Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 naomba utazame hii video ya CNN kisha unipe maoni yako. CNN ni washenzi sana. Wanasema kwamba amekufa kwa covid 19. Halafu kuna Mwanahabari kutoka Kenya pia anasema vivyo hivyo. Yaani wanapotosha watu.
 
Usiwaamini sn Wakenya, ni Wakenya wachache wastaarabu hata humu tunao ila ni wachache sana tena wengine unaweza kuona ni waongeaji wakubwa lkn ni wastaarabu but wengi wao ni wanafki sn, na hako kaugonjwa wameka rithi toka enzi na enzi yn unafki upo kwenye DNA.
Very ironic coming from you of all people
 
Huko wanapovaa barakoa hawafi? Huo ni mpango mkakati we jamaa ambao waliotumwa wameutimiza, km covid ni hatari hivyo mbn huku mtaani tuna dunda? Alafu one thing shud tell you something baada ya ziara fulani ya watu fulani kutoka bara fulani tukaanza kupata misiba mizito ya viongozi wetu na wengine almanusura na pengine bado hali zao co nzr, ss swali ni je corona ni selective disease? Na mbn baada ya ziara hyo viongozi hasa walio karibu wamefuatana kwa vifo?

Wake up African man don't play the foolish we are in war.
Mkuu pls naomba ning'te sikio DM Ni viongozi gani hao...!??
 
Huyu Cyprian Nyakundi ni mjinga sana. Unajua huku Kenya huwezi kujua ni habari gani ya kuaminika na ni gani sio ya kuaminika. Halafu wengi wetu Wakenya hatujui mambo ya TZ sana so kudanganyika ni rahisi sana. Yaani hii era ya social media propaganda ni rahisi sana kusambaa. Huyo blogger huwa ni binadamu wa hovyo sana.
Wacha ufala anazikwa bila kuagwa?
 
Mzee corona ingekua kwa kiwango mnachotangaza wakenya Tanzania wasingebaki watu hivi unajua kwenye public transport watu wanavyojazana asubuhi sana na jioni? Muheshimiwa siku zake zilifika hata mimi na wewe siku zetu zitafika punguza ujuaji ambao hauna evidence hata moja
Always Tanzanians are brainwashed by ccm,, corona imefyeka hao wota,,we huoni si jambo la kawaida viongozi kufa hovyo wakifuatana 🙄
 
The best 007 naomba utazame hii video ya CNN kisha unipe maoni yako. CNN ni washenzi sana. Wanasema kwamba amekufa kwa covid 19. Halafu kuna Mwanahabari kutoka Kenya pia anasema vivyo hivyo. Yaani wanapotosha watu.
Lengo lao c limeshatimia kwahiyo kazi yao ss ni kupotosha ulimwengu, c hata Gaddafi tuliambiwa ameuliwa na wa Libya wenyewe, so kazi kwetu waafrika.
 
Most of my twitter associates are about to give in entirely.

I will tell them to hold on and accord her a chance, she may pick where he left of and she may stand in need of our support.

Honestly, if CCM dares to get to its reckless ways of doing things, I will support any opposition party to kick the shit out of them.
Current Tanzania opposion have no quality of leading a country.CCM will lead this country for the next 100 years unless we have to be lucky to have best opposion party.lisu na co have no quality of leading this great country.
 
Current Tanzania opposion have no quality of leading a country.CCM will lead this country for the next 100 years unless we have to be lucky to have best opposion party.lisu na co have no quality of leading this great country.
Na wale viti maalum wao ni muda muafaka sasa na wenyewe waondoke mjengoni, nashangaa kwanini walikua wanapewa ubunge wakati na wenyewe mulemule
 
Always Tanzanians are brainwashed by ccm,, corona imefyeka hao wota,,we huoni si jambo la kawaida viongozi kufa hovyo wakifuatana
Raisi gani wa kenya akupitia kanu? Kuna ile picha kuna kenyata senior , moi , kibaki na kenyata junior yupo mdogo . Hadi Leo mpo kwenye hiyo loop mnaongozwa na watu hao hao . Poor reasoning huwezi jiuliza kwa nini hao walikua pamoja na wanaongoza kwenye hadi Leo. Ngoja nitafute ile picha
 
Always Tanzanians are brainwashed by ccm,, corona imefyeka hao wota,,we huoni si jambo la kawaida viongozi kufa hovyo wakifuatana
Hao marais au maCEO wa kampuni ? Ngoja mwezi wa pili mwakani muanze kukimbizana tena. Yaani kenya mnapangiwa hadi next president sijui hatakua mtoto wa Mzee Moi
20210318_205634.jpg
 
Hapa namsikilizia huyu atakayechukua madaraka kama nitakuwa simwelewi sitaona umuhimu wa kuwepo kwenye huu uzi Magu alinipa courage ya kuamini tupo in right direction, mambo ya kizalendo mengi yalikuwa yanafanyika ss km tutarudi kule kule mm unafki siuwezi kabisa.

Ngj tuone itakuwaje.
Ntampima mama kwenye kuteua VP
 
Ndio Nigeria ina GDP kubwa lakini wako na wananchi wengi zaidi, Egypt ni 100m wakati Nigeria ni 200m hio mara mbili zaidi kuumanisha zile hela walizonazo Nigeria zinakua ni chache kutosheleza matumizi ya kila mtu ukilanganisha na Egypt ambao GDP yao ni zaidi ya nusu ya Nigeria.

Kwa mfano ukilinganisha hizi takwimu za World Bank, Egypt wana uwezo mkubwa sana wa kuagizia na kununua bidhaa, Hii inamaanisha hali ya maisha yao yako bora kulinganisha na Nigeria ambao wana GDP kubwa lakini ikigawanyiwa kila mtu anapata hela chache kuliko mtu kutoka misri.

View attachment 1728942




NA ukilinganisha Egypt nao hawatoshi kwa SA ambao miji yao hua imeendelea zaidi kuliko Egypt.

View attachment 1728953
Hivi we jamaa ni kilaza wa kutoka wapi ambae hujui kuendana na wakati, watu wapo msibani we unaleta masuala GDP. Umekua sasa mzee huitaji kuambiwa hivi vitu.
 
Mipango ya Magu ni mikubwa! Ujue ana lots 2 kwenda Mwanza then ujiji-Msongati then Isaka-Kigali then Mtwara-Mbamba bay then LNG then ujenzi wa jiji la Dodoma! Akae mbali na "les Affaires" Kikwete maana soon tutaona Ridhiwani Waziri mara wakina Makamba wakina Nape! Wote wana ambitions za higher office na si watendaji bali wazee wa makundi!
Akimwendekeza Kikwete tumekwisha.
 
Back
Top Bottom