Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Mradi ulikua uishe huo na kumejengwa vibaya sana ,take a look .usijipe moyo sisi sio size yenu 😂😂😂

Sasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!! Alafu unadai eti sisi si zise yenu 🤣 🤣 🤣 Watanzania mlirogwa na nani.
Kweli nakubal nyinyi si zise yetu, bado mko nyuma sana!
 
Mbona huulizie dege eco project, nssf etc ziko kibao over 20 projects unafananisha na ushuzi unaoitwa tatu na konza zaidi ya miaka 13 project hazina hata 1% of the render 🤣🤣
Sasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!!
 
Sasa unataka kulinganisha project $540m ya kujenga nyumba za kuishi elfu saba kwa shama la ekari 300 na project ya viwanda ya $4 Billion kwa shamba la ekari 5,000 !!!!! Alafu unadai eti sisi si zise yenu 🤣 🤣 🤣 Watanzania mlirogwa na nani.
Kweli nakubal nyinyi si zise yetu, bado mko nyuma sana!
Naihifadhi hii, nikimaliza majonzi ntakujibu
 
All the president men? Really magufuli was assassinated in a mafia style. He was being isolated slowly, anyone with a keen eye can pick this up.i wish he saw this coming, unfortunately he fought dark forces, more stronger than than him.
Tatizo la Magu saa nyingine ni kutojua nini anafanya na namna anavyohatarisha maisha yake, hakupaswa kabisa kugusana na watu lakini alikua anagusana mno na watu mpaka saa nyingine unaona namna walinzi wake wanavyosukuma watu wasimguse lakini yeye bado anakomaa kuwafuata watu

Hii mambo ya wanyonge na kutaka kua down to earth president nayo ndio imemcost
 
Mbali na kugusana na watu

Jemedari alikua na ujasiri uliopitiliza towards mataifa ya nje
 
I might disagree with you on, this. I don't know him that much because I'm not Tanzanian but from what I have seen his progressive agenda didn't sit well with some quarters especially whites who have certain interest in mining
 
Mbali na kugusana na watu

Jemedari alikua na ujasiri uliopitiliza towards mataifa ya nje
Sure, alikua anawachukulia poa sana while backup ilikua ndogo, of course angeweza kuendesha movement zake silently but sure bila kuongea kwenye maspika makubwa, tactics zilikua ndogo lakini lengo lilikua sahihi kabisa

Kingine Jemedari alikuwa haambiliki, fierce confidence alikua nayo lakini ni vizuri kusikiliza ushauri ambao naamini alikua anaupata ila alikua autilii maanani sana.
 
I'm with you on, this. Something is not right. This man was assassinated.
That's how it was, technology ndogo pia ni tatizo kwa waafrika kuendelea mana viongozi wetu majasiri na wenye kujitoa kwa bara lao wanauwawa kizembe sn because of poor technology we have.

Africa tulikuwa na kila sababu ya ku invest kwenye technology ili kuzilinda hizi assets zinazopotea kizembe hv, nani asiyejua duniani hapa kwamba Magufuli ni genius? Hata maprofesa wengi km co hadharani lkn mioyoni mwao walijua kwamba Magufuli yuko dunia ya peke yake kiuwezo na kiakili, lkn tumeshindwa kumlinda because of technological backwardness ya Afrika in general.

Ukiangalia mazingira ya kifo chake huwezi niambia eti alipata cjui matatizo ya moyo, japo ni kweli alikuwa na matatizo hayo lkn mazingira yaliyomzunguka plus his history behind lazima uhoji aina ya kifo chake.

Roho inaniuma sn kwa kushindwa kuilinda hii asset muhimu katika nchi na itatuchukua miaka mingi sn kupata km huyu huenda mm na ww tusimshuhudie.

Wazee wangu wanajivunia kuishi era ya Nyerere nami pia am so proud to live this Magufuli era and one day if God wishes I will tell my child "Once upon a time there was John Pombe Joseph Magufuli"
 
Mbali na kugusana na watu

Jemedari alikua na ujasiri uliopitiliza towards mataifa ya nje
Ilikuwa lazima awe hivyo kwa sababu yeye co mnafki na kamwe hakuogopa kuipoteza nafsi kwasababu ya kuokoa walio wengi, wapo wachache sana duniani watu wa aina hii. Ktk hali ya ubinadamu unaona km alikuwa anakosea but in reality ndvyo ilivyompasa afanye mana hakuwa mtu wa kawaida km mm au ww.
 
CCM isipojiangalia inaenda kufa kifo cha mende, labda mama aanze na ukauzu km alioanza nao JPM cz watamchukulia poa akiwa legelege.
Most of my twitter associates are about to give in entirely.

I will tell them to hold on and accord her a chance, she may pick where he left of and she may stand in need of our support.

Honestly, if CCM dares to get to its reckless ways of doing things, I will support any opposition party to kick the shit out of them.
 
View attachment 1728874
Hawa wote kwisha,,ogopeni corona,,vaa mask,,R.I.P wazee
Mzee corona ingekua kwa kiwango mnachotangaza wakenya Tanzania wasingebaki watu hivi unajua kwenye public transport watu wanavyojazana asubuhi sana na jioni? Muheshimiwa siku zake zilifika hata mimi na wewe siku zetu zitafika punguza ujuaji ambao hauna evidence hata moja
 
Ulinishangaza sn bwn tony.
Huyu Cyprian Nyakundi ni mjinga sana. Unajua huku Kenya huwezi kujua ni habari gani ya kuaminika na ni gani sio ya kuaminika. Halafu wengi wetu Wakenya hatujui mambo ya TZ sana so kudanganyika ni rahisi sana. Yaani hii era ya social media propaganda ni rahisi sana kusambaa. Huyo blogger huwa ni binadamu wa hovyo sana.
 
Magufuli amewafanya muijue Tz nje ndani kuliko cc tunavyoijua Kenya kwa ss naongopa Tony?
 
. Kuifikia hii Egypt ni story nyingine, yo dunia imekimbia sana acha sis tushindane GDP while Some other countries ar investing. Me naona GDP ni uongo tu wa mzungu,hiv tujiulize taifa kama Egypt linazidiwa kitu gani na Nigeria .? Nigeria ambayo kutengeneza Eco Atlanta pekee wameshindwa,kuna kitu hapa Cc ichoboy01 The best 007 Tony254 mnijuze tafadhali other wise Mimi kuanzia leo nadharau taifa lolote linaitwa tajir au Lina maendeleo kushinda lingine kwa fact ya GDP

Ndio Nigeria ina GDP kubwa lakini wako na wananchi wengi zaidi, Egypt ni 100m wakati Nigeria ni 200m hio mara mbili zaidi kuumanisha zile hela walizonazo Nigeria zinakua ni chache kutosheleza matumizi ya kila mtu ukilanganisha na Egypt ambao GDP yao ni zaidi ya nusu ya Nigeria.

Kwa mfano ukilinganisha hizi takwimu za World Bank, Egypt wana uwezo mkubwa sana wa kuagizia na kununua bidhaa, Hii inamaanisha hali ya maisha yao yako bora kulinganisha na Nigeria ambao wana GDP kubwa lakini ikigawanyiwa kila mtu anapata hela chache kuliko mtu kutoka misri.

1616086272456.png

NA ukilinganisha Egypt nao hawatoshi kwa SA ambao miji yao hua imeendelea zaidi kuliko Egypt.

1616086836970.png
 
Back
Top Bottom