Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aah wewe siunajua historia ya hawa viumbe wa ccm alichokua anafanya magufuli ni mawazo ya nyerere sasa je hawa wataendeleza au ndo walewale ya akina mwinyi na mkapa
tatizo la CCM wengi ni vilaza wapo kimaslahi binafsi na unafki mwingi,,,,ndiyo maana hayati JPM alipata tabu sana ya kutumbua tumbua wengi wanafanya kazi mpaka wasukumwe sukumwe....

ccm bado ni jipu ina mizizi mingi mibovu sana,sema JPM ndiye aliyekuwa anabeba chama kwasababu ya utendaji wake mzuri kwenye usimamizi
 
pitieni hii tweet kwa kuangalia comments na watu walioquote.. automatically watu wanampinga kwa kuleta udini. This is Tanzania
 
Mipango ya Magu ni mikubwa! Ujue ana lots 2 kwenda Mwanza then ujiji-Msongati then Isaka-Kigali then Mtwara-Mbamba bay then LNG then ujenzi wa jiji la Dodoma! Akae mbali na "les Affaires" Kikwete maana soon tutaona Ridhiwani Waziri mara wakina Makamba wakina Nape! Wote wana ambitions za higher office na si watendaji bali wazee wa makundi!
Sisi hatutaki kuwa maskini tena Ili ujenge daraja hata kama linasaidia watu 6 na kuacha 2,000

Bila shaka Marais waislamu hawajawahi kutuangusha kwenye welfare economy

Mnaotegemea kukunja ndita na kufokeana tupisheni kidogo ,even those miradi itafanyika but not kwa pupa huku watu wanazidi kuwa maskini,mama will never take this approach na kamwe asijeanza kuongoza kwa kivuli cha Magu atayumbishwa Sana na mataga wasaka njaa na sie wapinzani tutamnanga hadi aone kiti chamoto.

So mama kama product ya JK na mwanadiplomasia mzuri na ambae sio mshamba wa madaraka bila shaka atavuta wawekezaji na pesa zitakuja na miradi itafanyika bila maumivu kwa watu.

Wachawi wa Tzn ni maccm hayo hayo yanayojitia yenye uzalendo, tayari kuna kadhia ya kuiba pesa BOT ati za kuifariji familia.

Mataga wote wa humu poleni Sana na mimi nimtakie mama kila la kheri maana kesho anapewa rungu rasmi.
 
Haha!!best achana na haya mambo kwanza jamani, uamuzi wa kutokua wao huaga mgumu sana huenda ukapandikiziwa hata sumu..
M nina wasi wasi sana kuhusu mzee wenu, kuna kakitu nakashuku lkn acha nikae kimya tu
Dunia sio yako ,hapa Duniani lazima ujifunze mambo ya utawala na usalama,mama amejifunza anajua.

Hapa Duniani ni tunang'ata na kupuliza hapo utaenda sawa na Dunia kinyume na hapo utaishi siku chache Sana.

Nyerere alisurvive kwenye kipindi kigumu wakati wenzie wote walifariki ,hujiulizi kwa nini? Kula na kipofu,kazi ya Urais ni nyepesi Sana ukijua utawala wa Dunia unavyokwenda
 
Current Tanzania opposion have no quality of leading a country.CCM will lead this country for the next 100 years unless we have to be lucky to have best opposion party.lisu na co have no quality of leading this great country.
Wapinzani wa kiafrika ni wanafki sn, kwa mfano mpk leo sijajua sababu za kumchukia Magufuli, ukiangalia kwa undani utagundua ni kwasababu kawabana ktk mkate wao wa kila siku, na co aliwabana bali alitaka wapate mkate wao kwa haki kwamba wahudumie wananchi ipasavyo ndipo wapate mkate wao, wengi wa opposition leaders ni wafanya biashara haramu hivyo ujio wa Magu ulivuruga deals zao na ndiyo maana wanakesha wakihubiri kwamba Magu hatakiwi na wananchi wengi kitu ambacho si kweli kabisa, bali Magu hakutakiwa na wazandiki, wala rushwa, na washenzi.

Wananchi walio wengi wameumizwa na kifo chake na ukitaka kuamini subiri uone maziko yake yatakavyokuwa, mm nipo mtaani mamia ya watanzania wameumia sana na mpk wengine wamefikia hatua ya kukata tamaa kabisa.
 
Uki connect dots unapata line, wale wa karibu yake wengi walianza kupotea, la kesho huwezi kulijua ila tungejua mzee asingelitoka Chato hata hao wakuu waliokuwa wanaenda kule ilipaswa wasikutane naye kirahisi rahisi, kifo ni haki yetu wanadamu lkn mbn wamekufa kwa kufuatana vile? Mnasema covid, hyo covid inaandama viongozi tu? Mbn raia huku shwr tu, hizi siasa za Afrika ni ngumu sana na kwakweli sidhani kama itawezekana Afrika kufaulu mana unafki umekuwa mwingi.
Pole Sana taga mkuu wa humu unaeongozwa kwa mihemuko

Ni muhimu sana kujifunza siasa za dunia,deep state na utawala wa umma

Bila shaka umeelewa.R I P mr president
 
Majaliwa apandishwe daraja awe VP
Technically VP post ni ceremonial na akipandishwa ni bora kwa Mama kuliko kumuacha kule aunde genge la Urais na kuwa kikwazo kwa policy transformation zake

Mama tafuta PM wako awe mkuu wa shughuli za serikali na kamwe usiongoze kwa kivuli cha Magu ,jiamini deliver tunu zako alizokupa Mungu ,Magu is gone na mfano mzuri wa kuchukua kwa Magu ni kusimamia utendaji mzuri nothing else.
 
Technically VP post ni ceremonial na akipandishwa ni bora kwa Mama kuliko kumuacha kule aunde genge la Urais na kuwa kikwazo kwa policy transformation zake

Mama tafuta PM wako awe mkuu wa shughuli za serikali na kamwe usiongoze kwa kivuli cha Magu ,jiamini deliver tunu zako alizokupa Mungu ,Magu is gone na mfano mzuri wa kuchukua kwa Magu ni kusimamia utendaji mzuri nothing else.
Fala wewe c ulisema Magu hafai kwa chochote ss iweje uanze kutaja mazuri yake, kuwa makini la sivyo leo either mm au ww au wote tutakula ban, wewe una IDs nyingi mm cna ID nyingine so nitapotezea haina shida.
 
Huko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?

Wake up African man don't play the foolish we are in war.
Amna wale si ni rafiki zenu sio mabeberu au? Mlipompora mchina reli na bandari mlitegemea nini?

Msimsingizie mama kutoka Ethiopia maana wanasaidia hata kujenga bwawa
 
The best 007 naomba utazame hii video ya CNN kisha unipe maoni yako. CNN ni washenzi sana. Wanasema kwamba amekufa kwa covid 19. Halafu kuna Mwanahabari kutoka Kenya pia anasema vivyo hivyo. Yaani wanapotosha watu.

Hata wakipotosha itasaidia nn ?? Kwamba tununue chanjo au ?? Wembe ni ule ule na viongozi ni wale wale
 
Fala wewe c ulisema Magu hafai kwa chochote ss iweje uanze kutaja mazuri yake, kuwa makini la sivyo leo either mm au ww au wote tutakula ban, wewe una IDs nyingi mm cna ID nyingine so nitapotezea haina shida.

We need to get to know some of these fool in real life, and I am willing to pay some thugs to *** them up! We need lecture this idiots some lessens in real life.
 
Akimwendekeza Kikwete tumekwisha.
Mtaishaje sasa,JK anajua utawala ,miradi itafanyika bila kuustress uchumi

By the way JK ndio kamuibua na alikuwa chaguo la kambi yao kutoka Zanzibar pamoja na PM

Sio lazima kufoka foka ndio ionekane kiongozi matokeo yake ndio haya sasa

Hopeful ajae keshajua matatizo na atajua jinsi ya kuendesha serikali yake
 
Back
Top Bottom