LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,511
- 3,921
Katika marais wastaafu ninao waheshimu ni watatu tu, Nyerere (RIP), Mzee Mwinyi na Mkapa (RIP). Kikwete ni mnafiki na ana roho mbaya sana japo huwa anajichekesha chekesha lakini ana roho ya kwanini kwelikweli na hana msimamo! Kwangu binafsi hajawahi na hatawahi kuwa mojwawpo ya marais bora hapa Tanzania!Halafu unajua January Makamba na Kikwete hawajatoa pole ya kupotelewa na JPM!
♂️.. otherwise kuna watu watamchukulia poa kufanya madudu yao

