The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hehehehee Bwana Mapesa naona nimekupiga panapoumaAsante kwa kuongea ukweli.








Hehehehee Bwana Mapesa naona nimekupiga panapoumaAsante kwa kuongea ukweli.








Umesema mwenyewe kuwa Konyagi was a dumb president and you have also said that you lag EA in democracy.Hehehehee Bwana Mapesa naona nimekupiga panapouma![]()






Huyu jamaa hajui kua masihara Tanzania ni jambo la kawaida . Tutamkera hadi akome. Tanzania everywhere unaweza kuta watu wanaongea na kutaniana kama wanajuana kumbe ndio mara ya kwanza kukutana. Utu ni linalothaminiwa sana. Angalia ile clip ya mama samia anafungua baraza la mawaza wamekosea wamempa kalamu nyeusi . Kaomba very polite "naomba kalamu nyekundu " kutumia neno naomba nyang'au wanaona ni utumwa. Utu unathamani ndio silaha ya kwa inayoilinda Tanzania. Huyo boss mahela tutamkosesha raha hadi akimbie tenawe jamaa tupo kwenye majonzi..
nimecheka sana walah mpk nimeulizwa vip tena mbona unafurahi
Kaka katika kitu nilichokuwa najiuliza ni vipi mbeligiji apate information, mpaka nikahisi labda walinzi wake, mpaka nimehisi labda ni inside job.Kaka umeongea jambo la msingi sana, kitambo, team ya kamandamkuu walilijua hilo laweza kutokea ndio maana ktk misafara yake yote utaona lile gari kama double cab lenye signal jammers juu.
Unfortunately, they waited until akiwa kwenye mazingira yaku relaz nyumbani/ofisini ndio wakafanya huo unyama wao.
Nafikiri utakumbua mwezi uliopita kuna meli kubwa mbili za jeshi la nchi fulani kubwa tuliambiwa hapa jamvini kuwa zimetia nanga ktk mchi jirani, na tukaambiwa kuwa hatua hio ni kuhakikisha ulinzi wa nchi hio jirani, i dont know from which kind of threats!
Inaonenkana kabisa meli hizo mbili zinahusika na unyama huo kwa kutuma high-frequency interfering signal s kwenye kifaa cha kusaidia mapigo ya moyo wa kamanda mkuu. Huu unyama weten ulipangwa uitambo, Indio maana yule mkimbizi wa Ubelgiji alikuwa najua tayari nini kitatokea akaanza kuropoka mitandaoni, aisee wala asijaribu kutia mguu tena bongo, ni Kazila atueleze ni nani walifadhili tuo unyama.......
........
....
Yani unapata wapi ujasiri wa Ku comment baada ya ile sakata kweli Mikenya hainaga haya alafu issue ya kufa mbona watu wanakufa kila siku shame on you 🙄🙄Mtaendelea tu kufa Kama mende. She is next on line asipojichunga.
TISS ikiwa imekufa labdaIla genge la Chato ndio zuri kwako? Imeisha hiyoo JK ndio baba mshauri kwa sasa, swallow this.







Yani ukisikiliza sauti za wapinzani unaona kabisa wanatumiwa.Wameanza tena wapinzanimm niliwaambia huyu mama atakua tight zaidi ya mzee tulieni muone game sasa
Yani tanzania ina wapinzani wapumbavu kuliko maelezo 😀😀😀😀Yani ukisikiliza sauti za wapinzani unaona kabisa wanatumiwa.