege huwa hazianguki kwa sababu hamna ndege. Huwa mnakuja Kenya kukodisha ndege ili kufanya campaign zenu za kisiasa. Uganda vivyo hivyo wanakuja huku kukodisha ndege.
Mbona SA hazianguki?Nyinyi ndege huwa hazianguki kwa sababu hamna ndege. Huwa mnakuja Kenya kukodisha ndege ili kufanya campaign zenu za kisiasa. Uganda vivyo hivyo wanakuja huku kukodisha ndege.
Dar hakuna slum, dar yote
Naona kina kitu unakiwaza kama mimi ingawa nimeuchuna nasubiri.Hapana mzee,kuna jambo linaendelea katika hii nchi,sio bure huu ni mkakati uliosukwa kwa lengo maalum...tutaona huko mbele,kwanza tutaanza kuangalia baraza la mawaziri atakaloliunda mh